Wakuu, Leo katika pitapita zangu maeneo ya Morroco nimekutana na gari za polisi za kutosha wakiwa wamevalia special kupambana na waandamanaji samba samba na hilo pia gari za maji ya kuwasha zlikua znapita pita maeneo hayo
Hali ni mbaya sana mtaani .. ma IT wameshamaliza kozi zao.. Ajira hakuna .. Sasa wamegeukia utapeli na wizi kwa njia ya mitandao
Makinika na vitambulisho vyako mbalimbali hasa NIDA
Kadi za bank
Passwords nk
Makinika na wasajili laini mitaani na ikiwezekana TCRA wazifunge hizi freelance za...
Ndugu zangu Watanzania,
Hotuba nzito na ya kihistoria na yenye kugusa hisia za mamilioni ya watanzania imeendelea kuteka hisia , mijadala na kupongezwa na watanzania wengi sana mitaani.imeendelea kusifiwa na kuungwa mkono na watanzania wote.
Ni hotuba ambayo imeonyesha msimamo wa Rais wetu na...
Koma sava wanajukwa, siku ya alhamisi wakati watuhumiwa wa kesi ya binti wa yombo wakitoka mahakamani vyombo mbalimbali vya habari vilionyesha namna watuhimiwa wanavyorudishwa mahabusu.
Mtuhumiwa maarufu kwenye shauri hilio "nyundo" pamoja na kuwa na pingu mkono wake wa kulia Ambayo alifungwa na...
Leo nilikuwa na issue zangu zilizonipelekea kuamka asubuhi sana kwenda kati ya viunga vya Dar kukutana na jamaa yangu. Sasa niliwahi maeneo ya kukutana nikaona wakati namsubiri ebu nikapate vyombo kidogo bar ya karibu.
Nikafika bar fulani mandhari inavutia ila nikakuta wamekusanya viti upande...
Ndugu zangu Watanzania,
Mitaani ni shangwe, nderemo, vifijo , chereko chereko,furaha,hoihoi na tabasamu tupu kwa wananchi mbalimbali. Hii ni baada ya Rais Samia kukata kiu ya mamilioni ya watanzania waliyokuwa nayo mioyoni mwao. Kiu ya kutaka kuona Rais Samia akiendelea na muhula wa pili wa...
Nimezunguka mitaani pesa imeadimika kabisa kuna nini. Maisha ni magumu ajabu, biashara zimerudi nyuma. Mwezi wa saba ya Mwaka huu tuna fail wapi.
Tuambizane.
Habari za wakati huu waungwana..
Mitaani kumekuwa na tabia ya kuwaita watoto wa kike jina la ZUCHU, hasa kwa wale ambao majina yao yanaanzia na herufi 'Zu'
Mwanangu anaitwa Zulfa, sasa wanamuita ZUCHU kitu ambacho mimi kama mzazi sipendi kwani sio jina nililompa mwanangu.
Wakati mwingine...
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amepiga marufuku nchi zima mabango yaliyozagaa mitaani ya kuuza viwanja maarufu viwanja vinauzwa na ametoa siku 7 kwa maafisa ardhi nchi nzima kuhakikisha mabango hayo yanaondolewa na ameagizo pia makampuni yote yanayouza viwanja...
Leo nimepokea mialiko miwili kupitia magroup ya WhatsApp kuniomba niende kujiandikisha na kupewa kadi ya CCM.
Mtaa mmoja nimekuta kundi kubwa la vijana wa mitaani waliochoka kimaisha, wakiwa na viongozi wa CCM wenye vitambi wakigawiwa kadi. Pia kuna akinamama wanaosimama njiani kualika wapita...
Ndugu zangu Watanzania,
Kauli za kibaguzi ambazo zimetolewa na zimekuwa zikitolewa kupitia mdomo wa Lissu zimeendelea kulaaniwa na kukemewa sana na watanzania maeneo mbalimbali nchini. Ambapo watanzania wengi wameonyesha kuchukizwa na kauli za Lissu ambazo zinatokana na uchu na uroho wake wa...
Utangulizi
Wapo watoto wa mitaani lakini pia zipo familia za mitaani. Hizi ni familia zilizokumbwa na majanga asilia kama vile mafuriko, matetemeko ya ardhi, njaa, ukame, umaskini, magonjwa, vimbunga, na kadhalika lakini pia zilizokumbwa na majanga ya kibinadamu kama vile migogoro binafsi na ya...
Aisee inasikitisha sana sijui nilipapendea stress ama kitu gani yaani watu wamepagawa hatari jamani tembea muoneni watu Wana shit hatari wanatukana wamekuwa waongo wanatukana hatari ila hawapigani yani wamekuwa wabishi na walevi hatari yaani ni kana kwamba wame jaribu mambo yote na sasa wanataka...
Inasikitisha wakati kuna vijana wanahangaika mjini kutafuta ajira bila mafanikio ni dhahiri kwamba baada ya tangazo la tume ya uchaguzi kutangaza nafasi za kazi kwaajili ya uchaguzi mkuu wengi waliojitokeza kuomba ni waajiriwa tayari.
Wengi wao ni walimu na watendaji wa mitaa SERIKALI...
Salaam nyingi za za upendo kwenu wote.
Aprili 12, kila mwaka ni Siku ya Mtoto wa Mtaani Duniani.
Kaulimbiu Mwaka huu ni ‘TUWAJIBIKE’.
Uwajibikaji uanze ngazi ya familia kwa wazazi/ walezi kutimiza jukumu la kulea. Sheria ya Mtoto Sura ya 13 kifungu cha 6 – 13, kila Mlezi/ Mzazi anawajibika...
Kupitia akaunti yake katika Mtandao wa Instagram, Mwanamuziki Juma Nature amepost Video akizungumzia suala la Ulinzi Shirikishi maarufu kama Sungusungu au Makamanda na Usalama wa Mitaani
Nature amehoji kuwa kwanini licha ya Wananchi kuchangishwa fedha za Ulinzi, bado vitendo vya Wizi wa Mitaani...
Kwa maoni yangu, moja kati ya mambo ambayo yataamua hatima ya chaguzi za wenyeviti wa vitongoji, mitaa na vijiji, ni barabara za mitaani.
Mvua kubwa za 2023/2024 zimeacha miundombinu hiyo ikiwa imeharibika sana, na ni kero kubwa kwa wananchi
Huyu ni Waziri, kazuia watu kushauriwa waende Mahakamani, na ndiye anapaswa kusimamia utawala wa sheria, anataka watu wachapane makonde mitaani? Amewapa maafisa ardhi gepu la kufanya bomoa bomoa nchi nzima kama yeye anavyofanya?
Ajabu kabisa huyu ni mwanasheria!
Kuna mtu ambaye hajui hawa ndio...
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kuuza maziwa fresh na mtindi mitaani, Je maziwa hayo huwa ni salama kwa afya za watumiaji?
Niliwahi fanya tafiti kidogo kwa kumuuliza kijana mmoja muuzaji wa maziwa haya, aliniambia wanayanunua ubungo na hivyo wao huyauza tena mitaani kwa faida kidogo.
Je, ni...
Lakini wenye Kuujua wala hawajapiga Kelele na wapo kawaida sana utadhani siyo Wao waliotoa Kichapo cha Kishalubela / Kitakatifu cha Goli 6 kwa 0 Jana kwa Mkapa dhidi ya Wabotswana waliosaidiwa Kuroga na Kuvalishwa Majini na Majini Chura Mafuriko Daima FC kule Baharini Kwao wanakoyafuga mno.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.