mishahara kuchelewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mishahara inachelewa kwa Watumishi wa hospitali ya St. John Paul II ya Kaliua, Tabora

    Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu ucheleweshwaji wa mishahara kwa watumishi wa Hospitali ya St. John Paul II iliyopo Kaliua, Tabora. Kuna madai kwamba watumishi wa hospitali hiyo wamekuwa wakicheleweshewa mishahara yao bila sababu za msingi na bila kupewa taarifa kuhusu sababu za kuchelewa...
  2. JamiiForums Tanzania Manispaa ya Ubungo yaomba radhi kwa mishahara kuchelewa katika Hospitali ya Sinza Palestina

    TAARIFA YA UFAFANUZI KUHUSU MALALAMIKO YA UCHELEWESHAJI WA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA MIKATABA KUPITIA MTANDAO WA JAMII FORUM TAREHE 08/03/2026 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kuufahamisha umma kuhusu malalamiko yaliyowasilishwa na watumishi wa mikataba wa hospitali ya Sinza...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna Halmashauri mpaka sasa watumushi wa umma hawajapata mshahara hawajui hatma yao

    Sitofahamu imebukaa baada ya Halmashauri kadhaa nchini watumishi kutopata mshahara ambapo serikali imelipa mishahara ya watumishi siku ya tarehe 24/09/2025 lakini mishahara mekuja na manadiliko ambayo hayaeleweki 1. Salary advance kwa wtumishi mishahara inayopitia CRDB wamepunguziwa kiwango...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…