Habari!
Kichwa hapo juu kinajieleza
Kuna watu kila mwaka Magufuli alipotangaza kugoma kuongeza MISHAHARA kwa watumishi wa umma wao walufurahia huku wakitoa sababu eti Magufuli analeta maendeleo, mara Magufuli anapambana na kupunguza ongezeko la bei ya vitu .
Lakini cha ajabu kila mwaka vitu...
Ukisoma vizuri kitabu cha WHY NATIONS FAIL ( The Origins of Power,Prosperity & Poverty) cha DARON ACEMOGLU na JAMES A.ROBINSON utajua kwa uhakika ni kwa nini Tanzania yetu ni masikini hivi na itachukua muda mrefu kubadili hali hii.
Kwa ufupi ni kwamba tunacho kila kitu kinachohitajika kwa ajili...
Tunamshukuru sana Rais Kwa Miaka 7 ongezeko la mshahara linekuwa leo tena Kwa asilimia 23 kuzidi nchi nyingi zilizo tu zunguka Asante Rais wetu.Ila Ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha Kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi kwa ukweli kwamba wanafanyakazi hao wa...
UPDATES. TAREHE 23/72022
WATUMISHI WALICHOKUTANA NACHO HAWATAKUJA KUSAHAU HIZI NGONJERA ZA KUPOKEA TAARIFA KWA MBWEMBWE MPAKA SERIKALI INATAKA KUTOA UFAFANUZI UPYA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
WAZIRI MKUU APOKEA TAARIFA YA NYONGEZA YA MISHAHARA
*Aahidi kuikabidhi kwa Mheshimiwa Rais Samia...
Nin wasiwasi sana na silaha za masafa marefu tulizo nazo ndani ya majeshi yetu ya ulinzi. Miaka ya 2000 kuna zile zilizokuwa zinalipuka zenyewe kule Mbagala. Na ninavyokumbuka Tanzania tuliwahi kununua vifaru vingi na Gun Howitzers nyingi sana wakati wa utawala wa Nyerere kutokea Urusi. Silaha...
Hali ndivyo ilivyo hapo.. Wana raisi wao na huku pia ni lazima (sio ombi) aidha awepo raisi au makamu wa raisi wa Zanzibar mwenye kitambulisho cha uraia wa Zenji.
Achana na bei za mafuta kwa zanzibar kuwa 2600 huku kwetu yakiwa 3,300. Hii ya ongezeko la mihahara kwa asilimia 15.6 bado zanzibar...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15%
Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh. 300,000 hadi Tsh. 347,000 sawa na asilimia 15.6
Ongezeko hilo linatarajiwa kutolewa kutumia mfumo wa...
Wasalaam,
Bei za mafuta zinahusika moja kwa moja na ongezeko la gharama za maisha kutokana na mfumuko wa bei ambapo kuenda sawa na hali hiyo, mishahara hupaswa kuongezwa ili kuwafanya watumishi wasipoteze nguvu ya kununua.
Mishahara ya watumishi wa serikali haijapanda kwa muda wa miaka kadhaa...
Kuna hasara kubwa sana kwa Watanzania kutokana na Wafanyakazi kutopandishwa mishahara, maana hawatofanyakazi kwa ufanisi na wataanza kutafuta vipato vya ziada ili kujikimu.
Taarifa: Godbless_lema
Na usichokijua tu ni kwamba Wafanyakazi wa Kitanzania ( hasa wa Public Sector ) walishanusa Siku...
OFISI YA RAIS-UTUMISHI KUTEKELEZA KWA WAKATI MAELEKEZO YA MHE. RAIS YA KUPANDISHA MISHAHARA YA WATUMISHI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama amesema ofisi yake imejipanga kupandisha mishahara ya Watumishi wa Umma kwa wakati kama...
Tafadhali Wahariri wa Magazeti ya HabariLeo na UHURU ( ambao najua mpo hapa JamiiForums ) hebu tuwekeeni hapa Sauti ya Rais Samia ya jana ( Mei Mosi ) akisema kuwa amepandisha rasmi Mishahara kama ambavyo mmeripoti ( mmeandika ) leo katika Vichwa vyenu vya Habari.
Kwa Upuuzi na Ujuha ( Uzuzu )...
Ili mfanya kazi afanye kazi inayoleta matunda anahitaji kula vizuri, kuwa na afya njema, alale vizuri na pia afya yake ya akili iwe njema. Kwa wengi laki tatu mshahara wa kima echo chini tunafahamu una changamoto hasa kuishi mijini ambako unalipia kodi ya nyumba, unahitaji usafiri wa...
Tanzania tuachane kabisa na mfumo wa kuwapandishia watu mishahara au vyeo bila kuwa na vigezo na vipimo vya "performance" zao.
Nashauri kwanza viwekwe vigezo na vipimo vya "performance" kazini ndivyo vitumike kuwapandisha watu vyeo na mishahara.
Ni wepesi sana kupanga vigezo vya ubora wa...
Yaani Matapeli ( wa Vyeti Feki ) wanapewa Vipaumbele kisha Wafanyakazi kila mwaka wanafanywa tu Mazuzu na bahati nzuri hata na Wao wamekubali kuwa Mazuzu kwa Gharama za Kuwaweka Wanasiasa Waigiza Filamu Madarakani.
Kuna Bomu Kubwa tumeshalitengeneza ndani ya Watendaji wa Serikalini kutokana na...
Kama kuna kitu nime-note kwenye mabango ya Mei Mosi ni kuwa Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa, yaani Halmashauri n.k., wana hali mbaya sana.
Ukiangalia mabango yao wengi wanaomba mishahara ipande na maslahi yao, lakini watu wa taasisi mfano WCF, Wizarani, PSSSF, TASAC, TPA wao wapo busy na...
Pamoja na wafanyakazi kula msoto kwa miaka 7...
Narudia Tena miaka SABA! Bado Kuna watu wamenuna mama kutangaza JAMBO lake kwa wafanyakazi...
Basi kama Kuna mtu amekasirika aende kule lile kaburi Lina nafasi tu mnaweza kutosha wote...
asante mama.
Angetangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi hadharani angetia chumvi kwenye kidonda kibichi cha mfumuko wa bei.
Jambo hili ni jema na linaonesha ni kwa kiasi gani rais SSH ana uwezo mkubwa wa kufikiri.
Mambo 4 yafuatayo ndiyo husababisha mfumuko wa bei
1. Upungufu wa mafuta
2. Tangazo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.