Wakuu salama…
Enzi za uhai wake, Rais wa awamu ya tano, hayati John Pombe Magufuli alikuwa ni mpenda drama sana.
Angeweza kusafiri kwa gari kutoka Dodoma pengine kuelekea Chato.
Angeweza kufika Singida na kusimama barabarani bila kujali anasababisha foleni kwa walipa kodi wanaotumia...
Tupo katika dunia ambayo kwa sasa maendeleo ya binadamu, miundo mbinu na ya sayansi yamekuwa yakionekana kuwanufaisha watu hata kiuchumi. Hapa arusha msafara wa viongozi ni kero kwa wataftaji, mnasimamishwa saa 1 kabla ya msafara, kwann wasisimaishe magari na shuguli za barabarani dka 10 tu...
Hivi waha jamaa Muda wote huwa Wana haraka, na je Muda wote huwa wanawahi Jambo Muhimu.
Swali, Je hizi mbio zao wangekua wako serious na maendeleo tungepiga Hatua kubwa sana, Magari ya Serikali yanaongoza kwa kuvunja sheria za Barabarani.
Unakuta Msafara uko Kasi sana Akifika Ofisini achukua...
Nikikumbuka miaka ya nyuma kuanzia kwa Kikwete na Magufuli hali ni tofauti na sasa. Watu hawana tena shahuku ya kujipanga barabarani kushuhudia msafara kama enzi zilizo pita hapo nyuma kidogo kwa sasa Rais anapita lakini ni kama kapita Alikiba tu ingawa hawakosekani raia wa kushangaa barabarani...
Nimesikia kuwa misafara ya Vijana WA CHADEMA wamezuiliwa iringa wasiendelee na safari Yao kwenda Mbeya kuadhimisha siku ya Vijana.
Mheshimiwa Mbowe nae eti kaitwa kwa Msajili wa vyama, unajiuliza, hawa watu wanatumia akili au wanatumia vitu gani? Jana Vijana WA CCM walikua na kongomano...
Kuna jambo moja Hatari lilikuwa limepangwa dhid ya Rais Samia nikatoa angalizo, Ila baadae mliona ana msafara wa magari 120 na ulinzi mkali; ni pale ambapo walipanga kumfanyia mafia
Naona ameamua amtoe muhusika wa ulinzi hadi kuwa RAS Kilimanjaro kutoka kuwa mkuu wa kikosi cha ulinzi wa Rais...
Salaam Wakuu,
Ni aibu kubwa mbele ya Dunia kuna Misafara ya Viongozi wa Tanzania inavyokuwa Mikubwa. Magari Zaidi ya 300 yanamfuata Mtu Mmoja tu.
Magari ya Ulinzi sina tatizo nalo, ila magari ya Watu eti Waziri, Katibu, Mkurugenzi Mkuu wa Mkoa na Wilaya, IGP, nk wote kila mtu anaenda na gari...
Hii imekuwa kero kubwa sana ,hasa kwa wapambanaji ambao akipoteza saa Moja tu au masaa manne amelala njaa!
Wengine weajiriwa anatakiwa kufika kwa wakati kazini kwake akichelewa hana kazi na hawezi kumwambia boss nilikuwa nasubili rais apite!
Serikali itusaidie kuondoa hii kero ni mbaya sana...
Msafara wa magari ya serikali, kuna ushamba wa maspidi kupindukia.
Ajali msafara wa wabunge, watu 6 walifariki
Polisi watatu walifariki ajali msafara wa Magufuli
Ajali msafara wa Mkonda huko kusini
Tuibue hoja moja inayomuelezea mwanasiasa au kiongozi anayejitutumua hadharani bila aibu...
Uzembe mkubwa na kutowajibika kwa wananchi ndio chama cha mapinduzi CCM. Tumeona magari ya kifahari angalau 13 yakiteketea siku moja tu ya jana. Haya magari ya serikali yanatumika kwenye msafara wa CCM, nani kuruhusu hilo?
Billioni zaidi ya 3 zilizoteketea katika ajali ya kizembe ya Makonda na...
Kanda ya Ziwa wanapiga kelele kuhusu Makonda na namna anavyolazimisha kila mtu atii na kuongozana naye kwenye misafara.
Pamoja na elimu za viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa na wilaya bado wamekuwa wakipeleka magari yao kwenye msafara kumpokea, kusimama jukwaa wapopolewe kisha wasindikize avuke...
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikifuatilia hali mbaya ya Foleni hasa nyakati za Jioni na Asubuhi, chanzo kikubwa cha Foleni kimekuwa ni utaratibu mbovu wa Trafiki kuongoza Magari ya upande mmoja kwa muda mrefu wakati mwingine hadi nusu saa Saa moja kwa upande mmoja.
Pia, Trafiki husimamisha...
Hapa Korogwe Mkoani Tanga tuna changamoto ambayo naomba leo tuiweke wazi kwa sababu imetufika hapa (shingoni).
Naomba kuripoti kero juu ya misafara ya viongozi wanaopita hapa Korogwe Mjini yaani tunasimamishwa muda mrefu sana kisa msafara wa viongozi au kiongozi.
Mara nyingi tu shughuli...
Tumezowea kuyaona haya Nigeria:
Kumbe na kwetu napo hali ingali ni hiyo hiyo.
Umeme wa uhakika tuupate wapi
sisi kama haba na haba tungali hatujui hujaza vibaba?
Katika hi mada yangu (huu Uzi wangu) leo kipaumbele changu kikubwa kitakuwa ni kusoma tu comments zenu ili nami GENTAMYCINE niwe mjuvi wa mambo mengi hasa yale yaliyojificha/yaliyofichwa.
Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga, Greyson Kakuru ameikumbusha Serikali ahadi ya ubora wa magari ya waandishi wa habari kwenye misafara ya viongozi baada ya mazoea ya kupewa magari yasiyo na ubora kuendelea.
Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa Habari Mkoa wa...
Leo sijui kiongozi gani alikuwa na ziara ipi mi sijui lakini kile kitendo cha kuwekwa saa mzima Ubungo pale tunasubiri mtu mmoja apite ni kaushamba sana.
VIONGOZI hawaoni kwamba hii ni kero kwa wananchi, wewe hayo unayoyafanya ndio yanakupa ulaji, pengine hata usipofanya ziara mshahara utapata...
Kuratibu na kulinda misafara ya viongozi si jambo jepesi kama watu wengi wanavyodhani. Kuwa na mazingira wezeshi ya kulinda misafara hiyo pia si jambo la Polimi lai!!
Naona watu wengi pamoja na wanasiasa wenyewe wanachanganya kati ya kuwa na misafara mirefu na muda unaotumika kupitisha...