Mitandao ya kijamii imekuwa majukwaa muhimu ya mawasiliano na hata kuchangia katika mtindo mpya wa mawasiliano ya moja kwa moja kati ya viongozi wa Afrika na raia wao.
Kote barani, Marais na viongozi wakuu wa serikali nao pia wamepata mamilioni ya wafuasi baada ya kuingia kwenye majukwaa ya...