Awamu iliyopita kuliibuka kikundi cha wasiojulikana, wanapewa nguvu kubwa kiasi kwamba binadamu walioripotiwa kupotea au kutokuonekana au kutekwa vyombo havikuona umuhimu wakuwatafuta Kwa kigezo kwamba wamejiteka wenyewe.
Kisiasa tulielezwa kwamba KAZI NI moja Tu, miradi ya maendeleo. Hakuna...
ZIARA YA MHE. DANIEL SILLO KATIKA JIMBO LA BABATI VIJIJINI NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO
Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini na Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti bungeni Mhe. Daniel Sillo ameendelea na ziara katika Jimbo la Babati Vijijini ambapo ametembelea Vijiji 66 kati ya Vijiji 102 vya babati...
Nimekumbushia kauli hii tukielekea kwenye maadhimisho.
Ni kauli inayoweza kutolewa na mtu ambaye haamini taasisi, aliamini yeye ni zaidi ya taasisi na zaidi ya Kila mtu, Mungu alivyo fundi, miradi inaendelea, tena anayeendeleza mwanamama.
Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Aloyce Kwezi ameendelea na ziara yake katika jimbo na kutembelea miradi mbalimbali ambapo ameongea na wananchi wa Kata mbalimbali wa maeneo hayo.
"Ndugu zangu Wananchi wa Ukumbikakoko na Usinga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anawapenda...
SWALI tajwa lahusika. Tupo hapa masaa machache RC anamaliza kukagua mradi wa MAJENGO usiku wa saa 2 kasoro usiku.
Je, kama zipo kasoro katika MIRADI hiyo au MAJENGO.
Je, zitabainika kweli au ndio utaratibu wa ilani na sera ya chama?
Kichwa kinajieleza, hapa ningependelea tuweke video, picha na hata maelezo yanayohusu miradi inayotekelezwa na kila hatua iliyofikia ili kujuzana wapi tumetoka, wapi tupo na wapi tunaelekea.
Kama ambavyo tunafanya kwenye ile thread ya Nairobi vs Dar es salaam.
Naamini kuna watanzania wengi...
Jumla ya miradi ya ujenzi ya maendeleo 12 kati ya 16 ( sawa na asilimia 75) katika mkoa wa Njombe imekutwa na kasoro mbalimbali katika utekelezaji wake baada ya Taasisi ya upambana na kuzuia rushwa mkoa wa Njombe kufanya ukaguzi.
Akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi katika kipindi cha miezi...
Hili jambo kwa muda nimekuwa nimekuwa nikilishuhudia mara kwa mara pale viongozi wetu wanaposhughulika na miradi yetu na vyombo vya habari kuwasogelea. Binafsi sijisikii kuipenda sana hii tabia. Hata Ayoub Riyoba nimemsikia leo anasema SGR yetu ni ya kwanza kwa Afrika.
Kwanini hivi...
MBUNGE MH. MASACHE KASAKA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI MIRADI
Mbunge wa Jimbo la Lupa-Chunya, Mhe. Masache Kasaka ameendelea na ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo iliyopokea Fedha za Mfuko wa Jimbo. Tarehe 21 Februari 2023 Mhe. Masache Kasaka ametembelea;
1. Kituo cha Afya-Matwiga,
2. Shule...
MIRADI YA SEKTA YA AFYA ILIYOPATA FEDHA JIMBO LA IGUNGA KWA MWEZI FEBRUARI 2023
1. Zahanati ya Mtunguru (Kata ya Mtunguru) - Tshs. 46,600,000/-
2. Zahanati ya Igogo (Kata ya Nanga) - Tshs. 27,600,000/-
3. Zahanati ya Mwamashimba (Kata ya Mwamashimba) - 29,600,000/-
4. Zahanati ya Itunduru...
Serikali ya Rais Samia Suluhu inatekeleza miradi mikubwa mitatu ya kupeleka umeme zaidi vijijini miradi ambayo itagusa sekta ya kilimo, afya, maji, viwanda vidogo na madini.
Ukamilishaji wa miradi hii ni December mwaka huu
Sijakosea najua hili ni Jukwaa la Jokes na nimeweka hapa sababu yanayofanyika ni kama Utani...
Nimemsikia Makamba leo katika utiaji wa Saini za mikataba lukuki ambayo itahitaji pesa lukuki za kuweza kufanya umeme kuwa Historia yaani anasema kwama vile Mkapa alivyofanya usafiri kuwa mzuri...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishudia Utiaji Saini wa Mikataba ya Utekelezaji wa Miradi Mahsusi ya Umeme leo tarehe 14 Februari, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini REA, Hassan Said anazungumza
Mikataba 14 ya Wakala wa...
Habari za weekend wanajukwaa
Kumekuwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wafuasi wa JPM kwamba miradi itakufa ama miradi haitofanyika sababu JPM hayupo. Na wengine wameenda mbali sana na kusema hakuna aliyewahi kufanya miradi kama ilivyofanyika awamu ya tano. Hapo chini nimeweka mifano tu ya...
Serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, imeshuhudia mafanikio makubwa katika kuimarisha miundombinu hususan barabara, reli, viwanja vya ndege, bandari, huduma za kiuchumi na kijamii, ujenzi wa madarasa, hospitali, zahanati na vituo vya afya, huduma za maji, utawala bora, mapambano...
Mara nyingi nchi za Magharibi zimekuwa zikitoa kauli ambazo haziendani na ukweli kuhusiana na ushirikiano na uhusiano kati ya China na nchi za Afrika. Nchi hizo zimekuwa zikidai kuwa, China inaibebesha Afrika mzigo mkubwa wa madeni, na hata kufikia kusema kuwa, China inaendeleza ukoloni mamboleo...
Serikali kama imelala kwenye fedha inayoleta kwa ajili ya maendeleo fedha hizo zinaishia mikononi mwa wajanja. Kwani yanayofanyika ni madudu matupu nimepitia baadhi ya halmashauri.
Miradi mingi haijakamilika na pesa zote zimetafunwa na wajanja na bado wako maofisini mpk sasa. serkli haitumi...
Nasikitika kwamba uzi wangu wa US ambassador's self help fund ulifutwa sikuelewa sababu ni zipi. Nimepata lawama sana juu ya uzi huu nimeurudisha tena uzi huu.
Vijana wenzangu ninawapenda sina wivu na mtu, mimi ni mpenda maendeleo tuchangamkie hii fursa.
US AMBASSADOR’S SPECIAL SELF-HELP FUND...
Habarini wana JF.
Baada ya kuwa kimya katika kipindi kirefu nimeona sio mbaya nije kushare mengi kuhusiana na hii field ili tuweze kukomboana kwa wale watavutiwa na hili hasa kwa mikoa yetu hapa TZ
Ntaanza kuzizungumzia kimakundi baadhi ya mashine ambazo watu wa kipato chochote wanaweza kuwa...
Profesa wa Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford amemshauri serikali ya Samia kuwa na uangalifu kuhusiana na kutekeleza miradi mikubwa aliyoianzisha Magufuli kwa pupa kwa kuwa inaweza kuliingiza taifa kwenye madeni makubwa yatakayoathiri uchumi wake
Magufuli alipoingia madarakani alianzisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.