mitsubishi chariot

  1. Busara za mzee

    Ni zipi changamoto Mitsubishi Chariot?

    Nataka kununua hii gari Kwa mtu used. Imewekewa injini ya rav 4. Naomba ushauri Changamoto ya hizi gari na hasa baada ya kuwekewa injini ya rav 4. Upatikanaji wa spare, Changamoto zake n.k
Back
Top Bottom