misri

Rock candy or sugar candy (in British English), also called rock sugar, is a type of confection composed of relatively large sugar crystals. This candy is formed by allowing a supersaturated solution of sugar and water to crystallize onto a surface suitable for crystal nucleation, such as a string, stick, or plain granulated sugar. Heating the water before adding the sugar allows more sugar to dissolve thus producing larger crystals. Crystals form after 6 to 7 days. Food coloring may be added to the mixture to produce colored candy.

View More On Wikipedia.org
  1. Shadow7

    Misri yagundua mji uliokuepo miaka 3,000 iliyopita

    Wataalamu wa historia ya nchini Misri wamefanya ugunduzi wa kushangaza wa mji ambao ulikuwepo zaidi ya miaka 3,400 wakati wa muda wa farao. Uzinduzi huo umetajwa kuwa muhimu tangu kugunduliwa kwa kaburi la kale la Tutankhamun. Wana akiolojia hao ambao walikuwa wakitafuta hekalu katika eneo...
  2. Kibosho1

    Chonde chonde Mh. Faustine Ndugulile tunaomba uturudishe Misri tu,sio kwa kipigo hiki kwenye vifurushi

    Kama unafuu tuliotangaziwa ni huu bora niendelee kuibiwa tu. Kabla ya mabadiliko nilikua nanunua kwa halotel tsh.3000 napata GB3, sms 3000 na dk 30 mitandao yote kwa sasa bei mpya ni hizii. Tuliotangaziwa kuwa bei ya gharama za simu zintapungua kwanzia Aprili yan MB 1 utanunu kwa sh 2 kutoka...
  3. M

    Kila nikirejea kuangalia Mechi za AS Vita Club dhidi ya Al Ahly kule Misri na Kwao Congo DR napatwa na uwoga kwa Mkapa Jumamosi

    Kwa Mpira ule mkubwa wanaoucheza AS Vita Club ambao hata Waarabu wenyewe na Mabingwa Afrika Al Ahly wamekiri kupata nao Taabu nimeamini kuwa nje ya Kucheza Mpira mwingi lakini hata Bahati nayo ina nafasi Kubwa mno katika Mafanikio (Ushindi) wa Mchezo wa Soka (Kabumbu) duniani. Hofu yangu Kubwa...
  4. Sam Gidori

    Meli kubwa ya mizigo yashindwa kukwamuliwa katika Mfereji wa Suez kwa siku ya tatu

    Shughuli ya kuondoa meli kubwa ya mizigo iliyokwama katika mfereji wa Suez nchini Misri na kuziba njia kwa vyombo vingine vya maji kupita imeingia siku ya tatu hii leo bila mafanikio yoyote. Jitihada za kugeuza meli yenye uzito wa tani 220,000 na urefu wa mita 400 iliyopewa jina Ever Given...
  5. Sam Gidori

    Misri yatekeleza adhabu ya kifo kwa watu 11 baada ya kukutwa na hatia ya mauaji

    Mamlaka nchini Misri zimetekeleza adhabu ya kifo watu 11 siku ya Jumanne baada ya kuwakuta na hatia ya mauaji, chanzo kimoja ndani ya vyombo vya usalama vya Misri kimeiambia Shirika la Habari la AFP kwa sharti la kutotajwa jina. Adhabu hiyo ya kifo imetekelezwa katika gereza la Borg al-Arab...
  6. Sam Gidori

    Misri yamwachia mwandishi wa habari wa Al Jazeera baada ya miaka minne

    Baada ya kukaa kizuizini kwa zaidi ya miaka minne, mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Mahmoud Hussein ameachiwa siku ya Ijumaa. Hussein, raia wa Misri, alikamatwa mwezi Disemba mwaka 2016 kwa tuhuma za kuandika habari za uwongo. Shirika la Habari la Al Jazeera lilifanya kampeni kila siku kutaka...
  7. Infantry Soldier

    Ni nani alifuatilia mauaji ya Giulio Regeni? Mwanafunzi wa Italia aliyetekwa nyara Misri kisha kuuawa kwa tuhuma za ujasusi

    EGYPTY - ITALY ON THE VERGE OF DIPLOMATIC STANDOFF: Mvutano mkubwa wa kidiplomasia baina ya Italia na Misri juu ya kifo cha mwanafunzi Giulio Regeni. Mnamo Septemba 5, Misri na Italia zilianza tena uhusiano wao wa kidiplomasia baada ya mwaka mmoja na nusu, wakimrudisha Balozi wa Italia...
  8. comrade wetu

    Misri namba 1 Afrika nguvu za kijeshi

    Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2020 iliotolewa na taasisi ya Fire Power imeitaja nchi ya Misri kuwa ndio yenye zaidi ya kijeshi Afrika na inashika namba 9 duniani. --- Budget: $4.4 billion Active frontline personnel: 468,500 Tanks: 4,624 Total aircraft: 1,107 Submarines: 4 The Egyptian military...
  9. J

    Mtizamo wa Mwalimu Nyerere kuhusu Libya, Misri, na Palestina

    ..kwanza nimpe shukurani mwanachama mwenzetu Shwari kwa kutuletea makala hii. ..nimeona niilete makala hii ktk jukwaa la siasa ili iweze kusomwa na wanachama wengi zaidi. In an interview with Nawal El Saadawy of Egypt's El Mussawar first published on 19 October 1984, Mwalimu Nyerere discusses...
  10. Infantry Soldier

    Mtu mzima aliyekuzidi umri akikukwaza usimtukane, tafuta mtu mzima mwenzake amwambie ajirekebishe

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu vijana watanzania; Mtu mzima aliyekuzidi umri akikukwaza usimtukane matusi. Mkikutana mkwepe au tafuta mtu mzima mwenzake amwambie ajirekebishe. Nimeamua kusema hivi kwa maana kwamba, juzi baada ya kutoka katika mizunguko yangu...
  11. Infantry Soldier

    Nchi ya Misri ina ushawishi mkubwa sana katika siasa (Political Influence) za eneo gani kati ya Sub-Saharan Africa na Mashariki ya Kati (Middle East)?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Nchi ya Misri ina ushawishi mkubwa sana katika siasa (Political Influence) za eneo gani kati ya Africa na mashariki ya kati (Middle East)? Rais wa Misri Hosni Mubarak akiwa na Saddam Hussein pamoja na Yasser...
  12. Greatest Of All Time

    Kombe la Afcon laibwa katika Makao Makuu ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF)

    Kombe analokabidhiwa Bingwa wa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON limeripotiwa kuibiwa kutoka makao makuu ya Chama cha Soka cha Misri, EFA Makamu wa rais wa zamani wa EFA, Ahmed Shobier ametoa madai ya kushangaza kuwa kombe hilo lenye thamani kubwa Afrika limepotea katika mazingira...
  13. GENTAMYCINE

    Afrika Kusini na Misri tu hatujazifikia hata kwa 25% je, hizo London, New York na Paris ndiyo tutazifikia haraka?

    “Nataka Tanzania iwe kama Ulaya, nataka Nchi hii iwe kama Ulaya, sisi ndio tuwe tunatoa misaada na mipango hiyo tunayo na mipango hiyo imepangwa vizuri kupitia Ilani ya CCM” -JPM East Africa Television - News Kama Kauli hii imetolewa tu 'Kisiasa' zaidi kuelekea katika Kampeni za Uchaguzi huu...
  14. Infantry Soldier

    1981 Israel Raid on the Reactor: Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa la umeme huko Ethiopia?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa kubwa la kuzalishia umeme...
  15. kavulata

    Tanzania iwe upande gani Kama Ethiopia na Misri zinapigania maji ya mto Nile?

    Ethiopia Ni chanzo kikuu Cha maji ya mto Nile, pamoja na Uganda na Tanzania kwa kiasi fulani. Misri na Sudan Ni nchi ambazo zinategemea maji ya mto Nile kwa kunywa, matumizi ya nyumbani, kilimo, ufugaji na viwanda. Vita kamili inanukia Kati ya Ethiopia na Misri kupigana kwaajili ya matuzi ya...
  16. The Sheriff

    Misri: Rais Abdel Fattah al-Sisi apitisha sheria inayozuia wanajeshi waliokuwa wanajeshi kugombea Urais

    Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi amepitisha sheria inayozuia wanajeshi & waliokuwa wanajeshi kugombea Urais, Ubunge au kujiunga vyama vya siasa bila kuomba ridhaa kutoka Baraza la Juu la Jeshi. Sheria hiyo inadaiwa kuwa inalenga kulinda urais wake dhidi ya waliokuwa wanajeshi. =======...
  17. Analogia Malenga

    Misri yawakamata madaktari wanaokosoa hali ya maambukizi ya COVID-19

    Daktari mmoja amekamatwa baada ya kuandika makala juu ya mfumo mbovu wa wafya nchini Misri. Na mfamasia mmoja alikamatwa kutoka ofisini kwake baada ya kuposti kuwepo kwa upungufu wa vifaa vya kujikinga. Naye Mhariri alichukuliwa kutoka nyumbani kwake baada ya kudadisi takwimu rasmi za...
  18. J

    Spika Ndugai: Bunge langu limefanya mambo makubwa sana ikiwemo kupeleka wabunge zaidi ya 70 Misri kuishangilia Taifa stars!

    Spika wa bunge Mh Ndugai amesema bunge lake limefanya mambo mengi makubwa lakini watu hawayaoni tu au hawataki kuyasema na kusifia. Amesema bunge analoliongoza limeweka historia ya pekee tangu bunge hilo liasisiwe ya kupeleka wabunge zaidi ya 70 Cairo nchini Misri kuishangilia timu ya taifa...
  19. Daisy Llilies

    Safari yangu mjini Caïro Misri kama mtalii

    Ilikuwa 2012, nilichukua package holiday ya siku tano ilijumlisha hoteli ya nyota tatu, nauli ya ndege na usafiri wa ndani kwa £1,200. Hii ilikuwa inajumlisha chai asubuhi na chakula cha usiku. Tulikuwa watu 10 kwenye group kwetu. Tulipofika airport Dereks wa tour alishika bango eneo la...
  20. Analogia Malenga

    Misri: Kocha wa magolikipa afariki kwa #coronavirus

    Shirikisho la Mpira wa Miguu la Misri (EFA) limetangaza kuwa Mohamed Abdo(59) amefariki Mei, 11 baada ya kuambukizwa #CoronaVirus Abdo ni mwananichezo wa kwanza nchini Misri kuripotiwa kufariki kwa #CoronaVirus. Michezo yote ikiwemo mpira wa miguu ilisitishwa tangu Mwezi Machi kuepuka...
Back
Top Bottom