Hizo ndio Kauli nazisikia wadau wakiniambia....
Mapato, na Mikopo navyo tunapata, yaani mambo yapo sawa sawia...
LAKINI najiuliza hizo Pesa zote za hao watalii, mikopo na Tozo tunazopata kwanini sioni maendeleo kitaa sambamba na hizo neema tunazopata ?
Ni wapi panavuja ? Kama Royal Tour...