Nafikiri kila mtu anatumia hii mitandao na amejionea gharama zinavyopanda kiholela kila siku,chanzo kikubwa kinaweza mitandao hii kumilikiwa na watu wenye ukaribu mno na serikali kiasi kwamba serikali haina maamuzi ya moja kwa moja juu yao,pia serikali nayo inamiliki sehemu ya mitandao...
MITANDAO YA KIJAMII NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA:
Kwa majina naitwa MTANDAO WA KIJAMII napatikana hapa hapa ulipo msomaji kwa msaa 24. Mimi nilikuwepo hapa kabla miaka ya 1993. Kwa umri huu huenda nimekuzidi wewe au umenizidi wewe unayenitumia kwa maslai chanya(faida) au hasi(hasara)..Kwa sifa...
Utangulizi
Moja kati ya nyanja zinazo ongoza kwa kunyonyaji wateja wake (watumiaji) katika nchi yetu pendwa ya Tanzania. Basi huwezi acha zungumzia makampuni ya simu za mawasiliano ya hapa kwetu Tz Zifuatazo ni kelo tunazo kutana nazo watumiaji wa mitandao hii hapa tanzania.
1. Kukosa haki...
Mfano Majina ya Sensa yametoka kila Mkoa na wilaya na Halimashauri zake. lakini ukifungua yanakataa. Wataalamu tunaomba msaada wenu na majibu Yenu kitaalamu.
Katika familia yangu tuko watu 27 wa baba mmoja ila ni mimi pekee ninayetumia mitandao ya kijamii kuanzia FB, WhatsApp, Jamii Forums na kathalika, je kwenu mpo wangapi wa familia moja?
picha kwa hisani ya mtandao(Google)
Nani mnufaika wa machapisho yako?
Unapoweka chapisho mtandaoni Kuna vigezo unaviangalia?, Nani mlengwa mkuu wa machapisho yako? Je, Chapisho lako linalenga umri wa mnufaika/Msomaji au linajikita zaidi katika jinsi mfano (ke/me).
Yote yanaweza kuwa majibu...
Inakuwaje mtu umechukua line ya mtandao fulani ukawa unatumia lakini kuna uwezekano kibinadamu kuna sababu mbalimbali kiuchumi hali ngumu au ukaugua muda mrefu kiasi kwamba huwezi hata kutumia simu kwa maana ya kununua hata vocha. Sasa baada ya siku au miezi kadhaa unaambiwa namba yako amepewa...
Pamoja na kuunganisha watu duniani kote, Mitandao imetoa fursa kwa watu kutengeneza kipato. Siku ya Mitandao ya Kijamii inaadhimishwa kusherehekea mahusiano ambayo watu wamejenga kupitia Mitandao mbalimbali.
Uwepo wa Mitandao ya Kijamii umesaidia upatikanaji wa Taarifa, umetoa fursa kwa sauti...
Niko mkoa wa Singida nauza laini zote tano za uwakala na zimesajiliwa kwa TIN number na leseni ni ya biasharaa ya nyumbani.
Na pia Nina mashine ya CRDB. Kwa atakae itaka labda awe ndani ya Singida ila nje ya singida itabidi awe na connection itakayo msaidia kuihamisha mkoa.
Bei maelewano...
Salaam Wakuu, natumai nyote mpo salama.
Nywila (Pasword) imekuwa ni sehemu muhimu ya ulinzi wa akaunti zetu za mitandao ya kijamii pamoja na vifaa vyetu vya kidijitali. Katika kuendelea kuhakikisha matumizi ya mitandao ya kijamii inakuwa salama, wataalamu wa mitandao wanahimiza kuunda password...
Baadhi ya mitandao (kama sio yote) imekuwa na utaratibu wa kukata pesa kwenye salio la muda wa maongezi pasipo sababu.
Yaani mtu hujajiunga na huduma yoyote lakini unashangaa salio limekatwa.
Hivi wakikata hizo mia mia au mia mbili kwa watu laki 1 si wanapata faida sana? Kwanini wanafanya...
Wanabodi,
Kati ya Taasisi zinazopaswa kufanya kazi kwa weledi mkubwa bila mihemuko ni Jeshi Letu la Polisi.
Kuna baadhi ya issues ambazo jeshi letu la polisi, zinazishughulikia sio issues za kipolisi, ni issues za kijamii na kifamilia.
Kwanza msikilize Kamanda Polisi Huyu
Kisha isome taarifa...
Salaam Wakuu,
Natumai nyote mpo salama.
Mitandao ya kijamii kwa zama zetu hizi imekuwa mtindo wa maisha na nguzo muhimu ambayo inawasaidia watu kupata taarifa, burudani, elimu, furaha, ajira, marafiki, wapenzi n.k. Mitandao hii imekuwa na nguvu kiasi ambacho imeanza kuzingatiwa kama miongoni...
Licha ya ujio wa mitandao ya kijamii kuwa na faida nyingi katika nyanja mbalimbali, ikiwamo ya kiuchumi, ukweli usio na shaka ni kwamba imekuwa na hasara zake lukuki.
Yapo mengi lakini kubwa linaloweza kuonekana kwa urahisi ni lile la baadhi ya watu kukiuka utumizi sahihi wa mitandao hiyo na...
Ripoti mpya ya Robo ya tatu ya Mwaka 2021 iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeonyasha kuwa kumekuwa na panda shuka ya wateja wanaofanya miamala kwa njia ya simu za mkononi.
Aidha, ripoti hiyo ya miezi mitatu kuanzia Julai hadi Septemba 2021 inaonysha kuwa wateja wa M-Pesa...
Salaam,
Shirika la ndege Tanzania, ATCL watolea ufafanuzi kuhusu hali ya tairi ya ndege iliyosambaa Katika Mitandao ya Kijamii ambayo inaonesha tairi iliyoisha.
UFAFANUZI KUHUSU HALI YA TAIRI LA NDEGE YA KAMPUNI YA NDEGE TANZANIA (ATCL) ILIYOSAMBAA KATIKA MITANDAO YA JAMii
ATCL inapenda...
Mie nachukia sana hizi msg mara sijui kuna offer gani mara sijui bet ganj mara sijui shinda nini mara sijui simubima sijui mara sijui chagua mwito sijui unapigiwa simu imesimama kwa daladala mara sijui simu bima sijui nachukiaga sasa nikawaza hivi kina moo au GSM au ssb au boss unga azania au...
Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako kwa wateja wako? Kama jibu ni sawa basi nipo kwa ajili ya hilo na utafurahia huduma
Wasiliana nami...
Lugha hutoa fursa nyingi sana za utumiaji wa vipawa vyetu kama binadamu...
Lugha huakisi akili wa yaliyomo katika bongo, fikra na hisia zetu kama biandamu...
Badala ya kila mara kuweka mawazo yetu katika maneno yetu wenyewe, mara nyingi sisi huwasilisha hisia zetu kupitia maneno ya wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.