misaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Tauhida Atoa Misaada kwa Wanafunzi wa Kidato cha Nne Walioko Kambini, Awaasa Kushirikiana.

    MBUNGE TAUHIDA ATOA MISAADA KWA WANAFUNZI KIDATO CHA NNE WALIOKO KAMBINI, AWAASA KUSHIRIKIANA Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea Mitihani ya Kidato cha Nne Wanafunzi wa Kidato hicho wameaswa kutumia muda ambao wako Kambini kushirikiana na kuelekezana katika Masomo jambo ambalo litawapelekea...
  2. BARD AI

    TOP 10: Tanzania ni kati ya Nchi 10 za Afrika zinazoongoza kwa kupokea Misaada kutoka Marekani

    Takwimu za World Population Review kwa kipindi cha takriban miaka 5 Nchi za Afrika pekee zinakadiriwa kupokea 32% ya misaada ya Kifedha kutoka Marekani, 31% ni Nchi za Mashariki ya Kati na 25% katika Nchi za Asia. Nchi 5 za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania ni kati ya Nchi 10 Barani Afrika...
  3. Lady Whistledown

    Ufaransa yasitisha Misaada Burkina Faso kwa kuiunga Mkono Niger

    Ni baada Serikali ya Kijeshi Nchini Burkina Faso kusema itapigana na yeyote atakayejaribu kuwavamia Kijeshi viongozi waliofanya mapinduzi nchini Niger ili kumrejesha Madarakani Rais Mohamed Bazoum Hatua hii inakuja baada ya muda ambao Jumuiya ya Afrika Magharibi ECOWAS iliwataka Viongozi wa...
  4. N

    Huwenda miaka ijayo, misaada ya ARV inaweza sitishwa na Marekani. Je, Tanzania imejipanga vipi na suala hilo?

    Huwenda miaka ijayo, misaada ya ARV unaweza sitishwa na marekani. Je Tanzania imejipanga vipi na suala hilo? Nimekaa nikatafakari sana, huenda miaka ijayo misaada inayotolewa na marekani hasa dawa za kufubaza hawa virusi vya vinavyosambabisha UKIMWI. Kutokana na hali hii marekani atabaki kuwa...
  5. jemsic

    SoC03 Umefika wakati wa kujikwamua kutoka kwenye misaada isiyoheshima

    Picha: Swahilitimes UTANGULIZI Mara nyingi sana mataifa maskini yamekopa kwa mataifa yenye uwezo lakini hatukuwahi kuona nchi tegemezi zikijikwamua katika hali zake duni za kiuchumi kupitia misaada zinayopewa kwani misaada mara zote hudumaza. Tukitathmini kwa makini tutagundua hata katika nchi...
  6. The Assassin

    Finland imetishia nchi za Afrika na Asia kuziondolea misaada iwapo zitaunga mkono Urusi

    Serikali ya Finland imetoa onyo kali kwa nchi za Afrika na Asia kuchagua kuiunga mkono Urusi ama kuchagua misaada. Finland imesema ukiunga mkono Urusi inakata misaada na mikopo nafuu. Soma hapa.
  7. Mwachiluwi

    TASAF walengwa hawafikiwi na misaada kwanini?

    Hellow Tasaf mmekuwa kero sana kwa wananchi hasa vijijini mnaandika majina yenu ndio mnakuwa mnapokea ninyi hii sio sawa hata kidogo jana nimeshuhudia mwananch akirudi analia baada ya kwenda kupokea fedha za TASAF alitakiwa kupokea 30000 lakini kakatwa pesa kabakia 12000 je hii ni sawa...
  8. bongo dili

    Afrika itaendelea siku itakapoacha kupewa misaada toka nje

    Ukitaka kumfanya mtu kuwa masikini ili umtawale mpe pesa.Ukiona mtu anakupa msaada hakupendi na hataki ujitegemee. Zamani wazee wa kichaga Mtoto akimaliza darasa la Saba anafukuzwa nyumbani kwa kuambiwa mkataba wako umeisha wa kula na kukaa hapa nyumbani, hii ili wapush wachaga wengi kupambana...
  9. Librarian 105

    Ofisi za Wakuu wa Wilaya na barua za wapitao mitaani kuomba misaada!

    Maana nimekutana na hawa watu (nawe pia naamini umekutana nao) wanapita mitaani kuomba wasaidiwe matibabu au masuala mbalimbali ya kijamii. Tusiwajadili wale matapeli. Mana leo nmekutana na mhitaji kweli alipata ajali ya gari. Anahitajika kurudiwa upasuaji wa mguu. Ukicheki gharama ni kama laki...
  10. T

    Unadhani ni kweli Hayati Magufuli aliiona Tanzania ikiwa nchi ya kutoa misaada kwa nchi zingine?

    Ni kweli miradi iliyoanzishwa chini ya utawala wa Magufuli, ilitosha kuifanya nchi yetu kuondokana na umasikini na kuwa nchi yenye uchumi mkubwa kiasi cha kutoa misaada? #Unapoitazama SGR unaona nini #JKNHP, unaona nini #Kauli mbiu ya viwanda, wewe unaona nini #Ununuzi wa ndege Je. #Upanuzi...
  11. Mnaa200

    Hivi itachukua miaka mingapi Tanzania ijiendeshe bila misaada?

    Wajuzi na watabiri wa mambo naombeni mnisaidie itachukua miaka mingapi nchi yetu ijiendeshe yenyewe. Ni aibu kwa taifa lilopata Uhuru zaidi ya miaka sitini tunaagiza chumvi,sukari na mchele n.k nje ya nchi.
  12. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mhe. Msongozi - Atoa Misaada ya Cherehani 60, Mbegu za Soya, Majiko ya Gesi 106 na Vifaa Tiba Ruvuma

    MHE. JACQUELINE MSONGOZI - ATOA MISAADA YA CHEREHANI NA VIFAA TIBA VITUO VYA AFYA MKOA WA RUVUMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma na Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Jacqueline Ngonyani Msongozi amefanya ziara ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono kwa vitendo...
  13. benzemah

    Tanzania kutoa misaada kwa nchi jirani ni kusimamia sera yake ya mambo ya nje

    Katika siku za karibuni tumeshuhudia Tanzania ikikabidhi "misaada" ya kibinadamu kwa nchi zilikumbwa na majanga ambazo ni Malawi ambayo ilikumbwa na kimbunga Freddy pamoja na Uturuki ambayo ilikumbwa na tetemeko kubwa la ardhi lililopelekea uharibifu mkubwa wa mali na mazingira. Nchini Malawi...
  14. Roving Journalist

    Waziri wa Ulinzi, Bashungwa akagua zoezi la usafirishaji misaada kwa Malawi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Lugha Bashungwa (Mb) ametembelea Ofisi za Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula Kanda ya Dodoma, kwa lengo la kujionea utekelezaji mzima wa zoezi la usafirishaji wa msaada wa chakula kwenda nchini Malawi. Zoezi hili linatekelezwa na Jeshi la...
  15. BARD AI

    Tsh. Trilioni 13 kwenye Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2023/24 ni Mikopo na Misaada

    Serikali inatarajia kuongeza 7% sawa na Tsh. Trilioni 2.9 ya Makusanyo kwenye Matumizi ya Fedha za Bajeti ya mwaka 2023/24 ili kufikia Tsh. Trilioni 44.38 kutoka Tsh. Trilioni 41.48 ya mwaka 2022/23. Tsh. Trilioni 26.72 zitakusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia Kodi na kiasi...
  16. system hacker

    Kwa Tanzania vyama vya upinzani ni ulaghai. Lengo kubwa ni misaada ya wazungu

    Kimsingi, wale wote wanaopata shuruba kwenye siasa za upinzani ni wale wasio na ufahamu wowote kuhusu maana halisi ya upinzani kwa Tanzania. Lakini, wale wachache wanaoelewa huwa hawaingii kwenye misukosuko yoyote na watawala. Watu wengi kwenye siasa za upinzani wanatumika pasipo wao kujua...
  17. R

    Rais anakazana kupata mikopo na misaada lakini mifumo ya ukusanyaji kodi, tozo na mapato mengine imetoboka sana

    Unaweza kujenga Imani Kwa wageni kuja kuwekeza nchini Kwa wingi; wageni wakafika Kwa wingi na kutumia fursa Ila usinufaike na kuwepo Kwa wageni hao. Juhudi za Mhe. Rais zinaweza zisizaie matunda Kwa Sababu aliowaamini kwamba wanaweza kukusanya na kuhifadhi mapato yatokanayo na uwekezaji wa...
  18. F16 Falcon

    Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani ajiuzulu kwa kutoa misaada ya silaha kwa Ukraine

    Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani, Christine Lambrecht amejiuzulu kwenye nafasi, kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Habari la Uingereza (BBC Swahili). ======== Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani ajiuzulu - Hatua ya Ujerumani kuisaidia Ukraine silaha kufuatia mapigano yanayoendelea baina ya taifa...
  19. Balqior

    Misaada: Hospitali ipi Tanzania inatoa tiba ya varicose veins (mishipa iliovimba)

    Mishipa ya damu kwenye mguu wangu wa kulia imevimba sana ivo inanipa changamoto ya muonekano, Nimegoogle nkajua ni shida ya varicose veins. Ili tatizo Halinipi maumivu wala complications ila inafanya mguu Wangu uonekane mbaya Wapi naweza pata tiba ya hili tatizo kwa wenye uzoefu, Na bei ni sh ngapi
  20. Raphael Thedomiri

    Tahadhari: Misaada na ndoa za jinsia moja

    KANISA la Tanzania Assemblies of God (TAG) Jerusalem Temple, Soko Matola jijini Mbeya, limekemea ndoa za jinsia moja ambazo zimeanza kushamiri nchini. Kutokana na hali hiyo, kanisa hilo limeiomba serikali kutokukubali misaada inayotolewa kwa sharti la kuruhusu ndoa za aina hiyo ili kuendana na...
Back
Top Bottom