"Systemic problems requires systemic solutions"
Kuna tofauti kubwa kati ya kiongozi aliye kulia kwenye mazingira ya kimasikini kama watanzania wengi, anakuwa na uwezo wa ku 'sympathize' na matatizo yao.
Sasa hawa vijana waliokulia kwenye majumba ya serikali huku familia zao zikilipiwa kila...
Leo katika uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya nishati na Madini Mama Salma Kikwete alimpongeza Waziri January Makamba kwa kutoa zawadi ya mitungi 100 ya gesi kwa kila Mbunge sintofahamu ikaanza pale Spika wa Bunge alipoanza kutoa ufafanuzi mwingi zaidi ya mwasilisha hoja juu ya ugawaji wa...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, tarehe 27 Mei, 2023 wamepata nafasi ya kujifunza kuhusu nishati safi ya kupikia pamoja na kupitishwa kwenye Rasimu ya Dira ya Taifa ya Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia pamoja na Mpango Mkakati wa Utekelezaji kupitia semina maalum...
bajeti
bunge
gesi
historia
january
january makamba
kuhonga
kupitisha
makamba
mbunge
mitungi
mmoja
nishati
pesa
tanzania
wabunge
wapi
wiki
wizara
wizara ya nishati
MBUNGE MARY MASANJA ACHANGIA MILIONI 21, AGAWA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI WADOGO MKOA WA MWANZA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amechangia Shilingi Milioni 21 na amegawa mitungi ya gesi 700 kwa wanawake...
MBUNGE MHE. HUSNA SEKIBOKO AGAWA MITUNGI YA GESI KIJIJI CHA LUKOZI, LUSHOTO-TANGA
Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Tanga, Mhe. Husna Juma Sekiboko tarehe 11 Machi, 2023 alifanya ziara katika kijiji alichozaliwa, Lukozi na kuzungumza na wananchi wa kijiji hicho ambao walimueleza Mbunge...
Habari wanajamvi, kuna jambo limenifikirisha kidogo, hii ni baada ya kununua mitungi miwili ya gas ya ujazo wa kilo 50, Mihan gas na Oryx gas, sasa nilipofika home niliunga gas valve yenye gauge ya kusoma pressure ya gas(inatumika kujua kiasi cha gesi kilichobaki kwenye mtungi) nikapata matokeo...
Makamba hajawahi kuwa smart. Ilikuwa inasaidia miaka ile sababu alikuwa kimya. Sasa anafunua kinywa ndo tunasema "Kwa nini sasa unaongea? Au hupendi kuonekana una akili?"
Tangu amekuwa waziri wa Nishati namwona tu akizunguka kugawa mitungi ya gesi. Hana ubunifu. Na ikitokea akaongea anaongea...
Nataka kujua marketing meneja wa Mitungi ya Gesi aliyeisamabaza mpka visiwani huko ukerewe na Ghana alilipwa na ROSTAM au serikali yetu?
Mh Rais nchi hii ni ya kwetu jaman mbona Kuna matumizi hatuyaelewi sisi wengine jaman?
Mbona tozo zimekuwa tozolo?jaman nchi hii na tozolo tunaelekea wapi jaman
Wakati anaapishwa kuwa Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliapa kuilinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyowekwa kwa mujibu wa sheria.
Pia wakati anakula kiapo cha Maadili ya Viongozi wa Umma aliapa kutotumia cheo chake kutoa upendeleo kwa ndugu yake au rafiki yake...
Ni hivi, meli imeandikisha kwamba imetoa gesi Oman, kisha ikashusha Tanzania, na kawaida Watanzania walivyo, wakapokea freshi kichwa kichwa tu bila umakini au ukaguzi, hiyo gesi inapitishwa mpakani na kuletwa Kenya, sasa Oman wametoa tahadhari na kusema hiyo meli haikutoka kwao na hiyo gesi sio...
Habari wakuu, naomba kama kuna anaeuza mtungi wake wa gas anicheki au kama kuna wale wafanyabiashara wa gas wanaoacha biashara zao na kuuza mitungi yao naomba pia niambiwe.
Nanunua mitungi yote size zote, idadi yoyote iwe tu ya HALALI na sio ya WIZI hii ni kwa wakazi wa Dar, mwenye mitungi...
Nimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni.
Katika ziara yake amekuwa akigawa mitungi ya Taifa gas inayomilikiwa na mfanyabiashara Rostam Aziz.
Naona kama Mh...
Waziri wa Nishati, Januari Makamba amewajibu watu wanaohoji mpango wake wa kugawa mitungi ya gesi kwa wanawake katika ziara anayoendelea nayo katika mikoa 14 ya Tanzania na kusema wacha wabishane lakini lazima twende mbele
“Wacha watu waseme wabishane lakini lazima twende mbele kwenye nishati...
Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliwaahidi viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania ( UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kuwapa mtaji wa mitungi ya gesi 300 kwa ajili ya kusambaza kwa wananchi kwa gharama nafuu ili waondokane na nishati chafu ya kupikia.
CHANZO: GAZETI LA...
Sijui ni mimi tu ndio naona hili au kuna wapo wengine mmeona hivi vichuma vya kufungua na kufunga gesi kabla ya kuwasha kwenye mitungi midogo.
Sivijui jina lake kwa kingereza au kiswahili wee elewa ivo tu nilivoandika.
Ubora wa hivi vichuma nina mashaka nao kama uko sahihi na...
Wadau changamkieni kuna jamaa angu anahitaji mitungi 10 ya kuhifadhia Wine picha ipo kwa chini
Ukiipata nicheki 0718239997
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mimi ni muuza Gesi za majumbani LPG
Nilikuwa napenda kufahamu namna ya kupata Uwakala wa gesi za kuchomelea (nazikuta sana Gereji za magari) na nyinginezo kama zile (yani Acetlyene, oxygen) na mwenendo mzima wa biashara hyo.
Katika kuangalia nimeona kuna kampuni kama tatu yani TOL, SALAMA na...
Nauza mitungi midogo ya gesi aina ya Manjis. Kwa anayetaka anicheki pm nimpe maelekezo
Karibuni aise ipo 15 tu na bei no 22,000/= only Tanzania shillings
Kutokana na ongezeko la mahitaji ya gasi ya Oxygen yaliyojitokeza hivi karibuni umekuwa na mkanganyiko mkubwa wa huduma hasa hiyo gas ya oxygen inayotumika kwa wingi
Ukiangalia kwenye matangazo ya NHIF yanasema hiyo gasi inatolewa Bure. Ila kiuhalisia hiyo gasi inauzwa kwa hospitali za serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.