Nguli, na kigogo, Cingwiyemisi wa siasa za upinzani, Dk Slaa, ametabiri kipigo kitakatifu kwa Chadema katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Slaa amesema chama hicho hakina maandalizi, na kimekata tamaa
Wiki iliyopita, Bunju kulikuwa kuna kiwanja cha jamaa kinauzwa, na mimi nilikuwa mmoja wa mashahidi. Gafla, serkali za mitaa zilianza kutaka kuulizia kiwanja kinauzwa shilingi ngapi. Mnunuzi akamwambia hiyo ni makubaliano yangu na anayeniuziya. Mwenyekiti akakataa kutoa ushirikiano mpaka ajue...
MHE. WANU HAFIDH AMEIR AJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA WA SERIKALI ZA MITAA
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Wanu Hafidh Ameir amejiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa linaloendelea nchi nzima tangu...
Shirika la kimataifa la haki za binadamu, Human Rights Watch, limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuchukua hatua za haraka kurekebisha hali inayozidi kuzorota ya haki za binadamu nchini, kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024. Kwa mujibu wa ripoti...
Ndugu zangu, wanajamii Forum TUJITOKEZE kwenye kujiandikisha daftari la wapiga kura serikali za mitaa na vijiji. Kwani Halichukui muda mwingi
..
Majina yako matatu, miaka yako... Sahihi yako tu.
Dakika moja tu unakuwa umeondoka.
Katika maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, chama cha CHADEMA kimebaini udanganyifu katika mchakato wa uandikishaji wa wapiga kura. Mawakala wa chama hicho wamegundua kuwa kuna wanafunzi ambao wamejiandikisha ili kupiga kura, ingawa hawajafikisha umri wa miaka 18. Wanafunzi hawa...
Wasimamizi wa vituo vya kujiandikisha wapiga kura wanalipwa 350000, kwa mmoja ,kituo kimoja wakiwa wanne ni zaidi ya 1.2m ,kwa nchi nzima ni mabilion ya pesa !! Kwanini mnathamini mchakato na sio ajenda? Mkishawachagua hao viongozi wanaanza kujitolea hawana hata posho Wala mishahara ,ifike...
Mahakama Kuu Kanda ya Songea imetoa mafunzo ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa waheshimiwa mahakimu wakazi kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma.
Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya Huntlcub Ruhuwiko mjini Songea,yamefunguliwa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu...
1. Ni kwanini kama nchi tunaingia gharama mara mbili kufanya zoezi Moja linalofanana? Hii tunayoambiwa kuwa ni Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa (INEC) waliandikisha/fanya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura nchi nzima wiki chache zilizopita.
2. Cha ajabu TAMISEMI ya Mchengerwa na...
Wakuu..
Najaribu kuwaza kwa sauti hapa.
Mwaka 2019 ulikuwa mwaka wa mafanikio Sana kwa chama Cha mapinduzi(CCM) katika chaguzi za serikali za mitaa.
Walishinda kwa kishindo huku wakipita bila kupingwa kwa baadhi ya mikoa.
Japokuwa wajuzi wa Mambo wanasema kuwa ule uchaguzi ulikuwa na dosari...
Leo ndiyo siku ya kwanza kwa wananchi kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Wananchi wanajitokeza kwa wingi lakini kwenye kituo nimewaona wakala wa vyama viwili tu yaani CCM na CHADEMA.
Je Vyama vingine viko wapi?. Mfano ACT-Wazalendo, Chauma, TLP, NCCR sijawaona wakala...
Tunataka Katiba Mpya,hatutaki uchafuzi tena kinachofanyika ni kiini macho. Waziri Mchengerwa hastahili kusimamia uchaguzi kutokana na kuwa mwanafamilia wa Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama kinachowania serkali za mitaa na serkali kuu.
Juzi nimepigiwa simu na jirani yangu akiniomba nitaje jina langu liandikwe na CHAMA fulani ili niandikwe kwa watakaowapigia kura CHAMA hicho.
Binafsi nilimjibu kuwa mimi ni mtu mzima mwenye akili timamu kamwe sitarubuniwa.
Naona hicho CHAMA kinahaha naona wana hali ngumu kipindi hiki.
Kutokana na hujuma inayofanywa na DAWASA katika suala zima la kupatikana kwa maji, ni vyema kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ni vyema kuikataa CCM kusimamia utawala wa mitaa yetu.
Wakuu salaam,
Wananchi wa kata ya Kibosho halmashauri ya wilaya ya Moshi wamekarabati barabara zote za eneo hilo kwa michango yao binafsi.
Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro kwa muda mrefu wana utamaduni wa kuchangia shughuli za kimaendeleo bila kutegemea serikali.
Siku chache zilizopita...
Tundu Lissu awafunda watia nia wa nafasi ya Uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa akiwa Jimboni Kibamba katika Semina iliyofanyika Kata ya Kawe na kuwataka kutofanya makosa ambayo yatasababisha kupoteza kwenye Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Lissu amewataka Watia nia...
Salaaam Wakurungwa,
Katika harakati zangu za mtu mweusi nimejikuta nikiishi mitaa isiyopungua mitano katika mikoa tofauti tofauti. Harakati zangu zimenifanya kila nikihamia mtaa niwatafute viongozi wa Serikali za Mitaa kupata huduma mbalimbali. Kautafiti kangu kwa mitaa yote niliyopita ofisi...
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Pwani. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.
Ramani ya Mkoa wa Pwani
Historia ya mkoa wa Pwani
Kabla ya uhuru mkoa wa Pwani ulikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.