miundombinu

  1. A

    KERO Kero ya miundombinu mibovu Kunduchi - Mtongani (Dar)

    Mvua zinazoendelea kunyesha zimehathiri miundombinu.. Hili ni eneo la mtongani kona kunduchi, mabomba ya maji safi yamepasuka, kipande cha barabara kinazidi kumeguka na ardhi inayoingia kwenye makazi ya watu inazidi kimeguka hali inayoweka nyumba zao katika sintofahamu.. Eneo hili limeharibika...
  2. KERO Mwekezaji achimba mchanga karibu na makazi ya watu na kuharibu miundombinu ya barabara - Kitopeni Bagamoyo Pwani

    Katika kata ya Kiromo, Kijiji cha Kitopeni wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani eneo maarufu kama ranchi ya NAFCO eneo ambalo linenunuliwa na Mwekezaji ili kuchimba madini ya MCHANGA. Eneo hili lipo karibu kabisa na MAKAZI ya watu hivyo ni hatarishi wakati wa mvua na kupelekea mafuriko hapo baadae...
  3. Rais Samia atoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais

    Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais katika Viwanja vya Ikulu - Chamwino Dodoma tarehe 24 Aprili 2024...
  4. A

    DOKEZO Miundombinu ya Mkuranga ni mibovu, mvua inaongeza tatizo, Wananchi wa hali ya chini ndio tunaoteseka

    Mwanzoni Miaka ya 2000 kila mvua iliponyesha wakati wa kuvuka Barabara tulikuwa tunalazimika kuvua viatu na kukunja nguo kisha tunavuka. Miaka zaidi ya 20 baadaye hali tuliyoizoea kuvuka kwenye maji kila mvua inaponyesha ndio ileile. Miundombinu yetu wakazi wa Mkuranga kwa asilimia kubwa ni...
  5. Zanzibar ipewe kipaumbele kwenye miundombinu

    Zanzibar ndio lango la utalii nchini. Nashauri pesa nyingi ipelekwe huko kuendeleza miundo mbinu ya barabara, airport na hotel
  6. A

    KERO Ubovu wa miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma Ndaki ya Sayansi ya Kompyuta na Elimu Angavu

    Mimi ni mwanafunzi wa UDOM college of informatics and virtual education(CIVE). Hali ya miundombinu ya college hii ni mibovu sana na hatarishi kwa afya hususani vyoo. College ya CIVE ina jumla ya blocks 6, tatu katika hizo sita ni mbovu kupindukia. Block moja zima unaweza kukuta vyoo(matundu)...
  7. L

    Kampuni ya China kupata kandarasi ya kujenga Uwanja Mpya wa Soka Tanzania ni mwendelezo wa ushirikiano katika kuboresha miundombinu

    Katikati ya mwezi Machi serikali ya Tanzania ilitangaza kuwa Kampuni ya Uhandisi wa reli ya China (CRCEG) ilishinda zabuni na kupata kandarasi kujenga uwanja mpya wa soka mkoani Arusha, na kusaini makubaliano na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Tanzania. Uwanja huu utakuwa ni sehemu ya...
  8. Hali ya Mazingira na Miundombinu ikoje katika eneo lako kutokana na Mvua zinazoendelea?

    Ripoti mbalimbali zinaonesha maeneo mengi ya Nchi yanakabiliwa na Mvua zinazoendelea kunyesha na kuathiri shughuli mbalimbali za kila siku ikiwemo Miundombinu Hali ikoje katika eneo lako na je, kuna usalama?
  9. Mvua ilivyoharibu miundombinu ya Barabara Sumbawanga - Rukwa, Waziri Bashungwa atembelea

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali imejipanga kuhakikisha inarejesha miundombinu ya barabara ya Kasansa - Muze - Mtowisa - Ilemba - Kaoze - Kilyamatundu (km 180) iliyoathiriwa kwa kiasi kikubwa na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo tofauti tofauti nchini. Bashungwa ameeleza...
  10. Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko afichua orodha ya matendo ya uhujumu wa miundombinu ya TANESCO

    Hizi hapa Nukuu za Dkt. Biteko akifichua Mtao wa uhujumu miundombinu 1. ’'Tarehe 13 mwezi wa pili mwaka 2024, BAGAMOYO alikamatwa mtu mmoja pale akiwa na Lita 80 za mafuta ya Transfoma, kesi imefunguliwa, maana yake ile Transfoma imekufa mafuta yamesha chukuliwa’’ 2. ‘’Mwezi wa tatu tarehe...
  11. Wizara ya Ujenzi Yajipanga Kufanya Matengenezo Miundombinu Iliyoathiriwa na Mvua na Kupunguza Foleni

    WIZARA YA UJENZI YAJIPANGA KUFANYA MATENGENEZO MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIWA NA MVUA NA KUPUNGUZA FOLENI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2024/25 Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) itajikita katika kufanya matengenezo makubwa katika maeneo...
  12. Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara Kufungua Fursa Mafia

    UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA KUFUNGUA FURSA MAFIA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa dhamira ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuifungua wilaya ya Mafia kwa kujenga miundombinu bora ya barabara ili kuchochea fursa za...
  13. Kamati ya Miundombinu yasisitiza wakandarasi wazawa kupewa kipaumbele

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeisisitiza Serikali kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi wazawa katika utekelezaji wa miradi na kuendelea kutafuta ufumbuzi wa changamoto za Wakandarasi hao ili kutoa fursa ya ushindani na Wakandarasi wa nje katika upatikanaji wa zabuni. Hayo yameelezwa...
  14. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Yasisitiza Wakandarasi Wazawa Kupewa Kipaumbele

    KAMATI YA MIUNDOMBINU YASISITIZA WAKANDARASI WAZAWA KUPEWA KIPAUMBELE Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeisisitiza Serikali kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi wazawa katika utekelezaji wa miradi na kuendelea kutafuta ufumbuzi wa changamoto za Wakandarasi hao ili kutoa fursa ya ushindani...
  15. J

    Kamati ya Miundombinu yasisitiza Wakandarasi wazawa kupewa kipaombele

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeisisitiza Serikali kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi wazawa katika utekelezaji wa miradi na kuendelea kutafuta ufumbuzi wa changamoto za Wakandarasi hao ili kutoa fursa ya ushindani na Wakandarasi wa nje katika upatikanaji wa zabuni. Hayo yameelezwa...
  16. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Yataka Maeneo ya Viwanja vya Ndege Yawe na Hatimiliki

    KAMATI YATAKA MAENEO YA VIWANJA VYA NDGE YAWE NA HATIMILIKI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeitaka Serikali kuhakikisha inasimamia upatikanaji wa hatimiliki za maeneo ya Viwanja vya Ndege vyote nchini ili kudhibiti uvamizi katika maeneo hayo na kupelekea ucheleweshaji wa utekelezaji...
  17. Kamati ya Bunge ya Miundombinu Yakagua Barabara ya Noranga - Itigi

    KAMATI YA MIUNDOMBINU YAKAGUA BARABARA YA NORANGA- ITIGI, YAAGIZA MRADI UKAMILIKE KWA WAKATI. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeiagiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) kumsimamia mkandarasi kampuni ya CHICO anayetekeleza ujenzi wa barabara ya Noranga-Itigi (km...
  18. J

    Kamati ya Miundombinu yawasili Singida kukagua miradi ya Sekta ya Ujenzi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe.Selemani Kakoso (Mb) imewasili wilayani Itigi Mkoani Singida na kupokelewa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, leo tarehe 12 Machi 2024. Kamati hiyo ikiwa Wilayani hapo itakagua na kutembelea miradi ya...
  19. Bashungwa Aagiza Timu ya Watalaam Kurejesha Miundombinu Lindi

    BASHUNGWA AAGIZA TIMU YA WATALAAM KUREJESHA MIUNDOMBINU LINDI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi Eng. Aisha Amour kupeleka timu ya wataalam mkoani Lindi itakayohakikisha inasimamia urejeshwaji wa miundombinu yote ya barabara na madaraja...
  20. Rushwa huathiri Utoaji na Upatikanaji wa Huduma Bora katika Afya, Elimu, Miundombinu na Utawala Bora

    Ufisadi katika utoaji wa huduma umekuwa tatizo kubwa nchini Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingine nyingi. Inaathiri sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na afya, elimu, miundombinu, na utawala wa umma. Nchini Tanzania, ufisadi katika utoaji wa huduma unaonekana katika njia kadhaa: Rushwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…