SGR kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika.
Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa.
Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa...
MBUNGE LUHAGA MPINA ASHAURI MWENGE WA UHURU UPITIE MIRADI YOTE
Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Joelson Mpina ameishauri Serikali kurekebisha muundo wa mbio za Mwenge wa uhuru badala ya kupita kwenye Miradi ya Halmashauri pekee ipite na kwenye Miradi Yote
Akizungumza na waandishi wa habari...
Kesho Jumanne Oktoba 17, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan atafanya ziara kwenye wilaya ya Iramba mkoani Singida ambapo atakagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali yake.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi wilayani hapa wametoa ya moyoni na kusema wanamsubili kwa hamu kubwa sana...
NAIBU WAZIRI KIHENZILE: MIRADI ITEKELEZWE KWA KUZINGATIA MUDA NA THAMANI YA FEDHA
"Nawapongeza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege kwa kuweka taa katika uwanja wa ndege wa Dodoma, uwanja huu kwa ripoti kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) inaonesha unashika nafasi ya 4 kwa kuhudumia abiria...
Umoja wa Vijana CCM tuanzisheni miradi mikubwa ya Kimkakati ili kutengeneza ajira Kwa wanachama wetu.
Kwa kuanzia tunaweza kuanza na,
1. Viwanda vidogo vya kutengeneza unga wa sembe/dona katika pakiti,
2. Viwanda vya juice ya matunda,
3. Karakana za ukarabati wa mitambo ya Kilimo na magari...
MBUNGE ESTHER MALLEKO AELEZA KILIMANJARO ILIVYONUFAIKA NA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO
"Mheshimiwa Rais ametupatia fedha kwaajili ya ujenzi wa kuimarisha vituo vya afya na utoaji huduma katika Zahanati 35 katika Mkoa wa Kilimanjaro ambapo ametupatia Shilingi Bilioni 2.59 na Shilingi bilioni 4...
Viongozi wa Dart wanadai kuondolewa kwa mfumo wa kadi za malipo vituo vya mwendokasi yalikuwa maazimio ya chama na serikali na kwamba mifumo hiyo iliondolewa kwa lengo la kuwanufaisha watu fulani.
Baada ya mifumo hiyo kuondolewa iliamuliwa makampuni ya ulinzi wakiwemo vijana wa jkt waanze...
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Chatanda amefurahishwa na Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika wilaya ya Geita chini ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Geita Ndg.Zahara Michuzi kwa kujenga Kituo cha Afya Nyankumbu kwa kutumia fedha za ndani.
Akizungumza leo katika Ukaguzi wa Kituo...
Dondoo
Mradi wa maji Bilioni 5.6
Mradi wa Bwaro Shule ya Sekondari Mil. 100
Mradi wa kituo cha Afya. Mil. 526
Viongozi wa UWT Taifa leo Septemba 28. 2023 wamefika wilaya ya Chato katika muendelezo wa Ziara ya kikazi inayoendelea mkoani Geita, yenye lengo la kuzungumza na wana CCM, kuimarisha...
Mwenyekiti wa wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amefurahishwa na Ushirikiano wa Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi wa Wilaya ya Nyang'hwale kwa usimamizi mzuri wa Miradi ambayo Serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeweza kuleta fedha mbalimbali za Miradi ya Maendeleo.
Akizungumza...
Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Ndg. Ridhiwani Kikwete amefanya ziara fupi katika kata ya Kiwangwa kuongea na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Kijiji kuhusu shughuli ya maendeleo katika eneo hilo.
Katika kikao hicho pamoja na mengine mengi , Mbunge wa Chalinze...
Kumekuwa na shida ya kupata MADED waliokuwa na uwezo wa kusimamia Halmashauri hasa upande wa Miradi ambako Fedha zimekuwa zikichotwa hovyo, hii ni kutokana na MADED wengi wamekuwa wakiteuliwa kutoka LUMUMBA, wengi wao wakiwa ni makada na hawana taaluma au uzoefu wa kuendesha ofisi hasa katika...
(1) BARABARA
1a. Musoma-Makojo-Busekera
TANROADS wako kwenye utaratibu wa manunuzi kwa ajili ya uwekaji lami kwenye barabara hili ambalo Serikali imeamua kulijenga kwa awali mbili.
Nimewasisitizia (Mbunge wa Jimbo) kwamba ujenzi unaotafutiwa Mkandarasi uwe wa kuendeleza ujenzi wa Lot 2...
Mwenge wa Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Septemba 16, 2023 umepokelewa Wilayani Kaliua, ukitokea Wilaya ya Tabora na kuanza kukimbizwa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua kwa ajili ya kukagua,kuona, kuzindua pamoja na kuweka Mawe ya Msingi katika miradi sita (6), ya Maendeleo ikiwemo ya...
Kuna majimbo ambayo tunapaswa kuwainua wananchi kwa kuwapelekea sukari na maziwa na majimbo ambayo tunapaswa kupeleka miradi kuboresha miundombinu hili uzalishaji ukue
Jimbo la kawe ni jimbo la kimkakati katika nchi ambalo lina jamii ya daraja la kwanza. Jimbo kama lile linahitaji zaidi lami...
MAMENEJA TARURA WAAGIZWA KUSIMAMIA MIRADI KIKAMILIFU
Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo J. Dugange(Mb) amewaagiza Mameneja TARURA wa Mikoa na Wilaya zote nchini zinazotekeleza Mradi wa kuboresha miundombinu katika Majiji, Manispaa na Miji (TACTIC) kuhakikisha wanasimamia kwa...
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2023 Ndugu Abdallah Shaibu tarehe 02 Septemba, 2023 amepongeza utekelezaji wa miradi ndani ya Wilaya ya Momba na kusisistiza kuendeleza utunzaji wa mazingira.
Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Sichalwe amewasisitiza watu wa bonde (Game...
Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imetoa Sh. bilioni 1.29 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi saba ya kitafiti kutoka katika taasisi mbalimbali hapa nchini.
Akizungumza wakati wa kuhitimisha mafunzo na utoaji ufadhili huo kwa watafiti wanufaika wa miradi hiyo...
Nimesikia mara kwa mara kuwa, Bwawa la Stiglers likikamilika tutakuwa na umeme wa ziada hata wa kuuza.
Sasa nilisikia kupitia TV TANESCO wanatangaza mpango wao wa kuanza ujenzi wa mradi mpya wa maji huko Kagera/Kakono wa mabilioni ya pesa nikashindwa kuwaelewa
Naomba ufafanuzi kwa anaye elewa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.