Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, leo Aprili 18, 2022 amekagua na kuridhishwa na majaribio ya Mfumo wa Kidijitali wa Usahihishaji Mitihani ya Kitaifa ya Ualimu ulioandaliwa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA).
Akizungumza mara baada ya kufanya ukaguzi na kujionea...