Habari wadau.
Hali naona imeanza kuwa mbaya kwa upande wetu Tanzania ,nasikia huko Bugando washaanza kukumbwa na upungufu wa mitungi ya oxygen.
Kipindi hiki lockdown haikwepweki bila shaka. Mpaka sasa Bugando Hospital wanaupungufu wa mitungi 500 ya oxygen.
Huku mtaani kwetu Buza sioni kabisa...