mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    Barabara za mitaani kuamua uchaguzi wa serikali za mitaa 2024

    Kwa maoni yangu, moja kati ya mambo ambayo yataamua hatima ya chaguzi za wenyeviti wa vitongoji, mitaa na vijiji, ni barabara za mitaani. Mvua kubwa za 2023/2024 zimeacha miundombinu hiyo ikiwa imeharibika sana, na ni kero kubwa kwa wananchi
  2. Suley2019

    Prof. Lipumba: Napata wasiwasi kanuni zipi kutumika Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa anapata wasiwasi kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa, unaweza kuwa kama wa mwaka 2019 au utakua tofauti, kwa kuwa haijulikani utatumia kanuni zipi. Lipumba ametoa kauli hiyo leo Machi 11, 2024 wakati wa...
  3. Black Butterfly

    KERO DAWASA Mitaa ya Tabata Segerea kuna shida gani, Mbona hatupati Maji wiki ya tatu sasa?

    Kuna mambo nchi hii yanachosha sana jamani, hebu fikiria Wiki tatu unakosa Maji ambayo unayalipia kila mwezi, ni utaratibu gani huu? Leo naomba kuwauliza Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kuna shida gani katika jiji hili, mbona matatizo ya maji hayaishi? Mvua ziwepo zisiwepo...
  4. BigTall

    Nimezunguka baadhi ya mitaa sijafanikiwa kupata Sukari Dar, kuna nini kinaendelea?

    Wazee nimezunguka mitaa kadhaa ya Kawe na Mbezi Beach na maeneo mengine ya karibu na hayo Dar es Salaam, siku mbili hizi kwa ajili ya kutafuta sukari lakini sijafanikiwa kupata kwenye maduka yote niliyoenda. Kwani hii hali ipo pia mitaani kwenu? Sukari iko wapi kwani? Au baada ya Serikali...
  5. The dumb Professor

    Wazazi kuweni makini na watoto/vijana wadogo kutembea Usiku mitaa ya Sinza na Kinondoni

    Wasalaam Wataalam wa Darisalaam, Sinza na kinondoni sio mitaa ya kuruhusu kijana wako atembee usiku, kwanini? Ngoja niwarudishe nyuma miaka kadhaa nilipokuwa kijana mdogo tu aliyemaliza form four. Ndevu Bado zinaota ota. ilikuwa wikendi moja tukufu ya sikukuu, Mimi na rafiki yangu tumetòroka...
  6. THE FIRST BORN

    XAVI Umepiga Kazi Mitaa ya Wapenda Soka Haitokudharau Imekuheshimu

    Mpira ni Mchezo ambao unafanya watu wasahau Maumivu ya Gharama kubwa za Maisha ndani ya dakika 90. Mpira ni Mchezo ambao unafanya watu wa Dini Tofauti wasahau Imani zao kwa Mda, na wote wanakua na Dini Moja kwa dakika 90. Mpira ni Mchezo ambao unafanya wapinzani kisiasa waungane kwa dakika 90...
  7. Papaa Mobimba

    Pre GE2025 Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu, CCM waanza kutoa kauli tata

    Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya makada wa CCM wameanza kutoa kauli tata ambazo zinaashiria kuwa vyovyote itakavyokuwa lazima CCM ibaki Madarakani. Kwamba CCM hakijaombwa kushindwa. Kada mmoja amenukuliwa akiwaponda ACT Wazalendo kuwa haiwezekani wao...
  8. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Emmanuel Cherehani: Wananchi Jitokezeni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    📍Ushetu - WANANCHI JITOKEZE UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA-MBUNGE CHEREHANI Wananchi wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2024. Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga Mhe Emmanuel Cherehani ameyasema hayo tarehe...
  9. mwanamwana

    Pre GE2025 Vyama vya Siasa vya upinzani vijikite kuwaandaa wagombea mapema kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Tunapoelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 ni vyema vyama vyote vya upinzani vitakavyoshiriki vikaanza maandalizi mapema kabla giza halijazama. Wote tunakumbuka uchafuzi uliofanyika katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ambapo vyama vya upinzani vilipata pigo moja...
  10. J

    LGE2024 Uchaguzi serikali za mitaa ufanyike 2026. Je, kuna madhara yoyote?

    Je, haiwezekani kuahirisha uchaguzi wa serikali za mitaa mpaka 2026? Hii itawezesha uchaguzi huo kusimamiwa na Tume Mpya Huru ya Uchaguzi badala ya Tamisemi. Nadhani Watanganyika tusiwaige Wazanzibari kufanya chaguzi zote kwa wakati mmoja. Nchi yetu ni kubwa sana ukilinganisha na Zanzibar.
  11. K

    Kuhusu Pensheni ya Wastaafu wa Serikali za Mitaa kutoka Hazina: Je, Serikali haijui ni haki yetu?

    Leo ni tarehe 9.1.2024 Wastaafu wa Serikali za Mitaa wanaolipwa na Hazina hawajapata pensheni yao ya Desemba, 2023. (1) Je, Serikali ina hali mbaya ya kifedha? (2) Je, Serikali haijui ni haki yetu? (3) Je, Serikali haioni ni kipaumbele chake kuwalipa wastaafu? Tunaomba tulipwe kwani ni haki yetu.
  12. Dugwai

    Barabara za mitaa zimepewa majina yasiyo endana na historia

    Habari za mchana JF members Mm ni mkazi wa Dar es Salaam sehemu ninayoishi barabara zake za mtaa zimepewa majina yasiyo endana na historia ya maeneo hayo. Majina hayo yaliwekwa pasina kuwashirikiasha wananchi, mfano kuna barabara ya mikumi,Samia,magufuli,chato n.k Ila kwa mtazamo wangu naona...
  13. Huihui2

    Naomba kueleweshwa; Je Google wanapataje mitaa na njia za dunia nzima?

    Moja kwa moja kwenye point. Wajuzi watujuze ni kwa vipi Google inazo barabara na vinjia hata vya vijijini swekeni kabisa. Na mara nyingine wameweka hadi majina ya mitaa.
  14. Webabu

    Hamas wameigeuza mitaa ya Gaza kuwa tando la vifo kwa askari wa Israel

    Shirika la habari la Reuters limegundua kuwa wanamgambo wa Hamas wameweza kuigeuza mitaa ya Gaza iliyobomolewa kuwa ni mtego na tando la kuwaua askari wa Israel. Idadi ya askari wa IDF waliothibitishwa na Israel yenyewe kufa katika vita hivi tayari imeshakuwa ni mara mbili zaidi ya vile...
  15. Atlast nimempata

    Kuna mitaa imelaaniwa

    Ulishawahi kukuta mtaa fulani hali ya maisha ya kaya zoote hapo choka mbaya? Mtaa wote umejaa makahaba! Mtaa umejaa walevi! Watoto au kizazi ndani ya huo mtaa hawamalizi darasa la saba au kidato cha nne! Ndani ya huo mtaa hakuna mtumishi wa umma mwenye mshahara unaoeleweka! Hakuna familia...
  16. and 300

    KERO Madanguro Dar, Serikali za mitaa mnalipwa?

    Madanguro yamekuwa kama biashara rasmi, Leo nitataja madanguro Jijini na kuwauliza mamlaka za Serikali za mitaa kama nao ni sehemu ya huu uchafu. 1. Tandika Sokoni, 2. Temeke Sudani, 3. Temeke Sokota (Sugar Ray), 4. Buguruni Sokoni, 5. Manzese Uwanja wa Fisi, 6. Manzese Mferejini, 7...
  17. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Khamis Hamza: Serikali Kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa Kusimamia Taka Nchini

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo imeibua miradi ya kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa kusimamia taka nchini. Amesema hayo wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mikakati...
  18. KING MIDAS

    Treni ya kutoka Kigoma yapata ajali mitaa ya Kibirizi

    Treni iliyokuwa ikitokea Kigoma kuelekea jijini Dar es Salaam imepata ajali mita chache kutokea stesheni ya mkoa wa Kigoma ambapo mabehewa matatu kati ya 14 yaliyokuwa yamebeba abiria yameacha njia katika eneo Kibirizi Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma. Ilikuwa ni majira ya saa tatu...
  19. BARD AI

    Maputo: Polisi watumia Mabomu ya Machozi na Kujeruhi Waandamanaji wanaopinga Matokeo ya Serikali za Mitaa

    Polisi Jeshi la Polisi jijini Maputo limetumia Mabomyu ya Machozi kuwatanya Waandamanaji wa Upinzani huku wengine wakijeruhiwa kutokana na kupinga matokeo ya Uchaguzi uliofanyika Wiki moja iliyopita wakidai Chama Tawala (FRELIMO) kiliiba Kura. Maandamano hayo yanafuatia uamuzi mwingine wa...
  20. Ngurukia

    Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa anataka kuniuzia kiwanja changu mwenyewe

    Nina kiwanja changu kama nusu eka nilichonunua 2012 maeneo ya Chanika. Nilikizungushia fence ya waya na mara moja moja nilikuwa natuma mtu apasafishe. Takriban miaka 6 nilikuwa nje ya Dar kikazi. Nimerudi mwisho wa mwezi wa 9 ila ilikuwa sijapata fursa ya kwenda kwenye kiwanja changu. Jana...
Back
Top Bottom