Tanzania imebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi za misitu ambazo zina uwezo wa kuchangia kwa kiasi kikubwa katika uchumi wa nchi. Sekta ya misitu, ikitumiwa na kusimamiwa ipasavyo, inaweza kutumika kama chanzo muhimu cha mauzo ya nje na kuongeza mapato. Kwa kufuata mazoea endelevu, kukuza...
Ilikuwa mwaka 1915 wakati wafanyikazi wa misitu walikata miti mikubwa kama hii.
Iliwachukua mwaka mmoja kuuweka mti kama huu ardhini.
Najiuliza ilichukua muda gani mti huu kuota na kuwa mkubwa hivyo🤔
Hello JF
Habari za kuaminika toka Uvinza Kigoma kuna mauaji hatari yametokea maafisa misitu na Askari wa jeshi la akiba wameuawa vibaya, wahusika hasa TFS, jeshi la Polisi, Mamlaka ya Wilaya ya Uvinza na Mkoa wa Kigoma tafadhari onesha nguvu ya Serikali.
Ni hatari sana ni hatari sana...
Ngoja tuambizane ukweli kuhusu bahari!
Kuna wakati unaweza hisi umejifunza yote! Kumbe unachokijua hapa duniani hakifikii hata theruthi ya theruthi ya maajabu ambayo huyajui hapa duniani!
Hata mengine ukisimuliwa unaweza fikilia ni chai!
Ukweli ni kwamba kila kitu Mungu kakibalansi!
Ukibeba...
Najiuliza hili jambo mara nyingi kwani kuna wakati nilikuwa kule Sharjah,moja katika falme za kiarabu (IMARATI).
Siku moja ikanyesha mvua kubwa tena ya kutisha na kwa muda mrefu.
Nikajiuliza kule hakuna misitu kama huku kwetu tunayoitegemea kwa mvua,inakuwaje wapte mvua ?
Mtalaam Mwandamizi wa Fedha kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa - Mitaji ya Maendeleo, Emmanuel Muro amesema kiasi hicho ndio chanzo kikuu cha uharibifu wa misitu kwenye mikoa ya Pwani, Morogoro, Iringa, Tanga na Lindi.
Akizungumza kupitia mdahalo ulioongozwa na Waziri wa Nishati Januari Makamba...
WAZIRI BASHUNGWA AHIMIZA UTUNZAJI WA UOTO WA ASILI NA MISITU.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) ametoa wito kwa Watanzania kutunza uoto wa asili na misitu iliyopo nchini na kujenga tabia na msukumo binafsi wa kupanda miti.
Ametoa wito huo Oktoba 22, 2022...
Nadhani wote tunakubaliana kwamba kuna tatizo kubwa sana la ukame na kitu kinachoitwa tabia ya nchi ambayo inapekekea kukosa mvua za kutosha na kusababisha ukosefu wa chakula cha kutosha nchini.
Nilisafiri mara kadhaa na kujionea uharibifu mkubwa wa misitu kwenye mikoa ya geita, shinyanga...
https://images.app.goo.gl/KTXFpN7sMk73dyxT8
Eneo la misitu mikubwa iliyobaki ni misitu ya Congo. Afrika tunatumia miti kwa kiwango kikubwa kuanzia kujengea, kupikia na hata dawa mitishamba.
Wenzetu ambao hawatumii miti kama sisi lakini wanafahamu umuhimu wa kupanda miti. Sehemu yenye miti...
Katika pita zangu mitaani kulikuwa na hoja mbalimbali za majeshi nikasikia kuna jeshi jipya la Uhifadhi nchini lenye vikosi ndani yake, swali kwa nini lilianzishwa? Je, nini majukumu ya jeshi hilo? Nani Mkuu wa Jeshi hilo? Muundo wake ukoje? Wachambuzi na wajuvi wa mambo ya kijeshi nijuzeni...
Hii imekaaje? Waliosomea nyanja ya mifugo, misitu, kilimo, uuguzi, nk katika ngazi ya shahada na kuendelea hutambuliwa kama maafisa katika nyanja zao kama vile afisa mifugo, afisa misitu, afisa kilimo, afisa uuguzi nk, na jamii kukubali kuwa wanastahili kutunukiwa uafisa katika maeneo yao ya...
Huku Katavi pori la Hifadhi ya Katavi. Kuna hawa wasukuma wanafuga na kulima.
Ukianzia sitalike Kwenda kibaoni majimoto wamevamia katikati ya Mapori wamejenga na kukata miti kuandaa shamba. Upande wa kizi kuja mpaka lyamba nako wamevamia mapori misitu na kukata miti na kuanzisha mashamba...
Wakati mwaka 1944 ukiwa unaelekea tamati, hii ni baada ya miaka zaidi ya saba ya vita, mambo yalikuwa yanaiendea kombo Japan.
Uchumi wake ulikuwa umeharibika vibaya, jeshi lake lilikuwa limetapakaa karibia kila kona ya Asia bila kuwa na mfumo thabiti wa kimawasiliano na mipaka iliyokuwa...
UTANGULIZI.
Mkutano unao address mabadiliko ya hali ya hewa,COP26, umekuwa unaendelea Glasgow.Tunaloaminishwa ni kwamba sisi Wanadamu ndio tunaohusika kwa kiwango kikubwa na hali hii kwa kukata misitu nk.Wamefika mbali zaidi,na kudai kwamba mifugo kama Ng'ombe na hata Kilimo cha zao la Mpunga...
Mkoa wa Iringa ambao una miliki 40% ya misitu ya nchini Tanzania unatarajiwa kufanya Kongamano kubwa la wawekezaji na wadau wa sekta ya misitu tarehe 10 hadi 12 Novemba 2021. Akizindua maandalizi ya Kongamano hilo Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh Queen Sendiga alisema ‘’ Mkoa wa Iringa ni kinara wa...
Leo nimepata mstuko gesi yangu nyumbani ilipoisha. Nikaenda dukani Oryx 15kg ni 55,000-. Tunakwenda wapi?
Eti tunaimbiwa siku zote tutunze misitu yetu! Misitu yetu my foot!
Waziri wa maliasili na utalii Dkt. Damas Ndumbaro leo January 12 akizindua jengo la utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato ameiagiza bodi ya utalii nchini kuhaakikisha kuwa inapeleka watalii wa kutosha kwenda kujionea maajabu ya msitu mnene wa Biharamulo-Chato hivyo kuongeza mapato ya...
Wakuu, naomba kuelekezwa pahala ambapo naweza kununua mashine ya kupasua mbao. Hii iwe ni ya kuhamisha na kwa vyovyote vile isiwe inatumia umeme. Isiwe chainsaw maana inaharibu mbao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.