Mbunge wa Viti Maalum, Kunti Majala ameshauri mamlaka zinazosimamia misafara ya viongozi, kuwasiliana ili kupunguza muda wa watu kusimama njiani wakati wakiwasubiri wapite.
Mbunge huyo ameyasema leo Aprili 12,2023 wakati akichangia mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya mapato...
Katika kitu ambacho huwa hela inatumika vibaya ni misururu ya magari. Matendo Yao siyo mazuri ndo maana hawajiamini kutembea huru kwani wanaumiza wengi. Hata mkuu wa wilaya/mkoa utashangaa magari hayo
Check Rais wa Ufaransa na waziri mkuu Denmark wanavyojiachia huku wakipishana na Raia bila...
Je, ni sahihi kusimamisha magari barabarani ili kusubiri kiongozi kupita hii leo niko eneo la songwe airport ili kusubiri waziri mkuu apite hii imekaaje wana Jamiiforums.
Tunekaa almost 2 hrs kusubir na bado hajapita, huu ni kujifanya Mungu mtu na yeye pia jambo hili analifurahia; huu ni utumwa...
Kuna haja serikali itafute njia mbadala ya kusafirisha viongozi maana ishakuwa adhabu kwa raia wengine hasa kwa Dar.
Leo kwa watumiaji wa Pugu Road kuanzia Vingunguti mpaka Airport watakuwa mashuhuda wa hili.
Barabara za Vingunguti kwenda kwa Mnyamani na ya Majumba Sita kwenda Kinyerezi zote...
Wanabodi,
Huku kwenye mitandao ya kijamii mjadala wa viongozi wetu kupandishwa basi moja ugenini jijini London, kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth, imeendelea kushika kasi, hivyo hili ni bandiko la swali.
Je, tuutumie somo tulilolipata kwenye Msiba wa Queen Elizabeth kama Shamba Darasa la...
Kwanza nianze kwa kupongeza Wakurugenzi na watendaji wa mtandao pendwa wa JamiiForums.
Pili naomba nikili yawazi yakuwa maboresho yaliyofanywa na JF Kuna wanaJF wengi tumekuwa nje ya nje ya online off, kkwa sababu ya maboresho haya.
Niende kwenye mada, hivi majuzi Mimi nilikuwa,miongoni mwa...
Kwa heshima na taadhima namwomba Mhe. Rais SSH atoe maelekezo kuhusu misafara ya viongozi wa Serikali kupunguza au kuepusha ajali zisizo za lazima.
Hakuna ulazima wa Waziri, RC au DC kuwa na msururu wa magari na mrundikano wa waandishi wa habari kwene gari moja. Waandishi aidha waqe na private...
Wala siyo Gari nyingi bali ni Nne tu kama siyo Tano tofauti na za Marais ambazo unaweza hata Siku ukakutana nazo zikiwa 43 au 69 kabisa.
Hata hivyo kuna Mwamba Mmoja aliniambia kuwa huo Msafaea wa CDF Gen. Mabeyo ni mdogo hivyo ila waliopo hapo Kiulinzi ni wale Wajuba watupu wa 92KJ kule Sanga...
Kweli mnasubirisha watu maelfu kwa maelfu lisaa lizima, tena peak ya Rush hour, halafu gari zenyewe za msafara hata 10 hazifiki.
Jamani, kama mna haraka sana wekeni utaratibu wa kupanda bodaboda, kwani nyie ni nani msipandishwe pikipiki?!
Niko maeneo ya mwenge DSM magari yamesimamishwa karibu saa nzima kisa Rais Samia anapita na msafara wake wa magari karibu 100.
Fikiria shughuli ngapi za watu kujitafutia mkate zinasimama, msafara wa magari utadhani kuna vita yote hayo yakitumia kodi za kibabe tunazotozwa ni. Kwanini usitumike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.