mitandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Influenza

    Azzan Zungu ataka uwepo wa kodi ya uzalendo itakayokatwa kwenye Mitandao ya simu kwa kila Mtanzania

    Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu ametaka kuwepo na kodi ya uzalendo itakayokatwa katika mitandao ya simu kwa kila Mtanzania kwa siku kama chanzo kipya cha mapato kwa Serikali. Amesema kiasi hicho kikikatwa kwa Watanzania milioni 30 kati ya wote waliopo nchini huweza kufikisha shilingi bilioni 540...
  2. Poppy Hatonn

    Rais Samia awaasa viongozi wa dini, "Simameni tuwapige vita wazandiki katika mitandao ya kijamii"

    "Hawa watu wakifikiria tu vitu vichwani mwao,wanaandika",amesema Mama Samia. Wanamtaka kuwaaminisha mambo mengine ambayo siyo ya kweli. Wanawalinganisha Magufuli na Samia. Kwa nini? Samia na Magufuli ni kitu kimoja. Ni kitu kimoja? We hope not. Kwa sababu hii ni Awamu mpya na wananchi wanataka...
  3. BoManganese

    Vifurushi vya internet: Ina maana Watanzania tumechezewa akili?

    Nawasalimu wanajukwaa wote kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania pia nawatakia Waislamu wote mfungo mwema wa mwezi mtukifu wa Ramadhani. Niende moja kwa moja kwenye topic, lengo la uzi huu ni kuhusu hili suala zima la vifurushi au mabando katika mitandao ya simu. Kama tunakumbuka kuna...
  4. Afisa Mteule Drj 2

    Huduma za fedha za mitandao ya simu zinakwaza sana

    Hizi huduma ni za muhimu sana ila mara nyingine zinaweza kukusababishia usumbufu ambao unaweza kujutia kuzitumia Mara kwa mara nimekuwa nikituma hela kutoka Airtel kwenda TTCL. Kama mara 3 hivi kwa siku tofauti baada ya kutuma pesa unaletewa meseji na Airtel kwamba hela imeenda na unaona kabisa...
  5. x - mas

    Sioni vifurushi vya usiku katika menyu za mitandao ya simu, au navyo ndiyo kwaheri?

    Habari zenu wanajukwa. Naomba kujua vile virushi vya kuanzia saa sita usiku vilikuwa vinalundo la dakika, sms na mb havipo tangu bei za vifurushi kupanda? kama vipo vinapatikana kwa menyu zipi kwa mtandoa wako unaotumia.
  6. J

    CAG aongea na waandishi wa habari - Aprili 8, 2021

    CAG Kicheere anaongea na waandishi wa habari muda huu. Updates; ======== CAG: NILIBAINI WAKALA NNE ZA SERIKALI ZILIKUWA ZINADAIWA BILIONI 783.39 TANROADS ilikuwa na deni kubwa lenye thamani ya bilioni 770.1 kutoka kwa wakandarasi na wahandisi washauri kutokana na kuchelewa kupata fedha za...
  7. YonDu Udonta

    Kuna nini kinafanyika kwenye huduma za kifedha za mitandao ya simu?

    Jana nilitaka kufanya muamala kutoka M-PESA kwenda Tigo Pesa ikawa inakataa, mpaka hapo asubuhi ya leo nilipoamua kuwapiga. wakasema wanatengeneza! Hayaa, nimeingia leo kuperuzi Facebook nimekutana na tangazo la Tigo nao TIGO PESA yao haipo hewani. Nimeingia JF nakutana na TTCL nao na huduma...
  8. M

    Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

    Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana. Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo...
  9. R

    Mitandao ya simu bado wamegoma kurudisha vifurushi vya zamani, DG TCRA nadhani nawe hapo hapakutoshi, ukimzingua atakuzingua

    Lilitoka Tangazo TCRA kuwa warudishe vifurushi vya zamani wakati wanapitia upya new rates. Wamegoma kwa viburi na DG hajafanya lolote. Jana Rais kampa angalizo juu ya "uchafu" uliopo TCRA. Naona bado DG amelala, haamini kama kuna uchafu katika makampuni ya simu! Wana viburi.
  10. Nyankurungu2020

    Tanzania imegeuka kuwa Taifa linaloshauriwa na watumiaji wa Mitandao?

    Ni kweli tupo kwenye ulimwengu wa kidigital, hivyo huwezi kuwakwepa watumiaji wa mitandao. Maana mitandao kama JF huku watu wanatiririka ukweli tofauti na kwenye magazeti. Lakini hii sio sababu ya kusema kuwa serikali iwe na watumishi amabo inawalipa mishahara alafu hawajui masuala ya...
  11. Stroke

    Nashauri Rais awekwe mbali au apunguziwe access na mitandao ya kijamii

    Kwa mtazamo wangu ili kumuwezesha kufanya maamuzi akiwa na fikra huru wampunguzie access au kumuweka mbali na mitandao ya kijamii. Lisipofanyika hilo utendaji wake utaathirika pakubwa kwani maamuzi yake yanaweza athiriwa na opinions za watu ambazo kwa namna moja au nyingine zinaweza zisiwe...
  12. polokwane

    Nilichojifunza, mitandao ndiyo iliyobeba Watanzania wenye uelewa wa mambo. Huko vijijini na watu wa chini ni rahisi kuwahadaa kwa vitu vidogo

    Na hiyo ndiyo mbinu aliyo kuwa akiitumia Magufuli. Alitumia sana Watanzania wa chini na wenye uelewa mdogo kujipatia umaarufu huku maswala ya kitaalamu yakienda kombo. Aliwadanganya sana kwa mengi na walimuamini sana kama Kinjeketile Ngwale wao na walidanganyika kwa sababu walio wengi hawakuwa...
  13. lushalila

    Jinsi ya kupata uwakala wa mitandao ya simu

    Mwenye idea naomba anifahamishe jinsi ya kupata line za uwakala wa simu za mikononi kama vile Tigo pesa, M-Pesa nk. Nisaidieni ------------------
  14. Mshana Jr

    Tanzania ya mitandaoni

    *1.Tanzania; Una mgonjwa mahututi ndani lakini unamuacha ili uwahi mazishi ya mtu aliekufa ambae hata sio ndugu yako!* *2. Tanzania; Mgeni akija nyumbani anakula vyakula vizuri kuliko familia yako na anatumia vyombo vizuri kuliko familia yako.* *3. Tanzania; Ukiugua Ukaomba michango utibiwe...
  15. Mr. MTUI

    Customer Care mitandao ya simu mnatusikilizia matangazo nusu saa nzima

    Mna Mambo ya ajabu Sana. Yaani mtu akipiga simu atawekewa matangazo mpaka atajuta na kukimbia mwenyewe. Najiuliza lengo la mtu kiwapigia simu ninl kusikiliza matangazo au kuelezea hitaji lake. Coz wakati mwingine mtu anahitaji huduma ya haraka, huemda amekosea namba or something. Sasa...
Back
Top Bottom