Miss World is the oldest existing international beauty pageant. It was created in the United Kingdom by Eric Morley in 1951. Since his death in 2000, Morley's widow, Julia Morley, has co-chaired the pageant. Along with Miss Universe, Miss International, and Miss Earth, it is one of the Big Four beauty pageants.
The current Miss World is Suchata Chuangsri of Thailand who was crowned on 31 May 2025 in Hyderabad, India.
Malawi sent the minister’s daughter to Miss World. Not Miss Malawi.
Thandi Chisi won Miss Malawi in December. That’s the title. The trip should have been hers.
It wasn’t.
Organisers sent Ireen Navicha first runner-up, daughter of Gender Minister Mary Navicha. Miss World listed her as Malawi’s...
The Minister for Information, Culture, Arts and Sports, Paul Makonda, has requested TZS 525.32 billion as the ministry’s budget for the 2026/27 financial year to implement nine key priorities.
Among these priorities are completing the rehabilitation, upgrading and construction of...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Tanzania itaandika historia katika nchi za Bara la Afrika kuwa mwenyeji wa mashindano ya ‘Miss World’ ambayo yanatarajiwa kufanyika mwaka 2027.
Amesema hayo leo Aprili 20, 2026 jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utiaji...
Tangu utotoni nasikia tu Miss World, why sisikii Mr World?
Kunahitajika kuwepo kwa Mr World ili dunia ijue kua wanaume wazuri/handsome wapo na mchango wao katika maisha.
Kama ikiwezekana tuanze na Mr Tanganyika, na niko tayari kuiwakilisha Dar-es-salaam na hata Tanganyika katika Mr World...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa "Tumeanza maandalizi ya kuwa mwenyeji wa 'Miss World' 2027, matarajio yetu ni kwamba juhudi hizi zikifanyika zitatusaidia kuongeza idadi ya Watalii na kuitangaza Tanzania.....''
Miss World 2025 Atembelea Mradi wa Kilimo cha Mwani Unaosimamiwa na Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Paje-Zanzibar
Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) nchini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) ilipata heshima ya kipekee ya kuwa mwenyeji wa Mshindi wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia...
Walimbwende Suchaata ambaye ni Miss World pamoja na Miss World Africa Hasset Dereje wakiongozwa na mwanamitindo Mustafa kwa kushirikiana na taasisi ya Doris Mollel Foundation, wametembelea wodi ya watoto njiti katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam.
Katika ziara hiyo, walimbwende hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.