Wasalaam JF,
Hoja thabiti za aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila zimeendelea kugonga Vichwa vya wale wote wanaotamani kusikia na kuona Rais Samia Suluhu Hassan kashindwa kuliongoza Taifa hili na Sasa utafutwe mbadala,
Tofauti kabisa na wanasiasa wengi hapa nchini...
Kuna mwamba mwingine huyu hapa
Russia alone is fighting NATO and the Western world,” Medvedev, who is the deputy head of the nation’s Security Council and the leader of the ruling United Russia party, wrote on his Telegram channel on Saturday.
“We are capable of destroying a mighty enemy or...
Kura ya kuilaani Urusi kwa kitendo chake cha kuyaongezea majimbo ya Donesk, Luhansk, Kherson na Zaporizhia kwenye ramani ya nchi yao imepigwa kwenye Umoja wa Mataifa, huku Tanzania ikiamua kutochagua kulaani wala kupinga Urusi kulaaniwa.
Hii si mara ya kwanza kwa Tanzania kutochukua upande...
Wasaliti ambao walijitoa ufahamu baada ya magufuli kuwapa madaraka/Ulaji. Wasaliti kutoa all walks of life not necessarily from opposition who crossed the flour! So many of them, let us keep good record of them on JF.
1. Polepole
2. Kabudi
3. Nasari
4. Kafulila
Mimi kama mwanaume halisi ninayejua majukumu yangu ni marufuku mke.
1. Uvaaji wa soksi na sedosi unaleta taafasiri mbaya sana.
2. Kujichubua na kutumia aina yoyote ya dawa za kubandilisha rangi.
3. Kunikumbatia au kuleta viashilia vya mahamba mbele ya watu, pamoja na kunishikashika ovyo...
Hivi ndivyo misimamo ilivyo hadi kufikia leo Jumatano Machi 30, 2022 katika Ligi mbalimbali ambazo ni Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza 'Championiship', Ligi Kuu ya Zanzibar na Ligi Kuu ya Wanawake.
Chanzo: Mwanaspoti
Vita vyote huwa mwonevu na mwonewa.
Hata hivyo pana wimbi la mashabiki pia.
Kwanini waafrika tunatokea kukenua mno bila kusimamia misingi ya haki wala kuzingatia madhara?
Hata hivyo nisiache kutambua mchango wa Kenya na Afrika Kusini kwenye kumkemea hadharani, mbabe huyu wa vita bwana...
Katika miaka ya hivi karibuni Syria imekuwa ikikabiliwa na vita na harakati kubwa za makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na Marekani na sehemu ya ardhi ya nchi hiyo ikadhibitiwa na kukaliwa kwa mabavu na magaidi.
Hadi sasa vita hivyo vimesababisha maafa na mauaji ya makumi ya maelfu ya wananchi...
Kuna kipindi niliamini chama kitakachomkomboa Mtanzania ni Chadema ila nilikuja kubadilisha msimamo wangu nikaamua kushabikia CCM na sababu iliyonifanya niachane na upinzani ni kitendo cha Chadema kumsimamisha Lowasa 2015. Kiukweli niliumia sana roho nikajisemea moyoni haiwezekani kiongozi...
Another Mahmoud Ahmedinajad na huyu ni zaidi Ahmedinajad; jamaa ana misimamo mikali balaa[emoji2][emoji2][emoji2]
Hapo Middle East lazima heshima irudi, unajua Hassan Rouhan alikua wa misimamo ya wastani halafu mpole mpole hivi huyu ni kiboko ya maadui wa Iran, Israel wajiandae...
Wa kwanza ni Nkwame Nkrumah wa Ghana!! Mabeberu hawana hamu naye! Alipigania uhuru wa Afrika na kukataa kuburuzwa na mabeberu!! Ni alama ya kwanza kwa mashujaa wa Afrika. Karibuni tuendeleze orodha!
Nkrumah defined his belief system as "the ideology of a New Africa, independent and absolutely...
Vyombo vya habari kwa tanzania havijui nini misimamo katika kuendana na soko.
Mfano wenzetu ukikuta kama BBC basi utakuta BBC habari imejikita kuwa makini na habari sio kuleta ujinga, ndio maana kuna BBC chaneli nyingine zisipoteze muelekeo.
Ukija mfano National Geographic, Discovery, CNN...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.