Kwenye miti hakuna wajenzi nadhani umesikia huu msemo mara kadhaa,Kwa tafsiri ya kimsingi ni kuwa, kuna namna saa zingine kunakuwa na nyenzo pasi uwezo.
Msemo huu hudhaniwa pia kuwa ni kitu kisichozuilika kama vile upele ambavyo haumpati mwenye kucha.
Lakini ikumbukwe kucha huota wakati...
India ni moja ya mataifa yanayo amini sana kwenye Tiba asilia na ndio sababu wana idadi kubwa sana ya dawa za asili. Kampuni kama Himalaya ina dawa nyingi sana za asili za magonjwa tofauti tofauti.
Kwa Dawa za Himalaya welness kama kuna dawa ya asili ya ugonjwa wowote unaitafuta kwa nuda...
Hivi hizi kampeni za upandaji miti huwa ni usanii au kitu gani? Maana unakuta baada ya zoez Hilo hakuna mwendelezo Wala ufuatiliaji. Korea/Seoul miti kila pahala. Sisi yupo bize na kukopwa tu
Kuna nchi ninayotamani kuona ikijengeka, tena kwa kasi. Hii ni Tanzania iliyosheheni miti, misitu na uoto mwingine. Ili kuipata nchi ya aina hii, tunapaswa kutengeneza mikakati madhubuti, na kuisimamia ipasavyo.
Kama nchi nyingine, Tanzania imeshuhudia changamoto kubwa ya mabadiliko ya tabia...
Ninaiomba Wizara ya Muungano na Mazingira ije na mpango madhubuti kabisa wa kupanda miti millioni 50 katika kipindi hiki cha mvua. Uhamasishaji ufanywe kuanzia uongozi wa Kaya, Mashule, Mitaa/Vijiji, Kata, Tarafa, Wilaya , Mikoa mpaka Taifa. Mpango huu usimamiwe kikamilifu na Waziri mwenye...
Upandaji miti umekuwa suala la kutumia nguvu sana kwa sababu ya umuhimu wake mkubwa katika kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi na kuhifadhi mazingira. Hata hivyo, licha ya ufahamu wa umuhimu wa upandaji miti, jitihada zimekuwa za hiari au za kujitolea tu badala ya kuwa na sheria madhubuti...
Jf salaam
Huwa nashangaa sana mtu kuanza kuinadi hii miti ya kisasa akiiponda ya kienyeji (asili).
Ukweli ni kwamba miti ya matunda ya asili inazaa sana iwapo itatunzwa kidogo tu!
Na daima ni mitamu sana na mivumilivu mno katika Hali zote!
Hii yenu hii iliyoibuka hata nusu haiwezi fikia...
Serikali Kupitia (TAFORI) Ipo Tayari Kupokea Ushauri wa Tafiti za Miti ya Mikaratusi Ili Kupunguza Athari za Mazingira
"Kuna zaidi ya Species 500 za Miti ya Mikaratusi Duniani, Tanzania kupitia Taasisi ya Utafiti Misitu Nchini (TAFORI) imeruhusu aina 25 za Miti ya Mkaratusi ili kupata fursa...
Niko mwanza napenda kupanda miti.
Tupeane Location na hii bidhaa ya miti
1.Miche ya Bure✅
2.Miche ya ofa✅
3.Miche ya hela⚠️✅
Nimeanza na mti mmoja wa maembe.
Mwenze miche anipee basi nikapande
Kama unajijua huna madeal ya million 50 huko na unajinyima kisa tu ujenge nyumba kali kama unazoziona za wengine za million 200 eti udundulize kila hela unayopata unakuwa Mpaka mchoyo kila pesa unaielekeza kwenye mjumba. Huku bado unaishi maisha ya shida ukiendelea kujisifu nyumba imekukula...
Habari wakuu,
Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi.
Kwa aliyekuwa anahitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha parachichi, sasa jibu limepatikana. Kuna shamba la ekari 60 Mufindi linauzwa kwa bei nzuri. Shamba halijatumika kwa miaka mingi, kwa hiyo lina rutuba na linafaa kwa kilimo cha parachichi na...
Nina shamba la ekari 21 mkoani Kigoma. Mwezi uliopita, nilimwachia mtu mmoja jukumu la kupanda miti kuzunguka mpaka wa shamba.
Nilipokuja kulikagua hivi karibuni, nilikuta kaotesha tofauti na nilivyomwelekeza. Kakata eneo la ekari tatu na kufanya shamba la miti.
Sikumgombeza. Wala...
Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana.
Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa.
La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10.
La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana
Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa
La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10.
La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
SIKU YA MISITU DUNIANI (THE INTERNATIONAL DAY OF FORESTS) - MUSOMA VIJIJINI WAISHEREHEKEA KWA KUPANDA MITI MASHULENI
Leo (21.3.2024) ni siku ya Umoja wa Mataifa (UN) ya kukumbushana umuhimu wa misitu ya aina zote.
UN ilipitisha azimio la siku hii (tarehe 21 Machi ya kila mwaka) kwenye Mkutano...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) leo Machi 20, 2024 amekagua mabanda ya Maonesho yatakayotumika katika Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa yanayotarajiwa kufanyika Machi 21 ambapo Mgeni Rasmi katika Kilele hicho anatarajiwa kuwa Makamu...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kupanda miti na kugawa mashuka katika Wilaya ya Mvomero.
Siku ya Wanawake duniani huadhimishwa Machi 08 ya kila mwaka. Malengo ya maadhimisho haya ya Siku ya Wanawake duniani...
Poleni na majukumu wana fj, Ninashamba ekali 3 za hiyo miti ina umri wa mika 11 natafuta wateja wa bidhaaa hiyo shamba lipo maeneo ya mbeya kiwila kilometer 20 kutoka kiwila idadi ya miti ni zaidi ya miti 1000 karibuni wote wenye uitaji kwa mawasiliano nipigie namba 0629097093
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.