Mbunge wa Jimbo la Uyole ambae ni Rais wa Heshima wa IPU Dkt. Tulia Ackson ametoa shukrani za dhati kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Deogratius Ndejembi kufanya ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo kwa wananchi Jijini Mbeya pamoja na kuishukuru serikali ya awamu ya sita...