Stimulator of interferon genes (STING), also known as transmembrane protein 173 (TMEM173) and MPYS/MITA/ERIS is a protein that in humans is encoded by the STING1 gene.STING plays an important role in innate immunity. STING induces type I interferon production when cells are infected with intracellular pathogens, such as viruses, mycobacteria and intracellular parasites. Type I interferon, mediated by STING, protects infected cells and nearby cells from local infection by binding to the same cell that secretes it (autocrine signaling) and nearby cells (paracrine signaling.)
STING works as both a direct cytosolic DNA sensor (CDS) and an adaptor protein in Type I interferon signaling through different molecular mechanisms. It has been shown to activate downstream transcription factors STAT6 and IRF3 through TBK1, which are responsible for antiviral response and innate immune response against intracellular pathogen.
Moja kwa moja kwenye mada.
Kwanza naomba JF isiutoe uzi huu kwani mada hii nafikiri ni muhimu sana kwa mstakabali wa wateja wa DAWASA ambao huko mitaani wamekosa wa kuwasemea.
Natambua kuna uzi humu kwa ajili ya DAWASA lakini nimeufuatilia na nimejiridhisha kwamba hauna response nzuri kutoka...
Ujazo wa maji katika bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere (JNHPP) linalotarajiwa kujaa ndani ya miezi 18 hadi Januari 9, 2022 ulifika mita 108.31 kutoka usawa wa bahari.
Ujazaji maji katika bwawa hilo linalotarajiwa kuzalisha megawati 2,115 za umeme likiwa na uwezo wa kuhifadhi lita bilioni...
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (LATRA) imepanga kufunga mita za kielektroniki kwenye Teksi ambazo zitawawezesha wateja kulipa nauli kulingana na umbali waliosafiri.
Vifaa hivyo vipya vya kiteknolojia vinatarajiwa kufungwa kwenye magari hayo kabla ya Juni 2023, hatua...
Nauza kiwanja kiko miembe sana kibaha , karibu na morogoro road , umbali ni kama nusu kilometa Yaani mita 600 hivi toka main road. kiwanja kikubwa mita 55 Kwa 26 . Bei ni 13m
Nina shida ya haraka. Karibuni namba yangu 0674223223 mimi ni mmiliki mwenyewe. Karibuni
Mteja...
Ndugu Mfanyakazi wa Dawasco mbona Kwetu sasa Maji hayatoki Wiki Mbili?
Mfanyakazi Dawsco....
Kwa Matajiri na Wakubwa Masaki sasa wana Mwezi wa Pili umesikia au kuona Wanalamika?
Mteja.....
Ndugu Mfanyakazi wa Dawasco imekuwaje leo Kawe Maji mmeyafungulia Saa 1 Asubuhi na kuyakata...
Sio mimi, hiyo ni ripoti ya NBS ya 2020/21 imeonesha wakazi wa Dar wanapata maji safi na salama ndani ya mita 500 tu. Usiniulize kuhusu mabowser au wauza maji wanaozurura na matorori, nazungumzia kilichooneshwa.
Sasa nimeelewa kwa nini nchi za magharibi hazikutaka kabisa kuihusisha Urusi kwenye kuchunguza kilichotokea kwenye mabomba ya gesi toka urusi. Tuliambiwa gesi ilivuja kumbe siyo kuvuja bali ILIMWAGIKA!! Kuvuja maana yake kuna tundu kwenye bomba.
Kumbe si tundu bali bombomba lilifumuliwa na...
M-Gas ni kampuni inayoungwa mkono kimataifa. Tuna bohari zetu, mitungi ya gesi na magari ili kukuhakikishia kuwa unapata gesi (LPG)bora ya kupikia na huduma bora zaidi wakati wote.
M-Gas inatumia teknolojia janja kubadilisha maisha kwa kukuuzia gesi safi ya kupikia kwa Mtanzania saa 24, siku 7...
Nawasalimu kwa jina la JTM,
Ziara za Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka Hamdu Shaka zimekuwa zikiacha vilio kwa wazembe na wapigaji katika maeneo ya miradi mbalimbali hapa chini,
Je, tutarajie pia kesho kunamtu ataliwa kichwa na Katibu huyu wa NEC itikadi &Uenezi wa CCM...
Mita janja kuanza kuunganishiwa wateja Septemba
SERIKALI imesema kuanzia mwezi Septemba itaanza kuwaunganishia umeme wateja wapya kwa kutumia Mita Janja ili mkusaidia kununua umeme akiwa safarini bila kulazimika kuingiza kwenye mita yake.
Waziri wa Nishati, Januari Makamba.
Waziri wa Nishati...
Naomba kujua Kuna tofauti ya ulaji wa unit Kwa mita za zamani na mpya za rea?nazungumzia matumizi ya unit kwisha ni sawa.kwamba zote mbili nimeeka unit 5 matumizi ni sawa.uishaji unalingana?
Shindano la kutembea kwenye kamba angani limefanyika katika Bustani ya Kitaifa ya Misitu ya Huangshizhai huko Zhangjiajie, China. Watu 10 wameshindana kwa kutembea juu ya kamba kwa urefu wa juu wa zaidi ya mita 200 angani.
Ijumaa iliyopita Biden alitangaza kuziuzia nchi za Ulaya (EU) gesi iliyo katika hali ya kimiminika (Liquefied natural gas, LNG) kiasi cha mita za ujazo bilioni 15 ili kupunguza utegemezi wa nchi za Ulaya kwa gesi ya Russia. Tangazo hilo limekuja ktk kipindi ambacho Putin amewaambia nchi za...
Aina ya mita ninayotumia ni EDMI, HD21. Meter number inaanzia 4302.
Hakuna mawasiliano kati ya mita na rimoti ya kuingizia umeme, rimoti inaload bila kuleta taarifa za mita, hivyo hata umeme inashindikana kuingiza.
Tatizo ni nini? Tumelala na giza jana usiku, msaada tafadhari.
TANESCO
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kwamba kuanzia Julai mwaka huu litaanza kutumia ‘smart meters’ za umeme, ambapo mteja akinunua umeme utaingia moja kwa moja na umeme utawaka.
Maelezo hayo yametolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande akisema kwamba suala hilo limekuwa...
Ni mtoto wa miaka mitano (5); baada ya baba yake kumtafuta kwa masaa kadhaa ndio akagundua kwamba kadumbukia kwenye kisima kilichokuwa kinafanyiwa matengenezo. Video zina maelezo
“Do this, send a soft bracelete attached to a rope along with a speaker, let his dad explain to him how wear it...
ELECTRICAL FENCE SPECIAL OFFER (19,000/= per meter)
fungiwa electrical fence kwa 19,000/= kwa mita moja, gharama iyo inajumuisha vifaa vyote vinavyotumika na ufundi, bei iyo ni kwa eneo la kuanzia mita 70 kuendelea, tunafanya kazi mikoa yote popote pale tunakufikia mteja, wahi sasa.
Piga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.