misri

Rock candy or sugar candy (in British English), also called rock sugar, is a type of confection composed of relatively large sugar crystals. This candy is formed by allowing a supersaturated solution of sugar and water to crystallize onto a surface suitable for crystal nucleation, such as a string, stick, or plain granulated sugar. Heating the water before adding the sugar allows more sugar to dissolve thus producing larger crystals. Crystals form after 6 to 7 days. Food coloring may be added to the mixture to produce colored candy.

View More On Wikipedia.org
  1. Simba SC: Mimi siyo Muumini wa Kuaminishwa 'Kipropaganda' na Matokeo ya 'Mechi Mazoezi' huko Kambini Misri

    Timu haina hata Wiki Moja tokea iende Kimafungu huko Ismailia nchini Misri na hata Kocha Mkuu hajajuana na Wachezaji wake halafu mnalazimisha Mechi Mazoezi ya Timu ya Vijana ya Ismailia na kutoka nayo Sare mnakimbilia 'Kuposti ' Matokeo Mitandaoni na kuanza Kujisifia. Naipenda sana Simba SC...
  2. Afisa wa Mahakama atuhumiwa kumuua mwandishi wa habari Misri

    Afisa wa Mahakama Nchini Misri anatuhumiwa kumuua mkewe ambaye ni mtangazaji wa runinga, Shaima Gamal, aliyepotea wiki tatu zilizopita, chanzo kikitajwa ni mgogoro uliokuwepo kati yao. Gamal alionekana mara ya mwisho siku 20 zilizopita katika sehemu yenye maduka makubwa akiwa na mumewe. Mwili...
  3. Misri: Mgombea Urais wa zamani ahukumiwa kifungo cha miaka 15

    Mahakama Nchini humo imemhukumu Abdel Moneim Aboul Fotouh (70) kifungo cha miaka 15 gerezani kwa makosa mbalimbali ikiwemo kusambaza taarifa za uongo na kupanga njama za kupindua Serikali Fotouh alikamatwa mwaka 2018 baada ya kuikosoa vikali Serikali ya Rais Abdel Fattah El-Sissi. Pamoja naye...
  4. Kati ya Misri na Ghana, ipi ilikuwa nchi ya kwanza Africa kupata uhuru?

    Shuleni tumefundishwa kuwa nchi ya kwanza kupata uhuru ni Ghana, mwaka 1957. Lakini Egypt ilipata Uhuru wake mwaka1952. Ikiondoa waingereza na mfalme. Sasa imekaaje tukasema Ghana ndiyo ya kwanza kupata uhuru?
  5. Misri: Mmiliki wa vyombo vya habari ahukumiwa kwenda jela miaka 3 kwa kuwanyanyasa kingono watoto yatima

    Mahakama nchini Misri imemhukumu tajiri wa vyombo vya habari kifungo cha miaka mitatu jela kwa kuhusika katika biashara haramu ya binadamu na kuwanyanyasa kingono mabinti wenye umri mdogo katika kituo cha watoto yatima alichoanzisha. - Mohamed al-Amin ambaye ni mmiliki wa Future Media, CBC...
  6. N

    Jesus Moloko awindwa na Pyramids ya misri

    Mkiambiwa Yanga sc ni team bora afrika mashariki na kati msibishe jamani, rekodi zake CAf na rank yake inayosoma huko Cairo makao makauu pamoja na form kali waliyonayo msimu huu imekuwa kivutio sana barani afrika The money bags of Egypt yaani matajiri wasio wa mchongo toka Misri , pyramids fc...
  7. Misri: Waandishi watatu waachiwa huru kutoka jela

    Mamlaka za Serikali Nchini Misri imewaachia huru waandishi wa habari watatu ikiwa ni mwendelezo wa Rais wa Nchi hiyo, Abdel Fattah el-Sisi kumalizana na wakosoaji wake. Waandishi hao ni Ammer Abdel-Moneim, Hany Greisha na Essam Abdeen waliruhusiwa kutoka jela jana Mei Mosi, 2022 baada ya kuwa...
  8. Serikali ya Misri yamuachilia huru mwanaharakati wa kisiasa aliyehukumuiwa kwa makosa ya ugaidi

    Mamlaka ya Misri imemwachilia mwanaharakati mashuhuri wa kisiasa anayetumikia kifungo cha miaka minne kwa tuhuma za ugaidi ambazo watetezi wa haki wameziona hazina msingi. Kuachiliwa kwa Hossam Monis kulikuja baada ya kuachiliwa kwa wafungwa kadhaa wa hadhi ya juu, siku chache kabla ya mwisho wa...
  9. Rais wa Misri atoa msamaha kwa mwanahabari na wafungwa 3,000

    Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi ametoa msamaha kwa mwanahabari aliyefungwa jela kwa madai ya “kusambaza habari za uongo”, msamaha ambao umeenda sambambana zaidi ya wafungwa 3,000. Mwandishi huyo Hossam Moniss alihukumiwa kifungo cha miaka minne jela Novemba kwa shtaka la kusambaza habari za...
  10. FIFA yaamuru Mechi kati ya Senegal na Egypt irudiwe

    Shirikisho la soka duniani Fifa limeamuru mechi ya marudiano ya mchujo ya Kombe la Dunia kati ya Misri na Senegal. Haya yanajiri baada ya Chama cha Soka cha Misri (EFA) kuwasilisha rufaa iliyofanikiwa dhidi ya Senegal kikisema timu yake ya taifa ilifanyiwa ubaguzi wa rangi na vitisho ilipokuwa...
  11. M

    Jana nimeangalia katuni za mechi ya Senegal na Misri

    Jana hali yangu ya afya haikuwa njema sana,ilibidi ninywe dawa ambazo kumbe zilinipa usingizi.Wakati huo huohuo nilikuwa nasubiri Kwa hamu wanaume wa Kiafrica. Senegal na Cameroon wapindue meza! Baada ya kuamka nilikimbilia kwenye simu yangu kuitafuta mechi live, baada ya kuserch kidogo...
  12. Mech ya Senegal Vs Misri inaanza saa ngap kwa majira ya Tanzania?

    Mwenye taarifa naomba ansaidie il nijiandae nkachek mech kubwa na tam
  13. CAF CHAMPIONS LEAGUE: Al Ahly, Zamalek ni anguko la wababe wa Misri au soka la Afrika limekua?

    Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika inaendelea kwa sasa, ni msimu wa 2021/22 lakini kuna matukio kadhaa ambayo inawezekana yakawa na maana tofauti kuhusu soka la Afrika. Wababe wa Misri, Al Ahly licha ya kuchukua nafasi ya tatu hivi karibuni katika Klabu Bingwa Dunia walipoenda kushiriki...
  14. Senegal wafalme wa Afrika, watwaa AFCON mbele ya Misri

    #TeamSenegal imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya kuifunga #TeamMisri kwa penati 4-2 katika mchezo wa fainali ulichezwa kwenye Uwanja wa Olembe jijini Yaounde, Cameroon. Timu hizo zilimaliza dakika 120 za mchezo huo kwa suluhu ya 0-0, hivyo kwa matokeo hayo...
  15. Historia ya Misri: Wafalme waliooa dada zao na habari zisizojulikana

    Misri ni maarufu kwa piramidi zake kubwa, miili iliyozikwa ndani yake na hazina zake za dhahabu. Lakini ni kiasi gani tunajua kuhusu Misri ya kale? Je, Piramidi Kuu ilijengwa na watumwa? Maiti ziliandaliwaje? Taarifa 5 Bora zilizoandikwa na Joyce Tildesley, mtafiti kuhusu Misri. Usipande...
  16. B

    Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu. Kutoka 1:8-10

    8 Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu. 9 Akawaambia watu wake, Angalieni, watu wa wana wa Israeli ni wengi tena wana nguvu kuliko sisi. 10 Haya! Na tuwatendee kwa akili, wasije wakaongezeka; tena, ikitokea vita, wao nao wasije wakashikamana na adui zetu na kupigana...
  17. Jinsi Wamisri wa kale walivyogundua kuwa mwaka una siku 365

    Hawa wamisri wa kale ndiyo watu walioleta ustaarabu tunaouona duniani leo hii. Wagiriki walijifunza ustaarabu kutoka Misri ya kale. Moja ya mambo waliyogundua ni kuwa mwaka una siku 365. Waligundua namna hii. Ukichunguza jua kwa mwaka mzima utaona kuwa sehemu linakichomoza na kuzama hubadilika...
  18. Tanzania kupokea zaidi ya wawekezaji 300 kutoka nchini Misri

    Serikali ya Tanzania tarehe 04/12/2021 inatarajia kupokea zaidi ya wawekezaji 300 kutoka nchini Misri ambao watawekeza nchini katika sekta za Usafirishaji, ujenzi, uzalishaji wa bidhaa za petroli, kilimo, kemikali, ujenzi na madawa. Haya yote ni matokeo ya Diplomasia ya Uchumi ya Tanzania chini...
  19. Ofa ya Misrikuboresha mpango mzima wa Dodoma itakubaliwa?

    Katika ziara yake nchini Misri, Rais Samia alipewa ofa na Wamisri waboreshe plan nzima ya mji wetu mkuu Dodoma, iwe na ubora wa plan ya mji mkuuu mpya wa Misri. Kwa watu waliotembelea Misri hivi karibuni, kama miye, na wale waliofuatilia plan na ujenzi wa Cairo mpya, watakubaliana nami kwamba...
  20. Ziara ya Rais Samia Misri imelipa haraka

    Kampuni ya kimataifa kutoka nchini Misri itawekeza nchini TZS bilioni 460 katika ujenzi wa viwanda 100 vitakavyozalisha ajira za moja kwa moja 10,000 na zisizo za moja kwa moja. Haya ni matokeo ya ziara ya Mheshimiwa Rais, Samia Suluhu Hassan nchini. Maosemaga hizi safari ni kufuja mali, mjue...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…