National Examinations Council of Tanzania (NECTA; Swahili: Baraza la Mitihani la Tanzania) is an agency of the Tanzanian government, headquartered in Dar Es Salaam, that proctors tests given nationally.
It manages the Certificate of Secondary Education Examination.
Kwanza kabisa, Tanzania tumekuwa tukipata magavana wa benki kuu ambao walibarikiwa kuwa na taaluma nzuri kwenye masuala ya kiuchumi, na pia upande wa sheria kwa kumuangalia Prof Luoga ambaye amemaliza muda wake.
Hawa magavana ni watu walikuwa very intelligent, lakini pamoja na kuwa ‘very...
Unakumbuka enzi izo za vibomu? wengine wakiita nondo, uangaliziaji na makamati ya kimkakati wakati wa mitihani mashuleni? ujanja ujanja wa kila namna ilimradi tu watu wafaulu mitihani.
Baadhi ya matukio
Tuko necta ya fomu 6 kuna demu mmoja aka kamatwa na ki karatasi kimekunjwa kwa ustadi mkubwa...
NDUGU ZANGU naomba nipate uelewa kidogo juu ya jambo langu hili
Nipo chuo mwaka wa pili nasomea Tax managment ila nimepata mdhamini yeye ni Daktari huko USA, kanipa udhamini wa kunisomesha ili nikimaliza diploma niende nje.
Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Chuo huku nikianza...
Baraza la mitihani limekubuhu kwa tabia ya kufuta na kufungia shule kwa kisingizio cha udanganyifu katika mitihani. Hii inafanyika kwa namna ya kuonyesha kuwa udanganyifu huo unafanyika kwenye shule binafsi tu. Bahati mbaya hakuna uwazi wa namna wanavyofikia maamuzi yao.
Kwa kawaida udangayifu...
Inasikitisha sana.
---
Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wa Shule ya Uuguzi na Afya ya umma (SoNPH) Ezekiel Sostenes amelazwa hospitali ya Rufaa ya Kanda ya kati Benjamin Mkapa baada ya kujirusha ghorofani.
Awali kabla ya tukio hilo jana, kulikuwa na ujumbe wa WhatsApp ambao Mwananchi...
Nilifanikiwa kukutana na bosi ya skretarieti ya ajira,.alinipa Siri ya maswali ya mitihani wanayotoa kwa Sasa!
Moja ya Maswali wanatoa kwenye "head job tittle"
Mfano; Agric tutor-crop science
Unatakiwa usome contents zote za crop science utafaulu mitihani!
Msidanganyane na "research siku hizi...
Baraza la Mitihani NECTA ilizifutia matokeo shule kadhaa baada ya kubainika kufanyika kwa Udanganyifu kwenye mitihani ya Darasa la Saba iliyofanyika September 2021.
Na kwa kuwa Wanafunzi hawahusiki na udanganyifu huo, wana haki ya kurudia mitihani yao ili kutoathiri maendeleo yao ya Kitaaluma...
Kwa jinsi Wanafunzi wa Shule za Msingi ( hasa Darasa la Saba ) walivyo na Nidhamu mbaya katika Jamii zetu huku Wengi wao wakiwa hawana Akili Vichwani huwa nashangaa kuona kila mwaka katika Kutangazwa kwa Matokeo yao Kitaifa Wanaofaulu ni Wote / 99.9%
Duniani kote haiwezekani sehemu ambayo...
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo vya mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga na kufanya udanganyifu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2022.
Vituo hivi vimefungiwa hadi Baraza litakapojiridhisha...
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limezifungia shule 24 kuwa vituo vya mitihani ya Taifa baada ya kuthibitika kupanga kufanya udanganyifu katika mitihani ya kumaliza elimu ya msingi.
Shule hizo ambazo ni sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote vya mitihani nchini, ndani yake zipo shule maarufu...
Je wewe ni mzazi au mlezi na unamtoto ambaye yupo likizo katika msimu huu wa sikukuu za christimas na mwaka mpya? Au je wewe ni mwanafunzi na ungetamani kujipima na wanafunzi zaidi ya elfu2 nchi nzima kupitia mitihani inayoendeshwa kwa njia ya mtandao?
Taifa International Online School kwa...
Wakati umma ukiendelea kusubiri ripoti ya Kamati ya Mwakyembe baada ya muda iliopewa ile kamati hiyo kuchunguza nini kinachosababisha wanafunzi wa Shule ya Sheria Tanzania kufeli kwa kiwango cha kutisha kwisha toka tarehe 13 Novemba 2022, hakuna taarifa ni lini Kamati hiyo itasoma na kukabidhi...
Wadau. Watu wanaotafuta CPA wanafeli mno, pepa ngumu kinyama. Hali hii inasaidia nini?
Wengine wanadai Uhasibu na Ukaguzi ni mgumu, sina hakika.
Wengine wanadai lengo LA bodi ni kuepuka idadi ya wataalamu WA fani kuwa wengi. Sina hakika pia, Shida ni nini?
Taifa lenye watu wengi wasio na uadilifu ni kawaida sana kuwepo kwa wizi wa mitihani ama udanganyifu kwenye mitihani. Uadilifu ni zaidi ya mtu kutokuiba ama kusema uongo, uadilifu pia ni pamoja na mtu kujali maslahi ya wengi pale anapokuwa na cheo kwa niaba ya Umma.
watu waadilifu wataweka...
Baadhi ya wazazi wilayani Makete mkoani Njombe wamedaiwa kuwatisha watoto wao wanaohitimu elimu ya msingi kufanya vibaya kwenye mitihani kwa madai kuwa wakifaulu wao watafariki dunia.
Ameeleza hayo Ofisa Mtendaji wa Kata ya Lupila , Tumwanukye Ngakonda kwamba baada ya wanafunzi hao kuhojiwa...
MKOANI TABORA
Wasimamizi wa mitihani ya NECTA ya Darasa la nne,kidato cha pili na cha nne walioitwa kwenye semina maalumu pale AMUCTA tarehe 15 na pale Themi Hill tarehe 17 wamelalamika kutolipwa posho za semina na nauli kwa kisingizio eti muongozo wa malipo haujatoka kutokea NECTA...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia Walimu 14 kwa tuhuma za kukiuka sheria, kanuni na taratibu mbalimbali za mitihani ya darasa la saba iliyofanyika Oktoba 5-6, 2022.
Uchunguzi wa suala hili unaendelea na taarifa zitatolewa na mamlaka zinazohusika na masuala ya elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.