Jana nilikuwa nazika dogo MMOJA pale Arusha sekei
Kijana amekuwa na bosi wake miaka kama kumi
Wakafanikiwa KWENDA kununua kiwanja bagamoyo hk 4
BOsi wake hakufanjkiwa kukiendeleza
Wakaakaa kama miaka 5 wakaenda kukifatilia wakakuta nusu kimeuxwa na kuna watu wameshajenga sio mtu MMOJA...
Habari wana jamii,kuna jambo naomba muongozo kidogo wa kisheria kwa mwenye ufahamu nalo.Tuna mali tumerithi toka kwa baba yetu na tuko watatu lakini kwa bahati mbaya mwenzetu mmoja amefariki na kuacha watoto wawili ambao ni wakubwa (above 18).
Baada ya msiba tulikaa kama familia na sehemu ya...
===
Kwanza, Nataka nyie msio wakatoliki mfahamu kuwa Mapadre na maaskofu wa Katoliki sio ngurumbili kama baadhi ya Viongozi wetu wengine wa dini hapa nchini.
Mapadre na maaskofu wa kikatoliki ni watu wasomi na wabobevu wakubwa katika maswala mbalimbali ya Kijamii kama siasa, Uchumi, Elimu etc...
Ikiwa kama nyaraka zote zimekamilika na mmeambiwa msubiri malipo kwenye akaunti zenu,huchukua muda gani??
Kwa uelewa wangu kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia basi ni siku kadhaa! Mwezi wa pili huu mnaambiwa msubiri!
Nb:Mirathi mahakama ya Nyamagana!
Fatma Awadh mkazi wa Kariakoo amemshukuru Rais Samia na aliyekuwa waziri wa Ardhi Mhe. Jerry Silaa (sasa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari) baada ya kushinda kesi ya Mirathi ya Nyumba dhidi ya watoto wake.
Kesi hiyo iliyoanza 2006 imepata majibu baada ya kudumu mahakamani...
Kesi za mirathi na kesi zote za umiliki wa ardhi na majengo zimepata suluhu baada ya Mh Jerry Silaa kuongeza kasi ya kukomesha wale wote wanaosababisha mtafaruko ndani ya jamii
Mh raisi Samia tunakupongeza sana kwa kumpa Waziri wa ardhi cheo hiki hakika anakitendea kazi
Mh raisi bado tunahitaji...
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model.
NB: Tengeneza future ya wategemezi wako ukiwa na nguvu.
Wamarekani wanamlaumu Kobe Kobe ana makosa ya kutowapa wazazi wake maisha hakuandika wosia kabla hajafa hivyo ni kama alichagua kutojumuisha wazazi wake katika wosia wake hivyo mali zote zimeenda kwa mke wake.
Ukweli wamarekani wana utamaduni wa ajabu sana, how can a person be worth Trillions...
Za asubuhi wapendwa, hope nyote mu wazima wa afya, na kwa wale wagonjwa Mwenyenzi Mungu awafanyie wepesi.
Hapa mtaani kuna mama amerehemika, huyo mama ameacha mume na watoto 3. Mali zote alizokuwa nazo huyo mama kawarithisha wanawe, yaani mume mtu kaambulia pangu pakavu.
Kumetokea mvutano wa...
tunaanza na mistari ya biblia
Mithali 13:2 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi
Mithali 19:14 “Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na
Bwana”
NIMEGUNDUA WAZAZI WA ZAMANI WASIOENDA SHULE WANA AKILI KULIKO WAZAZI WA KISASA.
Elimu ya Mzungu...
Habari wadau.
Ugomvi mkubwa wa mirathi ya marehemu Nelson Mandela umefikia pabaya. Baada ya baadhi ya wanafamilia kuanza kuuza mali za Marehemu.
Watoto na Wajukuu wa mandela wameingia kwenye ugomvi mkubwa wa kugombania mali za babu yao marehemu Mandela.
Africa tunafanana tabia. Kwenye swala...
According to taarifa zinasombaa mtandaoni, asset ya maana Ruge aliyoacha imeuzwa kwa Bil 2 za kitanzania.
Lakini jambo zuri kuliko yote, wanufaika wa mgao hao ni watoto 6 wa Marehemu tu. Kazi kwa mama zao kuwasimamia watoto wafaidi urithi wa baba yao kama WANA AKILI TIMAMU. Maana baba kajua...
Anaandika Nyemo.H Nyemo toka Facebook
Habari za usiku huu,
Naombeni msaada wa kisheria. Leo nimeingia kwa pilato!
Iko hivi wakuu, mzazi wangu wa kiume (baba) alipofariki miaka kadhaa iliyopita nikiwa na miaka mitatu(3). Kulitokea kashkash za ndugu upande wa baba kutaka kumdhulumu nyumba...
Hii ni kwa mujibu wa uamuzi wa Mahakama Kuu kwenye kesi kati ya Juma Sylvester Mfumia dhidi ya Antony Adabu Mmasy, Rufaa ya Ardhi Namba 68 ya mwaka 2022, kesi ilisikikizwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga (nitakwambia baadaye kwa nini nimeita uamuzi wa “Mahakama Kuu” wakati ilisikilizwa Mahakama...
Nakumbuka kuna siku Ben alipata ajali, alikuwa anatoka kwa Rita, akaanguka kwenye mtaro na Benz lake. Akampigia Askari wake wa amani ndio akaenda kumtoa, alikuwa mwenyewe akijiendesha. Alipata ajali Mikocheni karibu na daraja la JKT pale Mlalakuwa akitokea kwa Rita. Wakati huo akiwa bado ni...
Vicky Kamata ameungukia pua kwenye kesi ya mirathi ya aliyekuwa mume(danga) wake Dr. Servacius Beda Likwelile. Mahakama imesema ndoa hiyo haikuwa halali kwa sababu Dr. Likwelile alikuwa ameoa hapo mwanzo na hajawahi kutalikiana na mke wake.
Hivyo ndoa ya Vicky Kamata haikuwa halali na hivyo...
Dkt. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria anaeleza namna ambavyo siku hizi wasimamizi wa mirathi ambao hawapo kwenye mirathi wanavyodhulumu wahusika haki zao kisa yeye anasimamia mirathi.
Sheria ya Ndoa haiongelei mahari
"Kimila ndoa ni suala la utamaduni, kisheria ndoa haiongelei suala...
Mzee alikuwa mfanyakazi wa bandari ya Dar kama zimamoto geti no.7/8 mpaka alipostaafi.
Kilichomgharimu huyu Mzee ni kama wazee wengine tu alijenga kijijini kwake akiamini baada ya kustaafu angerudi huko lkn mwishowe alibadili gia angani na kulazimika pesa ya kustaafu ndio aitumie kujenga jengo...
Kuna jirani yangu mmoja hapa alifariki mwaka jana.
Yeye na mkewe wa ndoa wanawatoto 3. Mtaani tulikuwa tunajua wote hawa ni watoto wake wa kuwazaa kabisa. Hata marafiki zake walikuwa wanajua hivyo kabisa na watu wanaofanya kazi moja.
Na ndugu wa mkewe na ndugu wa mume. Wote walikuwa wanajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.