mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    LGE2024 CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyang’anyiro cha serikali za Mitaa

    CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyang’anyilo cha serikali za Mitaa Na Amosi Kagilwa, Kanda ya Pwani. Vilio na kwiki vimetawala leo kila kona ya nchi kutoka kwa viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA) na wagombea wao kwa Kuenguliwa katika...
  2. Yoda

    LGE2024 Wasio na ajira wanabaguliwa uongozi serikali za mitaa?

    Kuwa na ajira au kazi ni kigezo cha kuwa kiongozi wa serikali za mtaa? Pia soma - LGE2024 - Askofu Mwamakula: Mtaa wa Stop Over mgombea wa CHADEMA ameenguliwa kwa kuandika ni mjasiriamali, huku wa CCM akipitishwa kwa kuandika mfanyabiashara -- "Kibamba hapa Dar es Salaam wapo wagombea wetu (wa...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    LGE2024 Ikiwa CHADEMA au chama chochote cha upinzani kitapata mtaa au kijiji kwenye uchaguzi huu nipigwe ban milele

    CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania. Viongozi wa CHADEMA kadhaa wametekwa na wahuni na wengine kuuwawa, Serikali imeshindwa hata tu kumshika teja na kumbambikiza kesi ya utekaji na uuaji licha ya kuwa na makachero wanaotengewa billions of Tanzania shillings kila mwaka. Badala yake...
  4. chiembe

    LGE2024 Chadema kitashinda uchaguzi wa mitaa? Lissu anatumia muda mwingi akiponda raha Belgium, hajishughulishi na lolote

    Nadhani chama kimekata tamaa, kimegawanyika. Nadhani sasa vyama vingine vizibe ombwe hili. Wenzetu wakija kuchochea vurugu, uharibifu wa amani, wana pa kukimbilia, kwa wajomba zao Canada na Ulaya, sisi kwetu ni hapahapa, tupatunze
  5. J

    Bila Taarifa Sahihi hauwezi kufanya Maamuzi Sahihi ikiwemo Kumchagua Kiongozi Sahihi. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unakuja, unamjua Mgombea wako?

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, unaleta nafasi muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi watakaoleta maendeleo katika ngazi za karibu zaidi na maisha yao ya kila siku. Uchaguzi huu unahusisha uchaguzi wa viongozi wa mitaa, vitongoji, vijiji, na wajumbe ambao...
  6. PendoLyimo

    LGE2024 Freeman Mbowe: Pambaneni hakikisheni hakuna kura inaibiwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

    Mwenyekiti wa Chama wa chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema Freeman Mbowe ameungana na wanachama kuwasindikiza wagombea wa vijiji vinne vinavyounda kata ya Machame Narumu, Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro source https://x.com/MwanzoTvPlus/status/1851859898469863604
  7. Hismastersvoice

    LGE2024 Uchaguzi serikali za mitaa waandaaji wanafanya hujuma

    Siku ya jana niliamua kwenda kuangalia jina langu kwenye ofisi husika kama tulivyoshauriwa, nilifika kwenye ofisi na kuzikuta karatasi zenye majina zikiwa zimebandikwa ukutani. Karatasi hizo zimeandikwa kwa kalamu yenye wino hafifu kwenye karatasi ya rangi hafifu ya njano hivyo kuyafanya majina...
  8. The Watchman

    LGE2024 Mbeya: Wasimamizi katika vituo vya kuchukua na kurudisha fomu uchaguzi serikali za mitaa ni kikwazo kwa wagombea wa upinzani

    Mtendaji wakitongoji cha Idugumbi kata ya utengule usongwe Jimbo la Mbeya vijijini amekimbia Ofisi nakuzima simu zake zote. Kumekuwepo na huu mchezo ofisi za vijiji na mitaa kufungwa muda ambao wagombea wanahitaji kuchukua na kurudisha fomu. Hii ni mbinu ambayo inatumika kuweka ugumu kwa...
  9. L

    LGE2024 Zoezi la Uchukuaji na Urejeshaji wa fomu za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mbwembwe linaloendelea nchini nzima ni ishara ya uvunjifu wa amani

    Sioni sababu yoyote ya watu kukusanyana kwa ajili ya zoezi la kwenda kuchukua fomu tu ya kugombea, kwangu naona ni ishara kuwa wanaofanya hivi lengo lao wakishindwa kwenye uchaguzi ionekane wameibiwa kura, period. Kanuni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa za 2024, mwongozo wa uchaguzi na mwongozo...
  10. comte

    CHADEMA wanakiri udhaifu wao kwa vitendo; Mbowe yuko busy anawajazia fomu wagombea wa CHADEMA uchaguzi wa serikali za mitaa

    mwaka 2019 wagombea wengi wa CHADEMA walienguliwa kwa sababu ya mapungufu makubwa kwenye ujazaji wa fomu za uteuzi. Mwaka 2024 CHADEMA wamejifunza somo sasa viongozi wote wanawasaidia kujaza fomu ili lisiwapte la 2019. Ni jambo jema kukiri makosa kwa vitendo FRV. Gaspar E. Temba...
  11. kipara kipya

    Tangu juzi nipo mitaa ya Barcelona kashinda derby 4-0 lakini sijaona mabango ushamba mzigo

    Nazurura hapa jijini barcelona katika mitaa sijaona bango la ushindi wa 4-0 wala sijaona afsa habari akikata kiuno wala joah larpota akiimbisha nyimbo za kebehi wala kualika watu supu maisha yameendelea ile ni game imekuaje huku kwetu kweli ushamba ni mzigo!
  12. Mtoto wa nzi

    LGE2024 Uandikishaji Wapiga Kura Serikali za mitaa: Mtendaji na Mwenyeki watakiwa kuonyesha alipo Mke wa Mtu.

    Imetokea Mara huko ..Baada ya Mume kuona jina la Mke wake katika orodha ya wapiga kura ingali kuwa Mkewe amepotea kijijini hapo zaidi ya miaka mitatu na alitoa taarifa Kwa Serikali ya Kijiji na Mtendaji. Sema kimeumanaaaa. . Pameshaanza kuchangamka mapema hivi ... Asee CCM Sasa wanaiba mpaka...
  13. chiembe

    LGE2024 Tafsiri yangu uchaguzi serikali za mitaa: Huo wingi wa watu wanaogombea kuwapigia kura wana CCM ni ishara nzuri kwa 2025. Mtaji huo utunzwe!

    Hii ni ishara tosha kwamba CCM ni maisha yetu, sawa na maji. Watu wako tayari kukesha, hata kuchapana makonde ili waipigie kura CCM. Nadhani makao makuu au ofisi za mikoa na wilaya, zitupie jicho la karibu chaguzi hizi ili anayeshinda au kushidwa, yeye na wafuasi wake wabaki CCM ili 2025 mtu...
  14. Mtoa Taarifa

    Ulikuwa Bingwa wa Michezo ipi Utotoni?

    Ifahamu michezo asilia ya watoto inayotambulika katika Lugha adhimu ya Kiswahili 1) Kombolela 2) Mdako/nakwa 3) Rede 4) Nage 5) Tobo 6) Saga koboa 7) Ukuti ukuti 8) Kinyulinyuli 9) Visoda 10) Kula mbakishie baba Itaendelea...
  15. The Supreme Conqueror

    Dr Slaa:Chadema acheni visingizio hamkujiandaa uchaguzi wa Serikali za Mitaa msiwadanganye Wananchi.

    Kada na kiongozi muandamizi wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa, ameshutumu vikali chama hicho kwa kushindwa kujiandaa kikamilifu kwa uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji, na vijiji. Katika kauli yake isiyo na kificho, Slaa amewapa somo Chadema, akiwataka wafahamu kwamba kwenda...
  16. JanguKamaJangu

    LGE2024 Ester Thomas (ACT Wazalendo): Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Watiania Msikubali Kutishwa

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bara, Ester Thomas amesema ACT Wazalendo imejipanga vyema kuhakikisha wanachama wake waliotia nia kugombea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wanapata msaada wa kisheria katika kipindi cha uhitaji. Amesema maneno hayo leo Oktoba 23 Jijini Mwanza...
  17. Zanzibar-ASP

    LGE2024 Takwimu za uandikishaji uchaguzi wa serikali za mitaa huenda zimepikwa kupitiliza!

    Serikali leo imetangaza kuwa zaidi ya nusu ya watanzania wamejiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Takwimu zilizotolewa na waziri siku ya leo zimesema zaidi ya watanzania milioni 31 wameandikishwa! Takwimu hizi zinamaanisha, karibu kila...
  18. Mtoa Taarifa

    LGE2024 TAMISEMI: Wananchi 26,769,995 wamejiandikisha katika Daftari la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hadi kufikia Oktoba 19, 2024

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kufikia Oktoba 19, 2024, Jumla ya watanzania wenye sifa Milioni 26,769,995 sawa na asilimia 81% wamejiandikisha kwenye daftari la Mpigakura, tayari kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
  19. Ritz

    Kama unavyoona, mitaa ya Haifa si salama tena

    Wanakumbi. Kama unavyoona, mitaa ya Haifa si salama tena. Pia angalau athari moja iliripotiwa karibu na mji wa Safad kufuatia msafara wa hivi punde kutoka Lebanon kuelekea mjini. Angalau saba walijeruhiwa katika mgomo huo, kulingana na mamlaka ya matibabu ya iseral. Ndege isiyo na rubani pia...
  20. Gabeji

    Mchengelwa uongeze siku za kuandisha daftari la Serikali za Mitaa, Yanga na Simba zimeathiri zoezi

    Mh. Mchengelewa bila shaka ni mzima wa afya njema. Nakuomba uongeze siku za kujiandikisha kwa sbb zifuatazo: 1. Kuepo kwa figisu nyingi za kuandikishaji sehemu mbalilmbali. 2. Yanga na simba zimeathiri zoezi zima la kuandikisha watu wote wameenda kuangalia mpira wa simba na yanga, cha...
Back
Top Bottom