Marais wa Afrika wenye wafuasi wengi zaidi kwenye mitandao ya Facebook na X

Marais wa Afrika wenye wafuasi wengi zaidi kwenye mitandao ya Facebook na X

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mitandao ya kijamii imekuwa majukwaa muhimu ya mawasiliano na hata kuchangia katika mtindo mpya wa mawasiliano ya moja kwa moja kati ya viongozi wa Afrika na raia wao.

Kote barani, Marais na viongozi wakuu wa serikali nao pia wamepata mamilioni ya wafuasi baada ya kuingia kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii kama vile wasanii, wanamichezo na watu wengine mashuhuri.

Hawa hapa ni baadhi ya viongozi wa nchi za Afrika wenye wafuasi wengi zaidi kwenye mitandao ya Facebook na X.
1764066032525.jpeg
Chanzo: TRT
 
Back
Top Bottom