misingi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mama D

    Ndoa: Baba Mchungaji anawakumbusha vijana wetu wa kike na wa kiume misingi imara kwa mahusiano na ndoa imara

    Hii mambo ya vijana kuchukuana na kuanza maisha bila kutushirikisha wazazi imekaaje? Binti unajiskiaje kuishi na mtu asiyejulikana kwenu? Kijana wa kiume unapata amani kuishi na binti bila kufuata taratibu? Ni kushindwa kulipa mahari au kushindwa kujua faida za kufuata taratibu? Wazazi...
  2. Mkulungwa01

    Naishi kwenye misingi ya vitabu vitakatifu - Koran na Biblia

    Eti haki sawa, haki sawa na nani? Mimi hata nikiitwa nina mfumo dume, nipo tayari. Wanaume wengi wamesahau na kupoteza nafasi zao na thamani zao na ndiyo maana wananyanyaswa mno. Kwangu mimi ndiye kichwa cha nyumba, mke wangu hawezi kutoka kwenda matembezi au kwao bila ruhusa yangu, regardless...
  3. S

    Shaka: Tanzania ni nchi iliyojengwa katika misingi ya demokrasia

    Na Mwandishi Wetu, Dar Es Salaam. Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimesema Tanzania hakuna mapambano ya demomrasia kwani mageuzi na mabadiliko toka chama kimoja na kuingia vyama vingi yamefanyika kwa ridhaa na kwa mujibu wa sheria kinyume na madai yaliyotolewa na katibu mkuu wa chadema John Mnyika...
  4. Wingu Jeusi

    SoC01 Simulizi: Misingi ya Demokrasia

    "Ni hatari mno kuukabidhi uongozi wa kitu nyeti kama nchi mikononi mwa mtu mwenye uchu, ujivuni na ubinafsi unaoweza kumfanya aamini yeye anapaswa kuwa juu ya kila kitu bila kujali misingi na taratibu tulizojiwekea. Kwani hili ni taifa linalopaswa kuongozwa kwa misingi ya DEMOKRASIA". Kwa! Kwa...
  5. FARAJI ABUUU

    Namna nzuri ya kuandaa watu watakaosimamia misingi ya Utawala Bora

    Ukiangalia katika jamii zetu hata kwa baadhi ya wanaharakati wa mambo mbalimbali wanapotaka kufanya jambo ambalo wanaona lina tija kwao au kwa jamii zao wanataka wafanikiwe kwa muda mfupi bila kupima uzito wa jambo lenyewe na namna nzuri ya kulielekea jambo hilo. Kawaida unapotaka kurekebisha...
  6. N

    Viongozi wa Tanzania fuateni misingi ya utawala bora

    Misingi ya utawala bora kwa miaka kadhaa imekuwa ni adimu kupatikana miongoni mwa viongozi wengi, ambapo kwa kiasi kikumbwa imekuwa ikizorotesha maendeleo ya kiuchumi na kudhoofisha demokrasia nchini. Misingi ya utawala bora katika jamhuri ya Muungano inajumuisha, uadilifu, demokrasia, utawala...
  7. Kamanda Asiyechoka

    Ili kuwa na taifa linalofuata misingi ya katiba na sheria, waliokuasanyika bila kibali Mwanza wafikishwe mahakama kesho

    Ukweli ndio huu, kama wamevunja sheria wakidai katiba basi katiba iliyopo ifuatwe. Kesho Jumatatu wawe arraigned in court in Mwanza. Sio kuwakaalisha mahabusu wakila chakula cha bure. My take: Sheria ifuate mkondo wake ili tudai vizuri katiba mpya.
  8. Kasomi

    Misingi na kanuni za kilimo bora

    Misingi na kanuni za kilimo bora. Neno Msingi lina maana ya mwanzo wa kufanya shughuli yeyote inayokusudiwa ili kuweza kufikia malengo. kwa hiyo katika kilimo ipo misingi muhimu ifuatayo: Kuwa na mipango thabiti inayotekelezeka kabla ya kuanza kufanya kazi yeyote ya maendeleo ni vyema, kuweka...
  9. Mmawia

    Huyu Askari alitusaidia sana kusimamia misingi na haki

    Chanda chema huvikwa pete. Huo ni msemo wa wahenga. Huyu mama askari polisi alitusaidia sana kwa kusimamia misingi na haki akiwa OCD katika wilaya mojawapo hapa Dar. Hakuwa mtetezi wa waharifu, hakuhalalisha rushwa wala kumung'unya maneno. Chonde chonde Rais Samia tuletee huyu mama atuvushe.
  10. CCM Music

    Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu turudishie CCM kwenye misingi yake

    Leo CCM inalaumiwa eti inaua watu, yaani mambo ya wasiojulikana. Hii haijawahi kuwa msingi wa CCM CCM inaonekana inaogopa wapinzani, suala la kununua wapinzani. Hatuna CCM ya namna hii kwenye misingi yake CCM inatajwa kila pahala eti inaibaga kura, uchaguzi uliopita Serikali za mitaa na...
Back
Top Bottom