(KAMA UMEOLEWA/UMEOA TAFADHALI USISOME)
Kuna story za kutisha nyingi sana kutoka kwa wanaume, kuhusu kuamka asubuhi na kujikuta wakiwa wamelala kitandani pembeni ya viumbe wasio watambua baada ya kutoa MAKE UP usoni usiku.
Wanawake wengine hutumia pesa nyingi kila mwezi kununua make-up, na...