miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. saidoo25

    Miradi ya EPC+F yamuondoa Waziri Bashungwa Ujenzi, Mpina alionya mikataba hii miaka 2 iliyopita akapuuzwa

    MSIKILIZE HAPA MH RAIS SAMIA KUHUSU EPC+F LEO TAREHE 10 DISEMBA 2024 https://youtu.be/8RqWIsRYKvQ?si=Q7tQR3tXSsYr95au MSIKILIZE HAPA MPINA AKIPINGA EPC +F TAREHE 26 May 2023 https://youtu.be/xFIULsHcw8o?si=b7d9zumzL3OvPb0e SIKILIZA HII HAPA SIKU YA KUSAINI MKATABA WA EPC+F TAREHE 17 Jun...
  2. Pfizer

    Waziri Aweso atembelea Benki ya EXIM ya Korea ambayo imefadhili utekelezaji wa miradi ya Majitaka nchini ya Dola Milioni 248.3

    WAZIRI AWESO ANADI MIRADI YA MAJI KOREA Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa H. Aweso (Mb) ametembelea na kufanya mazungumzo na Benki ya EXIM ya Korea ambayo imefadhili utekelezaji wa miradi ya Majitaka nchini Tanzania yenye jumla ya Dola za Kimarekani Milioni 248.3 (Mkoa wa Dar es Salaam 90 $US milioni...
  3. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Katimba: Kamilisheni Miradi kwa Wakati Kuharakisha Tija kwa Wananchi

    MHE. KATIMBA - KAMILISHENI MIRADI KWA WAKATI KUHARAKISHA TIJA KWA WANANCHI Naibu Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba (Mb) amemtaka Mkandarasi na Mtaalamu Mshauri anayetekeleza Mkataba wa Ujenzi wa miundombinu inayoratibiwa na mradi wa TACTIC wilayani Kahama Mkoani Shinyanga...
  4. Stephano Mgendanyi

    Wabunge Wanawake Zanzibar Wafika Kaskazini Unguja, Wakagua Miradi Iliyotekelezwa

    WABUNGE WANAWAKE ZANZIBAR WAFIKA KASKAZINI UNGUJA, WAKAGUA MIRADI ILIYOTEKELEZWA Wabunge Wanawake Zanzibar wakiwemo Wabunge wa Majimbo na Wabunge wa Viti Maalum wameendelea na ziara yao ya kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya Rais wa Zanzibar na...
  5. Mindyou

    LGE2024 Dotto Biteko: Jitokezeni kupiga kura ili "kumlipa" Samia kwa upendo kufuatia miradi mbalimbali ya maendeleo

    Wakuu, Hivi kumbe kuna baadhi ya wanaCCM wanapiga kura ili kumshukuru Rais? Doto Biteko amewataka WanaCCM Bukombe kujitokeza kupiga kura ya kuwachagua viongozi wao katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama shukrani kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mingi ya maendeleo iliyotekelezwa...
  6. Grahams

    Baadhi ya miradi ya uwekezaji inayoweza kufanywa na wastaafu

    Salaam, Kila mtumishi aliyeajiriwa, akumbuke itafikia wakati atalazimika kustaafu kazi. Kustaafu huku inaweza kuwa ni kwa hiari ama kulazimishwa kutokana na Umri (Miaka 60 ama 65 kwa Wakufunzi wa Vyuo Vikuu) ama sababu za Ulemavu ama Maradhi yasiyotibika. Kwa kujua huku kwamba kuna siku...
  7. T

    Ushauri na Usaidizi ktk Maandiko ya miradi

    Salam! Kwa mtu binafsi Kwa biashara yoyote Kwa NGO yoyote Kwa taasisi yoyote ya elimu Kwa taasisi yoyote ya kidini IWE NI WAZO AU SHUGHULI HALISI NINATOA HUDUMA YA USHAURI NA USAIDIZI KATIKA: 1) Kuanzisha/kuboresha/kupanua biashara au Mradi 2) Kufanya Tathimini ya maendeleo ya biashara au...
  8. Waufukweni

    Pre GE2025 Ni mbinu ya kupata kura?, Utekelezaji wa miradi na miundombinu kipindi cha Uchaguzi: Je, Usalama wa Mazingira na Uendelevu unazingatiwa?

    Muda wa uchaguzi ni kipindi cha kipekee katika mchakato wa kisiasa, ambapo wagombea na vyama vya siasa hutumia kila mbinu kujiweka katika nafasi nzuri ya kushinda kura. Katika mazingira ya Tanzania, utekelezaji wa miradi ya miundombinu na maendeleo wakati wa uchaguzi umejikita kama sehemu muhimu...
  9. M

    TANESCO wekeni mipaka au Bicon kwenye maeneo ya miradi mikubwa kuepuka kuwabomolea wananchi nyumba zao hapo baadae

    Nalileta hili kwenu kwa sababu nimeona madhara mengi kwa wananchi. TANESCO, mnatakiwa mkishapima eneo, hasa kwenye miradi mikubwa ya nguzo za chuma, muweke alama zenu za mawe (bicon). Sababu ni kwamba maeneo ya mwisho wa mipaka yenu huleta mizozo mingi na wananchi. Hata kama mradi wa kujenga...
  10. Stephano Mgendanyi

    Bunge laridhika na utekelezaji wa Miradi ya Misitu na Nyuki, laipongeza Wizara

    Na John Mapepele Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhika na miradi mbalimbali ya misitu na nyuki inayotekelezwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mfuko wa Misitu na Chuo cha Mafunzo ya Ufugaji Nyuki Tabora (BTI) na kupongeza kwa kazi nzuri inayofanyika...
  11. Stephano Mgendanyi

    Miradi 77 Inaendelea Kutekelezwa na TANROADS Nchini

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) yenye thamani ya Shilingi Trilioni 4.6. Aidha, Serikali kupitia TANROADS...
  12. L

    Utaratibu Mpya wa Mawaziri Kukagua na Kuzindua Miradi isiyo katika Wizara zao Hauwezi kuleta migogoro?

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona kwa siku za karibuni kuona Waziri au Mawaziri wakifanya kazi ya kukagua ama kuzindua ama kutembelea miradi isiyo chini ya wizara zao. Sasa katika utaratibu huu mpya nilikuwa na Maswali kadhaa ila leo nauliza machache. Je utaratibu huu hauwezi kuleta migogoro ya...
  13. Mpekuzi Tanzania

    Je mawaziri kufungua miradi isiyo ya sekta yao ni ubunifu au kasi ya awamu ya sita?

    Siku za karibuni kwa wafuatiliaji wa mambo ya ndani ya Nchi na Siasa za Bongo kumekuwa na kasumba ambayo haijazoeleka ya mawaziri kufungua au kukagua miradi isiyo ya sekta anayoisimamia. Ivi karibuni 1. Deo Ndejembi, Waziri wa Ardhi alionekana Msalala Kahama kwenye miradi ya shule iliyopo...
  14. J

    Ukali wa Mchengerwa kwa wakandarasi ni chachu katika kukamilisha miradi kwa wakati

    UKALI WA MCHENGERWA KWA WAKANDARASI NI CHACHU KATIKA KUKAMILISHA MIRADI KWA WAKATI. Na, John Swai Mhe. Mohammed Mchengerwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), ana msimamo thabiti kuhusu uwajibikaji na nidhamu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo...
  15. figganigga

    Ninachokijua kuhusu Miradi ya DMDP na Ujenzi wa Miundombinu Mkoani Dar

    Salaam Wakuu, Mwaka wa fedha 2012/13 Serikali ilibuni Mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam (Dar es Salaam Metropolitan Development Project – DMDP), Madhumuni makubwa ya mradi wa DMDP ni kukabili changamoto zinazolikabili Jiji la Dar es Salaam kwa kutilia mkazo uboreshaji wa huduma za...
  16. Yoda

    Kwanini Saudi Arabia wameanzisha miradi ya umeme wa Jua?

    Hili Taifa lina mafuta na gesi ya kutosha ila sasa wameingia na kwenye miradi ya umeme wa jua! Umeme wanaozalisha kupitia jua ni sawa na umeme wote tunaozalisha hapa kwetu kupitia maji!
  17. SAYVILLE

    Hatuoni tatizo kwa miradi ya Serikali kutokana na mawazo ya wawekezaji wa kigeni?

    Ngoja na mimi leo nibwabwaje. Hili jambo nimeanza kuligundua zamani sana. Unakuta mwekezaji au serikali ya nje inakuja na kusema fanyeni hivi na vile tutawapa pesa za huo mradi. Motive ya hao wawekezaji ni ROI yao kwanza, wanazo pesa zimezagaazagaa wanazunguka dunia nzima kutafuta pa...
  18. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Akagua na Kuzindua Miradi Mkuranga - Pwani

    BASHUNGWA AKAGUA NA KUZINDUA MIRADI MKURANGA - PWANI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezindua jengo la utawala katika Shule ya Sekondari ya Mwandege lililojengwa na kukamilika kupitia fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga lililogharimu kiasi cha Shilingi Milioni...
  19. Eli Cohen

    Vijana hawa Wakiafrika wametengeneza video kuonesha mnyororo wa upigaji wa pesa za miradi Afrika. Its funny but depressing 🤣😠

    https://youtube.com/shorts/5lm6tYWIaAk?si=ljz2wml3yqs92TuF
  20. BwanaSamaki012

    Mwambie mwenzio: Nina toa uduma za Kitaalamu kwa Mafanikio ya Miradi ya Ufugaji Samaki

    Habari Wakuu! Ufugaji wa samaki ni utamaduni/maarifa mapya hivyo watu wengi wanastruggle sana kupata taarifa sahihi juu ya njia bora ya kufanya ufugaji wa samaki kibiashara Mimi ni mtaalamu wa ufugaji wa samaki ninatoa huduma zifuatazo ambazo ili kusaidia jamii kukuza uelewa na mwisho kufikia...
Back
Top Bottom