Huu utafiti umetokana na mada za ubunifu nilizopost mwezi uliopita kwenye majukwaa mbalimbali
Malighafi zitokanazo na miti na mazao yake zimejitokeza karibia kila mahali
Hapa Nita post bunifu mpya Kali na nzuri zitokanazo na hiyo miti na bidhaa zake
Jengo la Shule ya Msingi Nsololo lililoezuliwa paa limetelekezwa Walimu wanakaa chini ya miti
Nimefika Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora, kuna jambo limenisikitisha na baada ya kuwauliza Wenyeji, nguvu ndio zimeniisha kabisa.
Nimeambiwa huu sasa ni mwezi wa pili na nusu kuna jengo la Walimu katika...
Huu si ubunifu wala usanifu wa kubahatisha wala kukurupuka.. Kila mkono uliogusa mojawapo wa hizi kazi akili yake ilikuwa imetulia na roho ni nyeupe...
Huwezi kufanya hizi kazi kwa ufanisi huu kama rohoni mwako na kichwani mwako umejawa na stress za kila aina ... Na hata kununua pia😀
Hivi vigoda/stuli ni very special. Hakuna msumari hata mmoja uliotumika na bei yake ni kichaa.. Na wengi huvitumia kama urembo na si matumizi halisi ya kukalia.. Hivi havipigwi polishi bali hupakwa Silla
This is Africa and its traditions
Miti ifuatayo sio mizuri sana kuipanda nyumbani kwako
1: Muembe
2: Mbaazi
3: Muashoki
4: Mpanga Uzazi
5: Mbuyu
Utakaribisha viumbe wa Ajabu Usiku ukiendekeza miti ya aina hio
Hio miti inapendwa na wachawi, Majini na mapepo ya Kila aina.
Chukua tahadhari...
Wanasema sanaa ni kila kitu hasa ukiwa msanii wa sanaa.. .. Sio usanii wa wizi na udanganyifu lakini
Leo tunaangazia kwenye sanaa ya majani ya miti.. Unaweza kuona ni kwa kiasi gani tukiwekeza kwenye ubunifu na sanaa tutatatua tatizo la ajira kwa kiwango gani... Wahitimu wengi watapata ajira na...
Habari za wakati huu ndugu zangu najua wengi mmesikia kuhusu kilimo cha miti ya mitiki hekari moja inaweza kukuingizia zaidi ya milion 300 kwa hekari moja kwa miti iliyokomaa.
sasa basi lipo shamba lenye hekari 6 lenye miti zaidi ya 1700
lililopo tanga korogwe lenye miti ya miaka 12 mpka 14...
Wizara ya miundo mbinu , kupitia TARURA , Tunaomba msaada Barabara hii muiangalie , kwanza hatarishi na madimbwi yamekua makubwa ,mazalia ya mbu na kila uchafu. Mkandarasi alianza kazi, mwisho wa siku akatoa kifusi, hajarudisha na hakuna kinachoendelea.
Tunaomba TARURA, waje waiangalie na...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuripoti juu ya kutelekezwa kwa Mradi wa upandaji miti eneo la Bwawa la Milala, Manispaa ya Mpanda unapojengwa mradi mkubwa wa maji wa Miji 28, Serikali imechukua hatua ya kupanda miti mtingine.
Awali, Mwanachama huyo alisema kulikuwa na Kampeni ya...
Kuna mashamba matatu ya miti ya Mbao jamii ya pines ( pinus patulla), miti ina umri wa miaka 12 na 13. Miti hii iko kijiji cha Chogo Mufindi, ni 100km toka Mafinga kwa njia ya Ibwanzi, au 120km toka Iringa/Mafinga. Bei ya kila eka moja ni Tsh 1,200,000/. Mashamba yanafikika kirahisi.
Shamba la...
Jana tarehe 17/12/2024 nilipanda miti minne mtaa wa Mwenge Kijijini.
Nimepanda jumla ya miti minne, mmoja mbele ya ilipokuwa shule ya Mwenge Open Academy (MOA), na mingine mitatu nimepanda mbele ya Kebby's Hotel.
NI utamaduni wangu wa kupanda miti kandokando ya barabara ili kuwafanya waendao...
Mzee Makosa amesema milioni 10 alizopewa na Diamond atazitumia kupandia miti kwa ajili ya jamii.
Soma, Pia: Diamond Platinumz ampa milioni 10 Mzee Makosa, aliyekuwa tajiri mkubwa Iringa na kufilisika
Unaonaje mpango huu wa Mzee Makosa?
unakuta shule nzuri inajengwa inaelekea kukamilika katika halmshauri fulani lakini miti haijapandwa inasubiri mpaka ajage mwalimu mpenda miti au mwanafunzi mpenda bustani aaanzishe miche so inachukua miaka mingi..
Wakati kulikuwa na uwezekano kipindi ujenzi unaanza palepale inapandwa ya matunda...
Tunatoa huduma ya kusafisha eneo la ujenzi (kwa kukata miti katika eneo husika) kwa kutumia mashine.
Tunapatikana mbezi louis na tunafanya kazi popote ndani na nje ya Dar es Salaam.
Bei zetu ni nafuu sana
Mawasiliano: 0758700852/0694340728
Nimefanikiwa kupata ardhi yenye ukubwa wa ekari 200. Ni eneo ambalo bado ni pori. Huenda halijawahi kulimwa tokea liwepo, pengine.
Kwa kuwa ni eneo kubwa, ninakusudia kulifanyia kazi taratibu, kwa kadiri nitakavyokuwa nikipata nguvu (kifedha).
Kwa kuwa eneo lina miti mingi, nitafanya utaratibu...
Na MWANDISHI WETU, IGUNGA
WAZIRI wa Kilimo Mhe. Husein Bashe (Mb) amemtumia salamu Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuwa awe na shukrani kwa serikali achezee sekta nyingine sio kilimo ambayo ni tegemeo kwa Taifa.
Amesema chokochoko za uongo za mbunge huyo zinapogusa sekta ya kilimo hawezi...
bashe vs mpina
forum
hela
hii
huduma
husein bashe
jamii
jamii forum
jibu
kwani
luhaga mpina
miti
mpina
mpina vs bunge la tanzania
serikali
tuhuma
waziri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.