Jinsi ya kugawa Mirathi ya Kiislamu
Katika somo letu hili tutawatizama wale warithi wa msingi jinsi wanavyapata viwango vyao vya kurithi hawa huitwa warithi wasiozuiwa na yeyote.
Warithi wa msingi ni Baba, Mama, Mke/Wake, Mume, watoto wa kike na watoto wa kiume. Somo hili ni marejeo ya Kuraani...