miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miradi mikakati yote aliyoianzisha hayati Magufuli imekwama kutekelezeka. Taifa letu linakwamishwa na genge la watu wachache wasio na nia njema

    SGR kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika. Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa. Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa...
  2. Luhaga Mpina Ashauri Mwenge wa Uhuru Upitie Miradi Yote

    MBUNGE LUHAGA MPINA ASHAURI MWENGE WA UHURU UPITIE MIRADI YOTE Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Joelson Mpina ameishauri Serikali kurekebisha muundo wa mbio za Mwenge wa uhuru badala ya kupita kwenye Miradi ya Halmashauri pekee ipite na kwenye Miradi Yote Akizungumza na waandishi wa habari...
  3. B

    Wananchi Iramba wamsubiri kwa hamu Rais Samia, wamshukuru kwa miradi mingi ya maendeleo

    Kesho Jumanne Oktoba 17, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan atafanya ziara kwenye wilaya ya Iramba mkoani Singida ambapo atakagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali yake. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi wilayani hapa wametoa ya moyoni na kusema wanamsubili kwa hamu kubwa sana...
  4. Naibu Waziri Kihenzile: Miradi itekelezwe kwa kuzingatia Muda na Thamani ya Fedha

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE: MIRADI ITEKELEZWE KWA KUZINGATIA MUDA NA THAMANI YA FEDHA "Nawapongeza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege kwa kuweka taa katika uwanja wa ndege wa Dodoma, uwanja huu kwa ripoti kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) inaonesha unashika nafasi ya 4 kwa kuhudumia abiria...
  5. UVCCM tuanzishe miradi ya Kimkakati kutengeneza ajira

    Umoja wa Vijana CCM tuanzisheni miradi mikubwa ya Kimkakati ili kutengeneza ajira Kwa wanachama wetu. Kwa kuanzia tunaweza kuanza na, 1. Viwanda vidogo vya kutengeneza unga wa sembe/dona katika pakiti, 2. Viwanda vya juice ya matunda, 3. Karakana za ukarabati wa mitambo ya Kilimo na magari...
  6. Mbunge Esther Malleko aeleza Kilimanjaro ilivyonufaika na fedha za miradi ya maendeleo

    MBUNGE ESTHER MALLEKO AELEZA KILIMANJARO ILIVYONUFAIKA NA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO "Mheshimiwa Rais ametupatia fedha kwaajili ya ujenzi wa kuimarisha vituo vya afya na utoaji huduma katika Zahanati 35 katika Mkoa wa Kilimanjaro ambapo ametupatia Shilingi Bilioni 2.59 na Shilingi bilioni 4...
  7. R

    Kwanini CCM ilishinikiza kuondolewa kadi za malipo kwenye miradi ya mwendokasi DSM? Wananufaikaje na wizi wa tiketi za kuchana kwa mkono?

    Viongozi wa Dart wanadai kuondolewa kwa mfumo wa kadi za malipo vituo vya mwendokasi yalikuwa maazimio ya chama na serikali na kwamba mifumo hiyo iliondolewa kwa lengo la kuwanufaisha watu fulani. Baada ya mifumo hiyo kuondolewa iliamuliwa makampuni ya ulinzi wakiwemo vijana wa jkt waanze...
  8. Chatanda afurahishwa na Utekelezaji wa Miradi Wilayani Geita

    Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Chatanda amefurahishwa na Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika wilaya ya Geita chini ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Geita Ndg.Zahara Michuzi kwa kujenga Kituo cha Afya Nyankumbu kwa kutumia fedha za ndani. Akizungumza leo katika Ukaguzi wa Kituo...
  9. Chato: Makamu Mwenyekiti UWT Akagua Miradi ya Maendeleo

    Dondoo Mradi wa maji Bilioni 5.6 Mradi wa Bwaro Shule ya Sekondari Mil. 100 Mradi wa kituo cha Afya. Mil. 526 Viongozi wa UWT Taifa leo Septemba 28. 2023 wamefika wilaya ya Chato katika muendelezo wa Ziara ya kikazi inayoendelea mkoani Geita, yenye lengo la kuzungumza na wana CCM, kuimarisha...
  10. Chatanda awapongeza DC & DED Nyang'hwale kwa Usimamizi wa Miradi

    Mwenyekiti wa wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amefurahishwa na Ushirikiano wa Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi wa Wilaya ya Nyang'hwale kwa usimamizi mzuri wa Miradi ambayo Serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeweza kuleta fedha mbalimbali za Miradi ya Maendeleo. Akizungumza...
  11. B

    Ridhiwani Kikwete achangia saruji ujenzi wa madarasa Chalinze, akagua miradi ya maendeleo

    Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Ndg. Ridhiwani Kikwete amefanya ziara fupi katika kata ya Kiwangwa kuongea na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali ya Kijiji kuhusu shughuli ya maendeleo katika eneo hilo. Katika kikao hicho pamoja na mengine mengi , Mbunge wa Chalinze...
  12. U

    Rais Samia weka maDED kutoka taasis zilizofanya vema usimamizi wa Miradi

    Kumekuwa na shida ya kupata MADED waliokuwa na uwezo wa kusimamia Halmashauri hasa upande wa Miradi ambako Fedha zimekuwa zikichotwa hovyo, hii ni kutokana na MADED wengi wamekuwa wakiteuliwa kutoka LUMUMBA, wengi wao wakiwa ni makada na hawana taaluma au uzoefu wa kuendesha ofisi hasa katika...
  13. Taarifa ya Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo Jimbo la Musoma Vijijini

    (1) BARABARA 1a. Musoma-Makojo-Busekera TANROADS wako kwenye utaratibu wa manunuzi kwa ajili ya uwekaji lami kwenye barabara hili ambalo Serikali imeamua kulijenga kwa awali mbili. Nimewasisitizia (Mbunge wa Jimbo) kwamba ujenzi unaotafutiwa Mkandarasi uwe wa kuendeleza ujenzi wa Lot 2...
  14. Mwenge wa Uhuru Wazindua Miradi ya Bilioni 2.2 Wilaya ya Kaliua

    Mwenge wa Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Septemba 16, 2023 umepokelewa Wilayani Kaliua, ukitokea Wilaya ya Tabora na kuanza kukimbizwa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua kwa ajili ya kukagua,kuona, kuzindua pamoja na kuweka Mawe ya Msingi katika miradi sita (6), ya Maendeleo ikiwemo ya...
  15. Wafanyakazi TX,wa makampuni,migodini na miradi mbalimbali

    Karibuni tujikumbushie mambo mbalimbali toka Enzi za KAJIMA KONOIKE, CMC ITALSTRADE, KAKOLA NYAMONGO SOGEA SATOM BALFOBIT, CG JENSEN, WADE ADAMS, BUHEMBA KAHAMA MINING CHICCO MOOLMAN BROTHRS AARSLEFF BAM INTERNATIONAL STRABAG, KAPIKO, MWADUI WILIAMSON(ya zamani) STERLING, JR GGM(ya zamani)...
  16. R

    Kwanini jimbo la Kawe limetoka kupelekewa miradi mikubwa ya maendeleo badala yake linapelekewa jezi za mpira? Tunakwenda wapi kama Taifa?

    Kuna majimbo ambayo tunapaswa kuwainua wananchi kwa kuwapelekea sukari na maziwa na majimbo ambayo tunapaswa kupeleka miradi kuboresha miundombinu hili uzalishaji ukue Jimbo la kawe ni jimbo la kimkakati katika nchi ambalo lina jamii ya daraja la kwanza. Jimbo kama lile linahitaji zaidi lami...
  17. Mameneja TARURA Waagizwa Kusimamia Miradi Kikamilifu

    MAMENEJA TARURA WAAGIZWA KUSIMAMIA MIRADI KIKAMILIFU Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo J. Dugange(Mb) amewaagiza Mameneja TARURA wa Mikoa na Wilaya zote nchini zinazotekeleza Mradi wa kuboresha miundombinu katika Majiji, Manispaa na Miji (TACTIC) kuhakikisha wanasimamia kwa...
  18. Mwenge wa Uhuru Wazindua Miradi Jimbo la Momba

    Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2023 Ndugu Abdallah Shaibu tarehe 02 Septemba, 2023 amepongeza utekelezaji wa miradi ndani ya Wilaya ya Momba na kusisistiza kuendeleza utunzaji wa mazingira. Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Sichalwe amewasisitiza watu wa bonde (Game...
  19. Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imetoa Sh. bilioni 1.29 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi saba ya kitafiti

    Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imetoa Sh. bilioni 1.29 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi saba ya kitafiti kutoka katika taasisi mbalimbali hapa nchini. Akizungumza wakati wa kuhitimisha mafunzo na utoaji ufadhili huo kwa watafiti wanufaika wa miradi hiyo...
  20. Miradi mipya kuzalisha umeme

    Nimesikia mara kwa mara kuwa, Bwawa la Stiglers likikamilika tutakuwa na umeme wa ziada hata wa kuuza. Sasa nilisikia kupitia TV TANESCO wanatangaza mpango wao wa kuanza ujenzi wa mradi mpya wa maji huko Kagera/Kakono wa mabilioni ya pesa nikashindwa kuwaelewa Naomba ufafanuzi kwa anaye elewa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…