Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa amesema kutokana na kazi nzuri inayofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya Jimbo la Ukonga, vyama vingine kwenye uchaguzi wa...
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo wa Jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma, Yasin Mohamed Mawila, ametoa onyo kali dhidi ya jaribio lolote la udanganyifu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.
Akizungumza Jumapili, Novemba 24, 2024, kwenye mkutano wa kampeni...
Mussa Azzan Zungu, ambaye ni Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, ameendelea na kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kata ya Upanga Magharibi, jijini Dar es Salaam. Amengia kuogea na wananchi mtaa kwa mtaa na nyumba kwa nyumba, Zungu amewanadi wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika...
Mkutano wa kwanza leo Novemba 24, 2024 kwa mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mbowe uliofanyika asubuhi leo Uyole, Mbeya.
Mwenyekiti ameambatana na mwenyeji wake mwenyekiti wa Kanda Mhe. Sugu, pamoja na viongozi wengine.
Mashindano ya Samia Kagera Cup 2024 yaliyowakutanisha vijana na wananchi wa Mkoa Kagera kwa kuwahamasisha kushiriki kikamilifu na kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba 2024, kushiriki shughuli za maendeleo, kuonyesha vipaji pamoja na kuongeza ushiriki...
TAMKO LA KUTANGAZA SIKU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA SIKU YA MAPUMZIKO LA MWAKA 2024
KWA KUWA kifungu cha 3 cha Sheria ya Sikukuu za Kitaifa, Sura ya 35, kinampa Rais mamlaka ya kutangaza siku yoyote kuwa siku ya mapumziko kama nyongeza ya siku zilizoainishwa kwenye Jedwali la Sheria...
Kura yako ni muhimu, jitokeze kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 27.11.2024, vituo vitafunguliwa saa mbili asubuhi na kufungwa saa kumi jioni.
Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi, kama ile ya kuwalinda wasimamizi wa uchaguzi wasishtakiwe wanapofanya makosa hata ya kijinai wakati...
Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi, kama ile ya kuwalinda wasimamizi wa uchaguzi wasishtakiwe wanapofanya makosa hata ya kijinai wakati...
Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu.
Baadhi ya Kanda wanaomba Mbowe au Mnyika ndio waende kwenye maeneo yao.
Kipimo kikuu cha akili na ustaarabu wa binadamu yeyote yule ni namna anavyopangilia maeneo yake anayoishi na kufanya shughuli zake.
Haijalishi kama anajenga nyumba za kitajiri au za kimaskini ila namna gani alivyopima na kupangilia makazi yake ndicho kielelezo pekee kinachoweza kukwambia kuwa...
Nawaza tu
Uchaguzi huu CCM atapata 95%
CDM itapata 2%
CUF itapata 1%
ACT itapata 2%
Kwa mantiki hiyo CCM itashinda kwa kishindo kikubwa. Sababu ziko wazi za kimtaji anzia.
Sababu za kushindwa CDM na wenzake ni:
* Viongozi wa vyama vyao kutokuwa na misimamo (mfano mara kadhaa husikika...
CCM ITAHESHIMU RATIBA YA MIKUTANO KAMPENI SERIKALI ZA MITAA.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu(NEC) Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho katika kipindi chote Cha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kitaheshimu ratiba ya mikutano...
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Cde. Seth Bernard Masalu, anawaomba wakazi wa Mwanza wote na watanzanania kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji utakaofanyika Novemba 27, 2024 kwa Kuwachaguwa Wagombea wote wa Chama cha Mapinduzi katika nafasi zote...
📍 Kigamboni
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salam CPA. Amos Makalla ameendelea na mikutano mikubwa ya kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mkoa wa Dar es salam leo ikiwa ni zamu ya Wilaya ya Kigamboni, CPA Makalla amewanadi na...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimezindua rasmi kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, ikiwa ni hatua muhimu katika kuhakikisha wananchi wanashiriki kikamilifu katika uchaguzi huu muhimu. Uzinduzi wa kampeni hizi umefanyika katika kijiji cha Dutwa, Wilaya ya...