mitandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hismastersvoice

    TCRA imewashindwa matapeli wa mitandao imewageukia raia wema!

    Tarehe 06/11/2019 nilisajiri laini yangu ya AIRTEL na kupewa namba ya usajiri, tarehe 19/07/2021 laini yangu ya AIRTEL ikafungwa kwa madai ya kutosajiriwa! Nikalazimika kwenda kwenye ofisi za AIRTEL na nilichoambiwa huko ni maluweluwe eti siku mbili zilizopita nilisajiri laini kwa alama za...
  2. M

    SoC01 Mitandao ya kijamii kichocheo kipya cha Demokrasia

    Kwenye dunia ambayo demokrasia imeshuka sana katika asilimia 70 ya nchi 167 zilizofanyiwa utafiti duniani, kwa mujibu wa The Economist Intelligence’s Unit Democracy Index 2020 tangu kushuka huko kuanze kuonekana mwaka 2006, tunategemea sana mitandao ya kijamii kuhuisha demokrasia kwa sababu ni...
  3. BENEDICT ISEME

    SoC01 Jinsi ya kuanza kujiajiri kwa kutumia internet na mitandao ya kijamii

    Internet ni mfumo wa dunia wa kielektroniki unaounganisha kompyuta na vifaa vyengine vya kielektroniki vinavyokubali mfumo huo. Mitandao ya kijamii ni teknolojia inayohusisha kompyuta ambayo hurahisisha kugawana na kusambaza mawazo na taarifa mbalimbali katika kujenga mtandao na jamii halisi...
  4. Ritz

    Kama kweli tuna uchungu na CHADEMA tuache kuandamana kweye mitandao tuwe mfano

    Wanaukumbi. Wafuasi wa Chadema popote pale walipo tuache kutoa matamko kwenye mitandao huku tumejificha mara makongamano ya online kila mmoja yupo chumbani kwake. Tuingie uwanja wa mapambano bila sisi wafuasi wa Chadema kufanya hivyo hamna wakutufanyia. Yaani Chadema wanatafuta chambo kwenye...
  5. Z

    Mitandao ya simu kazi yake ni mawasiliano, si kutoa huduma za kibenki

    Kimsingi jukumu la msingi la mitandao ya simu ni kutoa huduma ya mawasiliano kwa wateja wake na sio kutoa huduma za kibenki. Kimsingi huduma za kibeki, yaani kutuma na kupokea fedha ni jukumu la Mabenki lakini mitandao ya simu imejiongeza tu na kutumia teknolojia ya mawasiliano lakini Mabenki...
  6. N

    Mabenki na taasisi za fedha, badilisheni mfumo wa marejesho kutumwa kwenye akaunti zetu kupitia mitandao

    Kumekuwa na taratibu za taasisi zinazotoa mikopo kuwapa wakopaji control number ya kufanyia marejesho. Kutokana na makato yalivyopandishwa ni vyena sasa mkatoa akaunti zetu ili mkopaji akalipie bank moja kwa moja ili kumpunguzia gharama na mzigo mzito wa makato.
  7. Joshua Deus

    Makato miamala ya fedha mitandao simu yazua vilio

    Na Joshua Deus Wahenga wanasema usipo Jenga ufa uatajenga ukuta,sekta ya Mawasiliano ni moja wapo ya sekta ambazo zinaingiza Pato la taifa nchini,Tanzania ili kukuza Pato la taifa inahitaji jitihada kubwa. Miongoni ni changamoto ambazo Zina changia kuporomoka kwa sekta ya Mawasiliano...
  8. DR Mambo Jambo

    SoC01 Kupanda kwa Bei za Miamala ya Mitandao ya Simu ni "BANK ECONOMIC STRATEGIES"

    Nawasalimia kwa Jina La JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Kabla ya yote mimi si Mjuzi sana wa mambo ya Uchumi au siasa ya uchumi ila kwa kuwa nimepata ushauri kwa wasomi wa uchumi na mambo haya ya siasa ya uchumi ningependa niwamegee kidogo kuhusu mambo nikiyoelekezwa kuhusu Trending marks...
  9. N

    Wamiliki wa Mitandao ya Simu wamechonganisha wananchi na Viongozi wetu

    Nilivyoona tu eti wanaonesha kabisa kwamba amount hii ni gharama zao na amount hii hapa ni kodi ya Serikali basi nikajua huo ni uchochezi. Hawa watu walipaswa kufanya kama awali kuwa inakata tu gharama ya kutuma muamala bila kuonesha ipi ni kodi na ipi ni ya kwao wamiliki mtandao. Mbona - kwa...
  10. P

    SPIKA; Kwa mara ya kwanza bajeti kupita bila kupingwa. Wananchi kwa mara yakwanza wanaandamana kwenye mitandao kukupinga

    Kelele ni nyingi kuhusu kodi za mafuta na tozo za matumizi ya simu. Mwananchi analalamika. Mbunge anaipongeza kwa asilimia 100%. Je mbunge anamsimamia mwananchi aumie nakumsifu serikali amuumize mwananchi? Bado miaka 4 tuendelee kwenye mitandao kulalamika? Au Kijiji/kata umwite mbunge eneo...
  11. M

    Rais Samia haupigi mwingi tena, kuna dalili za kutosha kuwa Uchumi utamuelemea

    Zipo kila dalili kuwa hali ya uchumi kwenye utawala huu wa Rais Samia unaenda kuwa fyongo! Hali hii itaenda kuyafanya maisha ya wananchi kuwa magumu sana. Nimeangalia kwa mfano viwango vipya vya tozo za miamala ya kutuma fedha na kutoa fedha kupitia mitandao ya simu, Gharama zake zimeongezeka...
  12. K

    Hakuna taifa linaloweza endelea kwa kuongeza tozo bali kwa kuchochea uzalishaji

    Hili jambo limetufika wote na linatuathiri sote hawa watu wamedhamiria kutufanya tuzidi kuwa masikini huku wao wakineema. Dunia nzima Hakuna tozo kama hizi,tupeana maujuzi zaidi jinsi ya kukwepa dhuluma hizi tutumie nini sasa kufikisha pesa tutumie uber, bodaboda, parcel,mtu,konda, haingilii...
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Mitandao ya simu huongeza t kwenye huduma za kifedha karibu kila mwaka. Je, serikali nayo itaongeza tozo kwa wanachi ili kuendana na kasi ya mitandao?

    Wakuu natumaini kuwa hamjambo! Napenda kuuliza hili swali langu dogo; Kwakuwa mitandao ya simu huongeza tozo mara kwa mara kulingana na sababu mbalimbali ikiwemo kuongezeka kwa gharama za uendeshaji. Je, serikali nayo itaongeza tozo kwa wananchi kama watakavyofanya mitandao ya simu au itabaki...
  14. ze farmer

    Mbinu za kukwepa gharama za mitandao

    Binafsi. Natumia mbinu zifuatazo: 1. Sipigi simu ovyo unless kuwe na ishu ya msingi 2. Situmi hela kabisa kwa mitandao pia itokee dharura sana 3. Luku sijui nini naenda kununua physically kwa wakala 4. Hi mambo ya simu banking nimetoa kabisa 5. Nikitaka 50,000 natoka 400,000 mpunga naweka home...
  15. chakii

    Je, Serikali imeamua kugawana 50/50 tozo za simu na Wamiliki wa mitandao?

    Kutoa 100,000 ilikua 3600 sasa hivi 6,100 Kutoa 200,000 ilikua 5300 sasa hivi 8,240 Kutoa 300,000 ilikua 6500 sasa hivi 10,000 Kutoa 400000 ilikua 7000 sasa hivi 11,100 Kutoa 500,000 ilikua 7500 sasa hivi 12,700 Kutoa 600,000 ilikua 8000 sasa hivi 13,900 Kutoa 700,000 ilikua 8000 sasa...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Utafiti usio rasmi kuhusu mitandao ya kijamii na watumiaji wake

    UTAFITI USIORASMI; KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII NA WATUMIAJI WAKE TANZANIA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Leo nitaleta kautafiti kadogo nililokafanya ambako sio rasmi. Mitandao ya kijamii Kwa hapa Nchini ambayo ni Maarufu ni Facebook, Instagram, WhatsApp, Jamii forum, Twitter's, Tiktok, ambayo hii...
  17. Sam Gidori

    Ongezeko la Watumiaji wa Mitandao ya Kijamii Tanzania ni fursa kibiashara

    Mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo muhimu ya biashara katika karne ya 21 hasa kutokana na urahisi wa kufanya biashara na kuongezeka kwa fursa ukilinganisha na biashara nje ya mitandao. Zaidi ya nusu ya watu bilioni 7.8 duniani wanatumia mtandao wa intaneti, ambapo kwa jicho la kibiashara, hiyo...
  18. Kitimoto

    Matapeli kwenye mitandao ya simu

    Hii thread ni maalum kwa ajili ya kuanika namba za simu za wanaotapeli kupitia huduma za fedha kwenye mitandao ya simu, naamini TCRA watakuwa wanapitia huu uzi, wangekuwa na Akaunti hapa JF kama Taasisi zingine ingekuwa vema. 0672388589 hii ni mojawapo ya namba inayotapeli, alinipigia simu...
  19. L

    Usimamizi na matumizi bora ya mitandao ya kijamii vitaleta manufaa zaidi kwa jamii

    Wakati dunia inaadhimisha siku ya mitandao ya kijamii, kumekuwa na maswali mengi kuhusu matumizi na matokeo yake kwa jamii. Kuna wanaoona mitandao ya kijamii imekuwa na manufaa sekta nyingi kama habari, biashara, sanaa na fedha, kuna wengine wanaona kuwa imeleta janga na changamoto nyingi, hasa...
  20. comte

    Mitandao na CHADEMA 0 vs Spika 2 mechi inaendelea

    CHADEMA na wanaharakati wanamdharau na kupuuza ushauri wa Spika. 1. kwenye suala la akina Mh. Mdee kawashauri nini cha kufanya mnampuuuza nao wanaendelea kubaki bungeni GOOAL. 2. kwenye suala la Mh. Lissu kawashauri nini cha kufanya mkampuuza sasa mnaleta oh Lissu analipwa matilioni- kawambia...
Back
Top Bottom