Kwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!!
Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie.
Picha nyingi zimejaa filter editing za kutosha kiasi kwamba mtu anageuka kuwa mrembo wakati siyo.
Jambo...
Katika Videos kumi utaka-zoplay either FACEBOOK, INSTAGRAM e.t.c, Saba katika videos hizo ni za kuhamasisha ngono.
Je, Ni kuwa watu wamewekeza sana katika ngono.
Karibuni tujadili hili Wanajamiiforums wenzangu.
Ili kupata watumiaji wengi mitandao ya kijamii imekuwa ikivutia watu wengi kwa malipo ya maudhui na idadi ya wafuasi waliopo kwenye maudhui.
Kutokana na sisi kulala na yeye jamiiforum kuzidi kuchuma kwetu maudhui bila malipo kutungwe sheria ili kulipwa kwa wanaotoa maudhui.
Yeye anafaidika na...
Kijana wangu kafikisha miaka 18 na smartphone juu.
Naomba orodha ya mitandao ya kujenga ambayo isipite siku mwenye maono hajapita.
Binafs huwa nikipekua JF huwa najiaminisha nimejua yanayojiri siku hiyo!
Milengo ni siasa(nje na ndan), uchumi, biashara, technolojia/ubunifu na afya.
Miaka ya hivi karibuni mitandao ya simu imekuwa ikitulazimisha kusoma sms, na wanafanya hivyo ili tu tusome matangazo yao mengine yasiyokuwa na Tija, bila kujua kuwa wanakwamisha watanzania Kwa kuwapotezea muda.
Mfano unapo angalia salio, asilimia kubwa hii mitandao imekuwa ikitulazimisha...
Kuna hili jambo limekuwa linanitatiza kwa muda mrefu.
Mimi siyo mtumaji sana wa SMS, unakuta napata SMS 100 au zaidi katika bando la mwezi. Unashangaa mwezi haujafika wananiambia SMS zangu zimeisha wakaki najua kabisa sijatuma idadi hiyo ya SMS ndani ya muda huo.
Njia pekee ya kufikisha...
Ikumbukwe kuwa huyu mshtakiwa tu (mtuhumiwa
Maana yake anaweza akawa amefanya makosa kweli au Lah, wenye maamuzi ya mwisho huwa ni Mahakama.
Nimeona katika mitandao mbalimbali mtuhumiwa kuwekwa picha na tuhuma yake, mfano ya kubaka kuku.
Kumbukeni huu ni uzalilishaji.
Leo hii mimi...
UZINGATIVU WA JINSIA: MFUMO DUME BADO KIKWAZO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII
Utamaduni wa mfumo dume katika jamii umeelezwa ni mojawapo ya sababu za kutozingatia uandishi wa masuala ya kijinsia katika kuripoti habari wakati huu ambao idadi kubwa ya vijana nchini Tanzania wakitumia mitandao ya...
Serikali ya Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii ikiwamo Facebook na Tiktok nchini humo kwa muda wa hadi miezi mitatu, huku ikitegemea udhibiti wa maudhui.
Agizo hilo limetolewa na Mamlaka ya Kitaifa ya Mawasiliano ya Sudan Kusini (NCA) Jumatano Januari 22...
Habarini wakuu.
Kuna hawa watu hupost picha/video za kuchekesha kufundisha kuburudisha na vinginevyo katika mitandao kama vile YouTube Instagram Tik Tok nk.
Akili yangu inaniambia hii ni biashara lakini huwa nabaki na swali kama ni biashara hawa watu huwa wanalipwa vipi/wanapataje faida...
Na huu ni ukaguzi wangu binafsi kutokana na eneo nililopo. Hapa nitatoa kitu kinajulikana km customer feedback.
Awali ya yote mimi ninatumia mitandao yote ya simu yaan Airtel, Yas zamani Tigo/Zantel, Vodacom na Halotel.
Sasa kwa eneo nililopo nimejaribu kufanya tafiti zangu binafsi ili...
Hata mimi naungana na bwana Musk, binafsi inaenda miaka 2 sasa nimeshasahau kitu inaitwa redio, runinga kutizama ni mara moja moja sana, tena siyo taarifa ya habari, natazama vipindi vingine kama mpira, wildlife nk.
Mainstream media za bongo zimejipangaje na hii transition inayoenda kutokea?
Jeshi la Polisi linamtafuta kwa kuendesha msako nchi nzima mtu ambaye anaonekana kushoto mwa taarifa hii ambaye ametengeneza na kusambaza picha mjongeo (video clip) akitangaza jongeo kuwa anamuuza mtoto al aliyembeba kwa shilingi milioni moja na laki sita. Msako huo utahakikisha anakamatwa ili...
Ni uchaguzi wenye makelele mengi mitandaoni, lakini hauna ushindani kabisa kiuhalisia field.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba kwa upande moja mgombea ni dhaifu sana ndani ya chama, yaani kwamba mgombea huyo anaungwa mkono nje ya chama, kwenye mitandao ya kijamii na wana harakati wasio na...
chadema
kijamii
lisu
maarufu
maoni
mbowe
mitandaomitandao ya kijamii
mkutano
mkutano mkuu
mkuu
moja
mwenyekiti
mwenyekiti wa chadema
taifa
uchaguzi
uchaguzi wa mwenyekiti
upande
ushindani
wajumbe
wengi
Naomba kufahamishwa mtandao wa simu ambao upo stable katika streaming na price za data package zao. Nimejaribu kuingia kwenye account za insta za Airtel na Halotel, hakuna nilichoambulia zaidi ya matangazo ya zawadi za Faza Xmas. Likewise na kwenye website zao, hawajaandika gharama za package...
Aisee mjini uje na akili tu. Pia usiamini 100% hii mitandao ya jamii. Watu ni Wasanii Sana.
Ile helikopta (wenyewe waliita private jet) kumbe ni ya kukodi? Huku media zikiripoti tofauti. Stukeni wabongo, mnachezewa akili. Tafuteni pesa, epuken kushobokea watu msiowajua
Wakuu, Pengine mimi bado sijaelewa Essence ya hawa watu Kuji expose kwenye Community kiasi hiki, Kwasababu these people have been with Money for a while na Mostly walikuwa ni watu wa Low key ni watu wa Low profile zao sasa Vuup naona kwa sasa wameona waji Expose sana Pamoja na Kuwa wanafanya...
Habari zenu enyi makampuni ya huduma za mawasiliano. Nakuja kwenu kwa lengo la kuwapa wazo la kibiashara ambalo litaweza kuboresha huduma zenu kwa wateja, haswa kwa upande wa intaneti. Changamoto ambayo nyie makampuni mnayo ni urasimu haswa linapokuja suala la mtu mwenye nia ya kufanya kazi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.