Habarini za kutwa, samahani naomba kuuliza. Kuna siku niliona tangazo humu la kuhusu mbegu za miti ya matunda mbali mbali. Muuzaji alisema yupo Morogoro, nilijaribu kuwapigia simu lakini bahati mbaya sikuhifadhi namba yao. Mwenye kumbukumbu naomba msaada tafadhali.