Kitu cha kwanza kinachofunga akili na kudumaza jitihada za maendeleo ya mtu mweusi ni imani( za dini na uchawi).
Imani haiwezi jenga barabara, jenga hospital, tengeneza gari, Leta siasa safi wa haiwezi ondoa ufisadi n.k
Na huu ugonjwa wa dini au imani unatumiwa sana na washindani wetu ili...
Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.
Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti...
Maendeleo ni muhimu katika jamii za Kiislamu.
Uislamu na maendeleo ndiko kutakidhi mahitaji ya kimsingi ya watu.
Kiwango cha maendeleo duni katika maeneo ya Wailslamu hapa nchini kinaonyeshwa kwa kutumia mifano iliyo hai. Maeneo mengi ya Waislamu kuna tatizo kubwa la kukidhi mahitaji ya...
Hizi ni alama kuu ambazo hupatikana katika majengo ya kufanyia ibada takatifu katika dini ya Kiislamu ambayo hujulikana kama msikiti(misikiti).Alama hizi ni mwezi mpevu pamoja na nyota.
Historia yake:
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya kihistoria, hizi alama zilianza kutumika kuanzia karne...
Kagame anajisifia ubabe wa kufunga makanisa elfu sita na misikiti 100!! Anaongea hayo kwa madaha wakati pumzi inayomwezesha kuishi kila dakika inatoka kwa Mungu!! Ajiandae kukutana na mkono wa Mungu hapa duniani kwanza kisha jehanamu kama hatatubu. Akitubu Mungu ni wa rehema atamsamehe!
Hali ni mbaya kwa kweli laana inatutembelea kwenye Tozo
Hivi kweli Tozo mmeigeuza kama KODI jaman? Hadi akaunti za Shariah mnakata tozo? daah.
Nijuavyo mie kwanza ilitakiwa kila mwezi tuambiwe imepatikana kiasi gani hilo limeshapotezewa skuhizi.
Pili je hii tozo ni mpaka lini au ndio milele...
Misikiti 14 katika Jimbo la Jigawa imeathirika kwa kuvunjwa katika Jimbo la Jigawa Nchini Nigeria baada ya wakazi kuahidiwa kujengewa misikiti mipya mikubwa lakini mtoa ahadi akakimbia.
Mtuhumiwa huyo, Abba Haruna mwenye umri wa miaka 21, aliwaambia Wanakijiji kuwa taasisi ya kigeni ingejenga...
Uislam ni dini ambayo inakwa kwa spidi sana ulaya, muungano ndio silaha yao kuu ukiachana na ukristo ambao kuna madhehebu mengi kama kama anglikana, Lutheran, roma, sabato, pentecost, mashahidi wa yehova, baptist, n.k shida za wapentekoste haziwahusu waroma, shida za wa moravian haiwahusu...
Nimeshuhudia taarifa na video mtandaoni ikionyesha kanisa dogo la TAG maeneo ya Zanzibar likivunjwa na greda kwa amri ya wakuu fulani wa serikali wa Zanzibar.
Sababu za kimsingi za hayo kutokea ni kukosekana kwa uvumilivu wa kidini kwa baadhi ya wakazi wa Zanzibar dhidi ya imani zingine, jambo...
Kwanza Kabisa nichukue muda kidogo kumshukuru Mwenyezi Mungu , mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuamka salama , sema Amina .
Baada ya utangulizi huo wa kiroho nafurahi kukufahamisha kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo 14/9/2021 kitafanya Mkutano wake na Waandishi wa Habari kwenye ofisi...
Nimeipokea na kuileta hapa wakuu, Imfikie Mufti Mkuu wa Bakwata.
Katika Msikiti wa Kisumu, Mtaa wa Mtambani, Magomeni Mikumi, Dar es Salaam kuna Mgogoro mkubwa unafukuta mwaka sasa na ajabu Mufti wa Mkoa ana makazi yake kama mita 100 toka kwenye huo Msikiti.
Hapo nyuma ilitokea kuna Uchaguzi...
Sheikh Mattaka anasema mwandamo wa mwezi Duniani kote hutangazwa na mamlaka husika na hapa Tanzania mamlaka hiyo ni BAKWATA.
Mattaka anasema Mufti hutangaza mfungo au mfunguo baada ya mwezi kuonekana na kamati ya muandamo wa mwezi kujiridhisha.
Sheikh Mattaka, anasema BAKWATA hufuatilia pia...
Idadi ya wiaslamu wako kwenye vyuo vikuu, ofisi za umma na sehemu zote za utumishi ni ndogo sana kulinganisha na watu wa dini nyingine.
Bila shaka pamoja na mambo mengine ya kihistoria, imani, ukabila, ukanda na kiuchumi lakini idadi ndogo ya watoto wa kiislamu kwenye vyuo vikuu ukilinganisha...
Wizara ya mambo ya kiislamu nchini Saudi Arabia,leo imeifunga misikiti mitano kwa muda kutoka mikoa mitatu tofauti baada ya kesi saba za virusi vya Corona kupatikana katika baadhi ya waumini, idadi ambayo inafikisha jumla ya misikiti iliyofungwa ndani ya siku 11 kufikia 92 ambapo 79...
Je,
1. Wasiwe Wapole sana?
2. Wawe na Roho mbaya mno?
3. Wawamalize Maadui zao mapema ili wasiwasumbue mbeleni?
4. Wawe wanamfurahisha yeye zaidi na siyo anaowaongoza?
5. Wahakikishe Maslahi ya Vyama vyao hao Marais ndiyo yanazingatiwa?
6. Wafanye Tukio Kubwa na Baya kwa Jamii ila ambalo...
JE, WAKATI UMEFIKA WA MISIKITI KUGEUZWA SUNDAY-SCHOOL NA GWAJIMA?
Na, Robert Heriel
Miaka mitano nyuma, naam mwaka 2015 Gwajima alionyesha dhamira yake na ndoto yake kubwa ambayo alitanabaisha kuwa anatamani Misikiti kuwa Sunday- School za watoto wa Kikristo, pamoja na masheikh na maimamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.