miti

  1. TechTino

    Plot4Sale Shamba linauzwa hekari 5 lipo Kerege Bagamoyo 5km kutoka barabara Dar – Bagamoyo lina miti ya mitiki

    LINA MITI YA MITIKI
  2. MR.NOMA

    Jamaa amemkumbatia mke wa Mjeda na kumbusu, kuja kutahamaki kumbe Mwenye Mke alikuwa pembeni ya fensi na panga lake akifyeka miti!

    Wakuu habari za Leo! This is true story. Imetokea hivi karibuni hapa jijini Dar, Kuna jirani yangu amenisimulia nimshauri afanyaje maana, hivi karibuni akiwa anaingia kupata Moja moto moja baridi kwenye glossary ya jirani yetu mwingine ambaye ni Mjeda na amemfungulia glossary mke wake hapohapo...
  3. sky soldier

    Kupiga & kugombeza watoto kwasababu ya uwezo shuleni ni ujinga

    A. KUPIGA & KUGOMBEZA WATOTO KWASABABU YA UWEZO SHULENI NI UJINGA Unakuta mtoto kila siku anaenda shuleni, anahudhuria kila kipindi, anafanya home work, n.k. ya nini kumchapa au kumgombeza huyu pale anaposhika namba za kawaida au chini darasani. nimesema namba kwasababu ndicho kigezo ambacho...
  4. H

    Serikali kuachia gesi kupanda bei namna hii maana yake imeruhusu miti ikatwe maporini mpaka ichakae.

    Juzi tarehe 9 december uhuru day nimetoka nyumbani kwa uhuru na mtungi wangu wa gesi kwenda dukani kubadilisha au kujaza sijui wanavoita wenyewe nimepokewa na mdada ambaye siku zote namkuta hapo baada ya salamu akaniambia kuwa "gesi imepanda'. 'Leo nakuuzia kwa bei ya zamani ukija next time...
  5. Sky Eclat

    Utaratibu wa kujengea makaburi zamani walimudu wachache wengi waliweka alama za miti kwenye makaburi ya wapendwa wao

    Miaka ya hivi karibuni imekua ni wajibu kujengea kaburi. Mpaka miaka ya 60, si wengi walimudu gharama za kujengea kaburi. Baada ya mazishi mlisubiri mvua na kupanda tawi au shina la mti pale kwenye kaburi. Mvua zikikatika mti unakua umeshaota na kushika. Hii ndiyo alama ya kukumbuka kaburi...
  6. K

    Nape Nnauye: Takribani miti milioni 3.5 ilikatwa kupisha ujenzi wa Umeme JNHP (Stieglers)

    Nimemuona Mhe. Nape akichangia hoja yake kwenye Bunge letu la Jamhuri ya Tanzania kuwa kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa Mwalimu Nyerere kunahitajika kukatwa miti takriban 4.3. Akazidi kuelezea kuwa eneo linalotakiwa kukatwa miti hiyo ni sawa na eneo lote la Dar es Salaam au eneo lote la...
  7. Determinantor

    Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?

    Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi millioni mbili tulimuomba Mungu? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti? Haya mlipanda miti mingapi? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua, you guys! Mko Sawa kweli? Tusimdhibaki Mungu ana kazi za msingi sana kuliko hii, yaani tukate miti kwa mbwembwe...
  8. M

    Ligi kuu Tanzania Bara: Waliotangulia na baiskeli ya miti wanajifahamu, hata mwaka jana ilikuwa hivyo hivyo!!

    Hata mwaka jana walitangulia na baiskeli ya mbao na hawakufika popote!! Wakisikia gari kubwa huko nyuma linapiga lesi kiwewe tayari!!! Hiyo mliyosikia kilichompata Namungo ni lesi tu!!! Gari kubwa karibu lishaanza kuchanganya na hakuna namna ni suala la muda tu baiskeli ya miti lazima ipishe...
  9. Mparee2

    Mkongo wa Taifa (Intaneti) uwafikie wananchi

    Natamani kusikia kuwa Serikali inaweka utaratibu ambao mtu binafsi anaweza kuunganishiwa Internet NYUMBANI KWAKE kutoka mkongo wa taifa na kulipia kila mwezi. Na maanisha kuwe na package tofauti tofauti za kila mwezi kulingana na matumizi (speed) watu wachague. Gharama za kuunganishiwa...
  10. beth

    COP 26: Mataifa zaidi ya 100 yaahidi kukomesha ukataji miti ifikapo 2030

    Zaidi ya Viongozi 100 wa Dunia waahidi kukomesha ukataji miti ifikapo mwaka 2030, ikiwa ni makubaliano makubwa ya kwanza kwenye Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabianchi Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, ambaye ni Mwenyeji wa Mkutano ametaja Makubaliano...
  11. lee Vladimir cleef

    Najaribu kufikiri jinsi magaidi wanne wa Mbowe wangewezaje kukata Miti Dar - Iringa

    Kwa sababu ni makomandoo huenda wangeweza. Nakuuliza hivi, Wangetumia mapanga ya kawaida au mapanga maalumu? Au wangetumia mashine za kukatia miti? Je, Mabwana misitu wangewaacha tu? Au wangekuwa wanakata huku wamevalia mavazi ya mabakamabaka kw a hiyo mabwanaisitu wangewaogopa? Je, Wangekua...
  12. Lord denning

    Rais Samia wape meno TFS, anzisha kampeni ya upandaji na utunzaji Miti Tanzania nzima. Iongozwe na vijana wa kujitolea JKT

    Nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mama! Kwanza nikupongeze kwa Mafanikio makubwa yanayoonekana kwenye suala la kuwahamisha Machinga na kuwapeleka maeneo rasmi. Na furaha nchi sasa imeanza kupendeza hasa majiji yetu! Nimepita Posta mpya leo na Kweli nimeiona Posta niliyoijua...
  13. Sky Eclat

    Ukiona hii miti unafikiria nini mawazo mwako?

  14. JituMirabaMinne

    Usipendelee kupaki gari chini ya miti mathalani gari za Mzungu

    Huu uzi nmebase kwenye gari zote ambazo ECU (Control box) ipo upande wa engine ambapo zaidi ya asilimia 90 ya gari za Ulaya na Marekani zinaingia hapo. Ingawa zipo gari nyingi tu za Asia ambazo control box imefungwa upande wa engine mfano kuna nissan moja nimesahau tu model yake ila ina engine...
  15. Kurunzi

    Wagonjwa wadaiwa kusafirishwa kwa Machela za Miti Njombe

    Katika kijiji cha Kitewele Wilaya ya Ludewa Mkoa wa Njombe hali sio hali, kwani hakuna huduma ya za afya karibu, Wananchi wanalazimika kutembea zaidi ya km 30 kufuata huduma katika kituo cha afya. Pamoja na kukosekana huduma ya kitutua cha afya barabara katika kijiji hicho hazipitiki iwe kwa...
  16. Tough lady

    Miti ipi inakua haraka na inafaa kwa fence? (iwe miti ya kwenda juu sio ya kutambaa

    Wadau nahitaji kupanda miti kuzunguka eneo langu inayolua haraka, Nahitaji miti inayokwenda juu mfano Miashoki (isiwe ya kitambaa na kuhitaji pruning ya mara kwa mara). Nimewaza kununia mihashoki lakini sijui kama inawahi sana kurefuka. Hivo naomba kama kuna mtu ana experiencena speed ya ukuaji...
  17. Tough lady

    Miti ipi inakua haraka inafaa kwa fensi?

    Wadau nahitaji kupanda miti kuzunguka eneo langu, Nahitaji miti inayokwenda juu mfano Miashoki (isiwe ya kitambaa na kuhitaji pruning ya mara kwa mara). Nimewaza kununia mihashoki lakini sijui kama inawahi sana kurefuka. Hivo naomba kama kuna mtu ana experience na speed ya ukuaji wa miashoki...
  18. Kasomi

    Kila Mtu Duniani ana Miti 400

    KILA MTU DUNIANI ANA MITI 400 Unashangaa? Unajiuliza hiyo miti iko wap? Ni hivi hadi 2020 dunia ilikuwa na miti trillion 3.04 Kwani ukiigawa kwa watu billion 7 inamaana kila mtu ana Uhakika wa kupata miti 400 Kama ulikuwa hujui ni hivi dunia Nzima ina ukubwa wa eneo...
  19. thebosskissima

    Siku isiyo ya kufa nyani wala miti haitelezi

    Siku moja nilituma text kwa njia ya kawaida nilikuwa namtumia mshkaji wangu wa kike. Msg ilikuwa mbaya yaani kiufupi haikuwa na heshima. Bahati mbaya sana ile text ilienda kwa Wife na si unajua kwenye text kawaida hakuna "Delete for everyone" [emoji3] Basi bhana baada ya kuona tu kuwa nimesha...
  20. N

    Staili ya Mwigulu ya kuchora majina yake kwenye mawe na miti kutumika na CHADEMA kumtetea Mbowe

    Kumekuwa na mkakati mkali wa BAVICHA na BAWACHA kupata fedha na kuwalipa vijana wa vijiweni mikoa yote ili waandike maneno MBOWE si GAIDI kwenye mawe na miti mikubwa mikubwa pembezoni mwa barabara kama alivyofanya Mwigulu wakati akitafuata Urais wa nchi hii mwaka 2015. Hii mbinu ninaona italeta...
Back
Top Bottom