Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Ngollo Malenya amefanya msako wa Wanafunzi ambao hawajaripoti Shule za Msingi na Sekondari Vijijini ambapo katika hali isiyo ya kawaida alipofika Kijiji cha Chengena kwenye msako wa nyumba kwa nyumba amebaini uwepo wa Mtumishi wa Mungu Erick Manyanya (33)...
Kadi ya chama cha siasa, ni nyaraka anayopewa mtu aliyejiunga na chama fulani cha siasa kuthibisha kuwa yeye ni mwanachama halali au hai wa chama hicho.
Wapo watu wengi wamekuwa hawatambui kazi ya kadi ya vyama vya kiasa na hudhani au huaminishwa na aidha wanaowashawishi kujiunga na vyama au...
Habari zenu Wakuu,
Kumekuwa na Uhuru mbovu kwa baadhi ya watu linapokuja suala la kuchangia mada au Bandiko la mtu.
Nimeona sio mara moja, ni mara nyingi sana mtu analeta mada halafu anatokea mtu from nowhere ana-comment upuuzi au kumdharau mleta mada.
Hii hali nimekuwa naiona kwenye...
Ambao mna uzoefu na watoto wa kike tunaomba mtupatie mwongozo. Ninashuhudia familia nyingi sana huku majengo mapya ushuwani, ukaribu uliopo kati ya baba na mtoto wa kike unakuwa wa kushtusha kidogo, yaani ni kawaida sana kumkuta baba akimpakata bintiye wa 10 years old tena bila wasiwasi kabisaa...
Kila kiumbe kimeumbwa na woga wa asili kama ishara ya hatari ili kuongeza umakini kisidhurike. Woga ni mfumo wa muhimu wa mwili wakujilinda na kitu chochote kinachoweza kuwa hatarishi kwako. Haimanishi moja kwa moja ukiogopa wewe ni mdhaifu, hata simba ana woga pia.
Lakini woga tunaoenda...
Nchi zetu za kiafrika ni vigumu watu wake kutembeleana kwa urahisi bila kukutana na vikwazo mipakani/uhamiaji. Hili limetuchelewesha sana kiuchumi.
Sababu kubwa ya kuzuia wageni kuja nyumbani kwako ni ushaghalabagala uliyoko nyumbani kwako. Kama nyumbani kwako ni kuchafu sana, hakujapangiliwa...
Kama mwanadamu sina tofauti na wengine wote. Mwaka huu wa 2023 nimekutana na hadithi nzuri sana zenye kujenga japo ni visa vya kusikitisha sana, kisa cha kwanza jamaa kanihadithia namna alivyomfumania mke wake akinyanduana na mjomba wake ambae ni kaka wa Mama yake mzazi. Aliwakuta live akaita...
Aseee hii nomaa sanaaa, em tuangalie kwa ufup tuu
Mipaka inaonesha ni sehemu gani wewe uishie na ni sehem gani mtu mwingine aishie asiingie katika himaya yako
Mipaka inasaidia mtu mwingn asikuharibie moods
Na wew usimharbie mtu mwingn
Mipaka inatusaidia kuchambua kip chem kip kibaya yup mzur...
Hii ni stori ya ukweli iliyo tokea nchini Tanzania, jijini Arusha mnamo mwaka 2021, mwezi wa septemba ( 9 ) tarehe Kama ya leo 09.
usiku wa saa 7, mwanadada mrembo aliye amua kujiua mwenyewe, kuilazimisha roho itoke pasipo idhini ya Mola Mlezi. Watoto , ndugu , Jamaa na marafiki mpaka...
Habari wana jamvi,
Natafuta kazi yoyote ya halali,
Elimu: Bachelor degree (shahada) ya ualimu masomo kiswahili na Geography
Umri: Miaka 28
Eneo nilipo: Dae Es Salaam, Goba
Lugha: kiswahili na English fluently (speaking and writing)
Uzoefu: Nina uzoefu wa mambo mbalimbali ikiwa ni ufundi wa...
Sheria hutungwa na kuwekwa kama muongozo wetu, ili kulinda maisha yetu sisi binadamu na kudumisha ustaarabu,ikiwepo kutokuvuka mipaka ambayo tunakuwa tumejipangia,
#naendelea..
Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM?
Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie?
---
Winshear...
Hakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mpaka kutusi.
Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni uvunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka...
Kuna watu wanajitoa ufahamu kwamba Pwani yote hadi Bagamoyo ni part ya Zanzibar. Wanashindwa kuelewa kwamba hadi tunapata uhuru, 1961 Sultan alishauza maeneo mengi kwa wazungu na Tanganyika iliyachukua toka kwa wazungu yakiwa sio mali ya Zanzibar.
Swali la kujiuliza, kama ni kweli, Nyerere...
Hautakiwi kumpa hisia za furaha muda wote, hautakiwi muongee vya kuboa kila muda. Usiogope kumwambia maneno ambayo unaona ni makali bila kumtukana/kumdhalilisha.
Usiogope kumwambia kitu kibaya usichokipenda kuhusu yeye, lakini isiwe kitu ambacho hakirekebishiki kama vile umbile la pua yake...
Kuanzia Bashe amekuwa Waziri wa Kilimo msimamo wake ilikuwa ni kutofunga mipaka ili wakulima wapate bei nzuri ya mazao yao. Humu JF kuliandikwa nyuzi nyingi za kulaani kutofunga mipaka na kutabiri njaa kutokea Tanzania.
Kati ya Machi na Mei mikoa mingi sana wamevuna na bei zimeshuka chini. Na...
Utangulizi
Katika uchambuzi huu, tunazingatia mabadiliko yanayohitajika katika sekta ya ubunifu na uvumbuzi, kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vikuu. Lengo ni kuchochea uwajibikaji na kuleta mabadiliko chanya kwa jamii na nchi kwa ujumla. Tutapendekeza hatua za kukuza ubunifu na uvumbuzi...
Usipoweka mipaka mwanamke wako hatokuheshimu. Na mwanamke asipokuheshimu hawezi kukupenda. Wengi wapo kwenye mahusiano yasiyo na mapenzi. Sababu mwanaume hana mipaka. Ukiwa na mipaka mwanamke anakuona we una thamani zako. Sio wa kuendeshwa na mwanamke.
Kama ukiweka mipaka na mwanamke wako...
Habarini zenu wakuu, nina suala linanisumbua kati yangu na jirani angu kuhusu mipaka.
Ni hivi jirani yangu kapanda mti wa mparachichi hii ya kisasa jirani kabisa na mpaka takribani nusu mita toka mpaka ulipo, sasa umekua na matawi mengi yamekuwa shambani kwangu ambapo nimepanda migomba...
Pengine mmesahau, hii sera ya kufunga mipaka ambayo Bashe anaitekeleza ni sera ya CDM. Wakati wa uchaguzi wa 2020 Salumu Mwalimu kila alikokwenda alisema kuwa CDM ikishika madaraka wananchi watauza mazao yao kokote kule, ilimradi tu wamelipa kodi ya serikali. Ilikuwa sera moja bora sana.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.