Hivi mnajua Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mapungufu yake ya uraisi ni baba bora. Huyu mzee kwa nafasi yake amelea watoto zake kwa kuwapa fikra za kujitegemea. Jukumu lake amewawezesha kufikia malengo yao kama mzazi mwingine yeyote wajitegemee bila ya yeye.
Sasa mtoto ambae utajiri wake...
Kutokana na wimbi la upandaji wa mafuta ya vyombo vya moto nchini pamoja na uchache wa chakula kulikosababishwa na mvua chache za masika, nashauri mama SSH afunge mipaka mpaka pale Nchi itakapokuwa stable.
Kwa sasa Bei za vyakula hazishikiki kila Kona Bei juu. Jana nilikuwa Mpanda Kuna warundi...
Ndugu zangu Wana jf mpaka leo wikipedia na vyanzo vingi vya mtandao vinaitambua urusi ile kubwa Kwenye ramani sasa swali langu mipaka halisi ya urusi ya sasa ni ipi? Naambatanisha picha kuonyesha urusi inavyotambulika Kwenye ramani
Wahanga wengi wa manynyaso ya mabosi ni kwenye kampuni binafsi, biashara za watu binafsi, kuajiriwa kwa baadhi ya wahindi na wachina, n.k
Mkasa wangu
Kuna kipindi fulani nikiwa mtaani baada ya kumaliza chuo nilipewa connection sehemu ya kujishikiza kampuni binafsi mshahara laki 2, yani...
Habari kutoka nchi jirani ya Rwanda zinasema mipaka yake yote hatimaye jana rasmi imefunguliwa.
Ikumbukwe mpaka wa Tanzania - Rwanda (Rusumo) umekuwa umefungwa tangia March 2020 kwa sababu ya Corona.
Ilikuwa ni hoi hoi na nderemo kwa wanyarwanda kina yakhe kupata hatimaye nafasi japo ya...
Duniani kuna mipaka ya ajabu sana ambayo wengine wetu huwanda hatuielewi. Mipaka hii ina historia zake, leo hii nitaweka ramani za baadhi ya mipaka hiyo ya ajabu, halafu siku nyingine nitajadili historia za mipaka hiyo. kama unaifahamu mipaka mingine ya ajabu, tufahamishe hapa.
Kuna mipaka...
Taifa hilo limesema litafungua Mipaka yake kwa Wasafiri waliopata chanjo dhidi ya COVID19 kwa mara ya kwanza ndani ya takriban miaka miwili. Waziri Mkuu amesema Mipaka itafunguliwa Februari 21.
Australia ilikuwa miongoni mwa Nchi zilizoweka kanuni kali zaidi duniani kufuatia Milipuko wa Virusi...
Kibatala: Mheshimiwa Jaji Naona tusifungue mambo mengine, itoshe tu kusema, hakuna wakili atavunja kanuni za Mahakama wala Kwenda Nje ya utaratibu wa mahakama au Taaluma yake, mengine ni mambo ya kibanadamu tu...
Wakati idadi ya nchi zinazotangaza marufuku ya safari za ndege kwa mataifa ya Kusini mwa Afrika ikiongezeka kutokana na hofu ya aina mpya ya virusi vya COVID-19 vya Omicron, shirika la afya la Umoja wa Mataifa ulimwenguni WHO leo limezisihi nchi kufuata sayansi na kanuni za kimataifa za afya za...
Nchi na Nchi hapa Ulimwengu lazima ziwe na mlango wa kuingilia baina yao.
Mfano pale Tunduma Tanzania ndilo lango kuu la kuingia Zambia ukitokea Tanzania.
Vilevile Rusumo,huko Kagera ndilo lango kuu la Tanzania na Rwanda.
Tunduma,inasemekana ndilo lango linalindwa kwa gharama kubwa kupitia...
Ni kiwango kipi cha Uhuru kinakubalika na watawala kisiwe Uchochezi?
Kama Taifa tumetoa Uhuru (Demokrasia) pana sana kwenye sekta ya uchumi hasa Ubinafsishaji wa bei ya kutupwa ya mali na mashirika ya umma. Lakini tumebana sana na kwa kiwango cha kutisha Uhuru na Demokrasia ya mawazo kisiasa...
Nyanja: Haki za Binadamu
Taswira kwa hisani ya: https://www.google.com/intl/en/permissions/using-product-graphics.html
Mabadiliko ya sera ya elimu ya Feb 2015 yanalenga matumizi ya lugha ya taifa Kiswahili kuwa ndiyo lugha ya kufundishia kwy taasisi zote za elimu. Hii ni sahihi kabisa na nia...
Baada ya kusikia serikali imetoa bilioni 50 kwa ajili ya manunuzi ya mahindi.
Nikaona huu ndio wakati muafaka wa kuuza nikajaza howo zangu tatu mzigo kupeleka kwenye kitengo.
Dah nilichokutana nacho tajiri atabaki kuwa tajiri nae maskini atazidi kuwa maskini hasa kwenye nchi zetu za Kiafrika...
Jeshi Nchini Guinea limetangaza mchakato wa kufungua taratibu Mipaka na Nchi jirani ambayo baadhi ilifungwa baada ya Rais Alpha Conde kupinduliwa na mingine ilikuwa imefungwa miezi kabla
Kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, Rais Conde aliamuru Mipaka ya Senegal, Sierra Leone na Guinea-Bissau...
Unaweza kuwa mtu mwema na anayejali anayeheshimu mahitaji ya watu na bado ukaweka mipaka yenye afya kwa ustawi wako mwenyewe.
Jifunze wakati wa kuondoka na wakati wa kufanya kazi. Huwezi kudhibiti jinsi watu wanavyokutendea lakini unaweza kudhibiti kile unachostahimili.
MHE MWENDA AWAHAKIKISHIA WANA-IRAMBA KUTAFUTA SULUHU YA MIGOGORO YA MIPAKA.
Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda amewahakikishia wananchi wa kata ya Ntwike kuwa Serikali wilayani humo inaendelea kutafuta Suluhu ya mgogoro wa mpaka kati ya wilaya za kishapu, Igunga...
Habari wakuu.
Mipaka ya nchi ni kitu kinachobadirika kila leo. Miaka 30 iliyopita kulikuwa na nchi kubwa ya USSR. Leo haipo, imetoa nchi kibao.
Ujerumani haikuwa nchi moja, hakukuwa na Sudan kusini wala Somaliland. Leo Kurdistan ni kama nchi, Syria inataka kuvunjika nk.
Unaionaje mipaka...
Dhana ya Utawala bora lazima iambatane na mipaka kwa wakosoaji wa Serikali katika kulifikia lengo lililo jema siku zote.
Ni muda Sasa tangu atutoke mwendazake kumekuwa na jitihada za kufifisha maendeleo ya nchi kwa makusudi makubwa Sana kwa baadhi ya wanasiasa.
Taifa hili linahitaji busara...
Serikali ya Tanzania imeagiza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa corona kwa kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko, ili kujikinga na wimbi la tatu lililoibuka katika mataifa mbalimbali.
Wakuu wa mikoa na wilaya wameagizwa kuhakikisha wanatimiza agizo hilo kwa kuzishirikisha kamati za...
Siku zote nimekuwa nikitoa hela kwa kutumia application ya NMB Mobile Bank na mara zote hizo sikuwai kuwa makini na masuala ya ada ya makato ambayo inachukuliwa na hawa NMB, mpaka pale nilipoamua niangalie huwa wanachukua shilingi ngapi ndipo niliposhangazwa zaidi.
Nilianza kutoa laki moja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.