Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), Dk. Alex Malasusa, amekemea baadhi ya Wakristo nchini wanaotumia njia ya kuwasaidia wahitaji ili kujipatia umaarufu au kukubalika zaidi katika jamii.
Alisema kutenda matendo mema na kuyatumia kama...