Huang Wei
China imefuta akaunti za mitandao ya kijamii za mhamasishaji maarufu katika sekta ya biashara ya mtandaoni nchini humo.
Huang Wei, anayejulikana kwa jina maarufu la Viya, ni mmoja wa watangazaji maarufu zaidi katika sekta ya biashara ya mtandaoni nchini humo ambayo imekua kwa kasi...
Nadhani Gerson Msigwa anaomba mama afuatilie kuona kama anafaa au amteme. Mambo anayopost Msigwa siyo mambo yakupamba kurasa za watu wa kariba yake. Ukurasa wake wa mtandao wa kijamii unasave purpose yake binafsi na Serikali pia.
Account yake inategemewa kuendelea kuitangaza Nchi, kumbuka...
Hii imetokea Nigeria.
Mlinzi wa bank alipata ujasiri na kumfikia Meneja wa Benki.
Na kwa ujasiri akamwambia kwamba yeye ni mhitimu na angependa kushiriki katika "Aptitude test" kwa nafasi iliyo wazi.
Boss alikuwa mkarimu sana na akamruhusu kushiriki mtihani.
Kwa kuwa, lilikuwa jaribio la...
Humphrey na kundi lake la Wana ccm mtandaoni walikuwa wanapeana posho kusaka wanaomkosoa JP na serikali yake, watu wengi waliokamatwa na kushitakiwa ni kazi ya Humphrey na kikosi kazi chake, na aliomba fungu maalum, Leo walewale aliokuwaa awapelekea majina ndio wanamla
N.B: alitishia ma RPC na...
Kauli ya kusema hana shida na ubunge wao na hagombei ubunge ni kauli ya kizalendo na tungekuwa na Wabunge wa CCM 75% Kama Polepole wangeinyoosha serikali ya CCM mtu mmoja tu kawatoa jasho.
Kwa hiyo wabunge wa CCM badilikeni acheni kulamba nyayo za watawala simamieni ukweli kama Polepole.
Serikali ya Australia imepanga kutunga sheria itakayolazimu mitandao ya kijamii kuonesha utambulisho wa watumiaji wasiotumia majina halisi watakaochapisha maudhui yenye kuudhi, au kulazimu mitandao hiyo kulipa faini kama fidia kwa madhara yatakayotokana na maudhui hayo ikiwa watashindwa kutoa...
SEMINA NA WANAHABARI NA WATU MASHUHURI KATIKA MITANDAO KUHUSU AFUA ZA KINGA YA UVIKO-19 PAMOJA NA CHANJO
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa kushirikiana na Shirika la Amref Health Africa kupitia Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma inawakaribisha wote KESHO JUMAMOSI...
Kukua kwa Teknolojia ya kidigitali pamoja na mlipuko wa ugonjwa wa UVIKO-19 umechangia mabadiliko ya mfumo wa kufanya kazi. Watu wengi wamekuwa wakitumia teknolojia ya TEHAMA na mitandao kama sehemu za kupata taarifa kukuza biashara zao, kufanya kazi na mawasiliano kwa ujumla. Hata hivyo, kwa...
Ni cardinal rule kuwa anayetoa shutuma lazima athibitishe.
Jamhuri ya Tanzania imetoa shutuma kuwa Mbowe na wenzake walipanga njama ili kutekeleza ugaidi. Hili jukumu la kuthibitisha waachiwe Jamhuri ili kuthibisha.
Madai kuwa kuna njama za kuwakandamiza watuhumiwa hazina mashiko maana suala...
Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutumia mitandao ya kijamii kutoa elimu ya usalama barabarani na kushirikiana na vyuo vya usafirishaji kufanya tafiti ili kusaidia kupata suluhu ya kukomesha ajali barabarani.
Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi...
Gwajima Atuma Wafuasi wanitukane What's App FaceBook na Twitter.
Tafadhali Msimtukane. Mkishindwa kabisa kuvumilia Mwiteni BIBLIA WEWE au TENZI ZA ROHONI WEWE.
Au mwekee wimbo huu ausikilize.
MIMI NIMEMUULIZA
Kawe ya Askofu Gwajima mzee wa Connection iko vipi?
Alisema akipata ubunge kawe...
MUHIMU: Tahadhari inabidi zichukuliwe, Wema wako unaweza kuku gharimu! kabla hujachukua uamuzi wa kumrejeshea mtu vitu vyake ni lazima upate taarifa zake (ni mzima?, kapata tukio lipi?, nk) lasivyo unaweza kuingia mtegoni au kuhusishwa na kesi.. kama huna taarifa ni bora utafute njia ya...
Ni kawaida uhuru wa mtu kuingiliwa iwapo inaonekana unahatarisha usalama wa wengine. Lakini ni lazima mahakama ithibitishe kuwa usalama wa wengine upo hatarini.
Vyombo vya dola vikiingilia bila ruhusa ya mahakama, basi ushahidi huo hauwezi kutumika mahakamani na jambo hilo huwa siri yao.
Sasa...
Mtandao wa Donald Trump "Truth Social" unaweza kutengeneza mamilioni au kughafilika!
Umejikita kupeperusha masuala ya kisiasa yenye mashiko moto moto na kumpa rais wa zamani nafasi mpya ya uonevu
Ukweli wa mtandao huu wa Kijamii umejikita kutengeneza pesa. Ajabu, pia unapiga marufuku "matumizi...
Kwa mujibu wa tovuti ya ukusanyaji wa takwimu za mitandao ya kijamii (Statista Aprili, 2019) watu milioni 23 wanatumia intaneti hapa nchini, sawa na takribani asilimia 42 ya Watanzania milioni 55.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaongoza kwa idadi kubwa zaidi wafuasi kwenye mitandao yote ya...
Enyi Mitandao ya simu Tz ebu kueni basi na huruma, hata kama ni shinikizo kutoka serikalini kunyonya tozo vilivyo, Onyesheni basi kutujali sisi wateja wenu
Sio nanyie kuendelea kutubana kwa kuondoa baadhi ya bando, kuongeza bei za bando nk.
Haswa tukiwa tunakimbizana na dunia, kwenda sambamba...
Bandugu kwema?
Kama kichwa cha habari kinavosomeka apo juu, naomba mh Rais aingilie kati suala hili otherwise tutasusia ama kuandamana.
Wamepunguza MB gharama imebakia ileile ya mwanzo, maana yake nini kutukomoa ama ninii!!! Kana vipi na gharama za kununua vifurushi zipungue.
Hii siyo haki...
Msemaji mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa ametoa wito kwa wananchi wote kuwa watulivu wakati serikali inawasiliana na makampuni ya WhatsApp, Facebook na Instagram kuhusu changamoto ya kukosekana kwa huduma ya mawasiliano ya mitandao hiyo.
Huduma za mitandao hiyo zilikwama kwa saa kadhaa tarehe...
Utajiri wa Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg umeanguka kwa wastani wa USD 5.9 B hadi 7 kwenye saa ambazo mitandao ya Facebook, Instagram na Facebook ilipata tatizo la kimtandao, kwa sasa Mark yupo No. 6 kwenye orodha ya Matajiri Duniani akiwa na utajiri wa USD 116. 8 B.
Kampuni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.