Kuna tabia mimi binafsi niseme tu ina kera sana. Mtu humjui akujui anakutumia kimeseji "Mambo mkuu" ujumbe kama huo una kera sana.
Kwa kifupi ndugu zangu tunaotafuta fursa tujitahidi sana kuwa straight to the point. Unahitaji msaada wowote kwa yeyote jitahidi uende straight kwenye point kuna...
Inashangaza kuona Saudi Arabia inayosifika kuwa nchi tajiri ya kiarabu kuona kiasi pekee walichochangia ni dola milioni 133 tu kuisaidia Gaza.
Saudi Arabia imebarikiwa mafuta, visima vingi vinamilikiwa na wanafamilia wa kifalme na ndugu zao (royal family), huonyesha ufahari wao kwa kutumia...
Bi Naledi Pandor, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Afrika Kusini ameshangazwa na matumizi ya maneno pekee kutaka misaada ifikishwe Gaza bila vitendo huku watu wakidondoka mitaani kwa njaa.
Amesema wale wale wanaipa Israel silaha iendeleze maangamizi ya Wapalestina kama hawana...
ni miaka nenda rudi wazungu wanatoa dollar kuzisaidia Tech hubs za Tanzania lakini cha ajabu hatuoni matunda ila utakuta viongozi wa start ups wanatumia simu latest zenye bei mbaya, magari mazuri, apartment ghali, nguo za gharama, n.k.
Tetesi ni kwamba Grants zikifika bongo, wakuu wa hubs...
Ndio dunia yetu ilipofikia, yaani wanaitana ndugu kama waarabu na pia dini ila kila mtu anavutia kwake, fursa ikijitokeza unatupa maadili kule na kujichukulia mihela, lori la misaada kupita lazima litoe dola $5,000
Tena hii tozo haram inamfikia generali wa Misri...
"Lazima kama Taifa tuwe na mikakati ya kujitegemea sio heshima Nchi kama Tanzania tunaishi kwa misaada ili tufikie huku lazima tulipe na kukusanya kodi ambapo bado tunapata shida katika maeneo haya."
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amesema hayo leo, Jumanne 23/1/2024 Jijini Dodoma wakati wa...
Mkuu Mkoa wa Manyara Mhe Queen Sendiga ameongoza zoezi la Ugawaji wa misaada kwa kundi la wafanyabiashara wa Soko Kuu Katesh na wa mazao mbalimbali waliothirika na Maporomoko ya Matope yaliyotokea Desemba 03, 2023 na kuharibu mali zao pamoja na eneo lote la biashara hiyo.
Akikabidhi misaada...
WAZIRI Jenista Mhagama AWASHUKURU PPRA KWA MISAADA YA WASHIRIKI WA MAAFA HANANG'
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama ameupongeza Uongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Mamlaka ya Ununuzi na Udhubuti wa Umma (PPRA) kwa kutambua na kuungana na Serikali...
Habari zenu wana jf,,, naombeni misaada wa mawazo na mawazo ya kisheri... Nipo katika wakati mgumu
Mimi baada ya kuhitimu MBA programme naliamua kujihusisha na shughuli za biashara. Kuanza na, nlianzisha kampuni iliyoitwa Mafuru Furniture Supplies Co Ltd ambapo alikuwa mmiliki mwenye hisa zaidi...
Serikali ya Tanzania imesema thamani ya misaada iliyotolewa na wahisani mbalimbali kwenye maafa ya Hanang imefikia Sh7.7 bilioni.
Kiwango hicho kinajumuisha misaada ya chakula na mahitaji muhimu ya kibinadamu ambavyo thamani yake ni Sh2.5 bilioni huku fedha taslimu zikifikia Sh5.2 bilioni...
Habari ndo hiyo, ngoja tuone kama Netanyahu atatii.
The United States is prepared to support a new draft resolution in the U.N. Security Council that calls for an indefinite pause in the fighting to permit more humanitarian aid to flow into Gaza, U.S. Ambassador Linda Thomas-Greenfield said...
Wananchi wa halmashauri ya wilaya ya Hanang wameishukuru Serikali kutokana na juhudi kubwa iliyozifanya katika urejeshaji wa hali na misaada ya kibinadamu iliyotolewa kwa waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope na mawe kutoka mlima Hanang.
Wananchi hao wamezungumza kwa nyakati tofauti wakati...
Kwamba watawaacha Wapalestina aidha wajifie au walishwe na Israel, hapo sijui wanadhani wanakomoa Israel au Wapalestina, au HAMAS...................
Gulf countries, led by the United Arab Emirates and Saudi Arabia, have issued an ultimatum to Israel stating that if the war between Israel-Hamas...
SI VIBAYA KUKUMBUSHANA
KKUMEKUWANA BAADHI YA MALALAMIKO HUKO NYUMA MADHARA YANAPOTOKEA WAATHIRIKA KUTOPATA MISAADA WANAYOPEWA
VYEM.A TUKIELEKEA CHRISTMAS TUKAMKUMBUKA MUNGU NA KUWA NA HOFU NAE
TUNAAMINI WANAOHUSIKA KUPOKEA WATAPELEKA MISSADA SEHEMU HUSIKA YA WAATHIRIWA BILA KUWA NA UPENDELEOO...
Dunia inapiga makelele kwamba watoto wanakuafa kwa njaa, ila kidogo kinachoachiwa kipite yaani HAMAS wanakivizia na kupeleka kwenye mahandaki.....
https://www.timesofisrael.com/liveblog-december-17-2023/
Tajiri mmoja wa Gaza ya kaskazini amesema wameishiwa na chakula na maji kiasi kwamba kuna baadhi ya familia zimelazimika kuchinja punda na kula nyama yake ili wabaki hai.
Mbali na ushahidi huo picha nyingi za moja kwa moja zinawaonesha wananchi hao wakipanga foleni ndefu na kugombea mikate kitu...
Maamuzi ya bunge la Ulaya kuhusu kuhamisha Wamasai Ngorongoro linakwenda kutaathiri kiuchumi. Tutaathirika kwa sababu tulitumia nguvu huku tukijua kabisa kwamba tunajipanga kuimarisha mahusiano na mataifa mengine.
Bunge la Ulaya kwa zaidi ya asilimia 90 limesema maamuzi ya Tanzania siyo...
Liliacha vijana waendelee kujifia, ila sasa wengi wanajisalimisha tena wakivuliwa nguo na kubaki uchi...
Hamas's leader in the Gaza Strip Yahya Sinwar speaks during a meeting in Gaza City, on April 30, 2022. (Mahmud Hams/AFP)
Hamas leader Yahya Sinwar fled northern Gaza at the beginning of the...
Hali imekua mbaya, Wapelestina na magaidi ya HAMAS waanza kugombea chakula cha misaada, kwenye hii video jameni maskini Wapalestina wanatumia mawe kupambana na magaidi yaliyojihami kwa bunduki.
Wafuasi wa HAMAS humu JF tafuteni namna ya kuwafikishia chakula waache kutesa watu...
Anaandika Malisa G.J toka FB page yake
Baada ya msafara wa Mbowe kuzuiwa na jeshi la polisi kwenda wilayani Hanan'g kwenye eneo lililokumbwa na maafa, Mbowe alilaumu kitendo hicho kuwa si cha kiiungwana na kinawagawa watanzania kwani wahanga wa Hanan'g wanahitaji faraja ya watu wote.
Mbowe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.