Mashirika Matano yamechukua uamuzi huo kutokana na mfululizo wa makatazo mapya yanayowekwa dhidi ya Wanawaka Nchini humo chini ya utawala wa Taliban.
Baadhi ya mashirika hayo ni Care International, the Norwegian Refugee Council (NRC) na Save the Children ambayo yamesema hayawezi kufanya kazi...
Je, ni kweli Mikopo na Misaada ya China kwa nchi za Afrika imejaa 'Mitego ya kisheria'?
China inaonesha kwenda kuwa taifa kubwa kiuchumi na kuziondoa nchi za magharibi katika nguvu walizonazo. Je, waafrika wategemee kitu gani?
Ungana nasi katika Mjadala na Wataalamu na Wadau wa Uchumi, kupitia...
Nikibahatika Kumpiga Mhindi (kwa Kubeti) katika Mechi niliyobeti (weka Mkeka) Yanga SC anafungwa 3 kwa 0 na Al Hilal FC Kesho Jumapili na kupata Millioni zangu 320 nataka nichangie Millioni Tano Tano kwa kila Shule niliyosoma kisha nitamrushia Tsh 600/= kila Jamiiforums Member ya Kununua Soda...
Naibu spika wa Bunge, Mussa Zungu akiwa kwenye mkutano wa ITAC unaohusu ushiriki wa wananchi kwenye maendeleo ya nchi, ameipongeza Serikali kwa kuwasikiliza wananchi na kupunguza Tozo.
Zungu ametaka kujivunia na kufunga mkanda kujenga wenyewe badala ya kutegemea misaada kwani inaenda kupungua...
Wameambiwa wale ni ndugu na watoto wao wanaoteseka kule Ukraine kwenye vita...
Russian teachers have been asked to give up part of their salaries and donate it to Russian soldiers invading Ukraine.
A teacher at one of the schools told Important Stories they were given flyers to apply to...
kuna hii tabia inakera sana kuna baadhi ya watu katika makabila flani wakishaona ndugu / kaka / dada yao katoboa ama ndugu yao wa kike / dada yao kaolewa na mtu mwenye maendeleo si haba basi huenda kujazana huko. Wanakula na kulala hapo bila kazi maalum.
Nyuma ya hii tabia hakukosekani...
Umoja wa Mataifa unasema Sudan Kusini inaendelea kuwa "mazingira yenye vurugu zaidi" kwa watoa misaada ya kibinadamu ikifuatiwa na Afghanistan na Syria baada ya Wafanyakazi 5 wa Mashirika ya Kutoa Misaada kuuawa wakiwa kazini Ndani ya Mwaka 2022 pekee
Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya...
Habari JF,
Mimi kama mtanzania wa hali ya chini nimekuwa nikifuatilia namna wananchi tunavyolipa kodi na Tozo mbali mbali lakini kuna mikopo mikubwa sana tumechukua ndani ya kipindi kifupi.
Kila nikijaribu kufuatilia pesa hizi zinatumika wapi sipati majibu sahihi, wengine wanasema JPM aliacha...
Kwa kawaida Ukraine ilikuwa na msimamo kama wa Urusi wa kutokuruhusu ndoa za jinsia moja. Lakini mabeberu wa nchi za magharibi wametumia kipindi hiki ambacho Ukraine inataka kuingia kwenye Umoja wa nchi za Ulaya EU, na iendelee kupata misaada ya kijeshi katika vita yake na Urusi, kuibana ukraine...
Hivi kwa Nchi kama Tanzania ambayo iliwahi kusanya mpaka Trlioni 2.5 kwa Mwezi na Bajeti yetu ni kama Trioni 40 kwa mwaka ,ni kwanini tuendelee kukopa na kuomba misaada ?
Misaada na Mikopo yenyewe pesa zina Masharti mabovu .
Unapewa pesa unaambiwa ujenge madarasa sijui visima ,vyoo ,ina tija...
Agenda ya nchi za Magharibi kuidhoofisha urusi kwa kuitumia ukraine hasa ilianza tangu mwaka 2014 baada ya kumpindua Rais aliyekuwa wa mlengo wa Urusi.
Tangu wakati huo nchi za Magharibi zimekuwa zikiipa Ukraine silaha na mafunzo ya kijeshi ili hatimaye ukraine itiwe kiburi kukataa makubaliano...
Mgogoro wa Ukraine umeendelea kwa zaidi ya miezi miwili. Baraza la Wawakilishi la Bunge la Marekani hivi karibuni lilipitia mpango wa msaada wa takriban dola bilioni 40 kwa Ukraine. Mpango huo utakabidhiwa kwa Baraza la Seneti, ambapo unatarajiwa kupitishwa kwa mafanikio.
Takwimu zilizotolewa...
Ukraine received over $12bn in weapons, financial aid since start of war
Ukraine has received over $12bn in weapons and financial aid since the start of Russia’s full-scale invasion on February 24, Ukraine’s Prime Minister Denys Shmyhal has said.
Speaking at a high-level donors’ conference in...
Waziri mkuu mstaafu wa awamu ya nne, Mizengo Pinda akiwa kwenye kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa baba wa Taifa, hayati Mwl. Nyerere ameongelea misaada na masharti yanayokuja nayo. Pinda amesema mwalimu alikataa katakata misaada yenye masharti yasioendana na Maslahi ya Taifa.
========
Mizengo...
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, David Cameron yupo njiani akiendesha gari aina ya Lori kutoka Uingereza hadi Poland kwa ajili ya kutoa msaada kwa wakimbizi kutoka Nchini Ukraine
Sehemu ya misaada ambayo anatarajiwa kutoa ni nguo, nepi na mahitaji ya huduma ya kwanza kutoka katika mradi...
Wafanyakazi wa viwanja vya ndege wamegoma kupakia shehena ya silaha Toka Nchi za magharibi, huku zikiwa zimeandikwa kuwa ni shehena ya madawa na vyakula Kama misaada ya kibinadamu!
Nchi za magharibi ni washenzi! Wanashangilia vita kwa kuwa kwao ni soko la silaha na fursa ya kufanya majaribio ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.