miundombinu

  1. Hakuna anayejali

    Miundombinu inaharibiwa Serikali ipo kimya

    Hili daraja linapatikana mkoa wa Ruvuma Manispaa ya Songea linatenganisha kata ya msamala na mshangano.Bampa za pembeni zimekatwa kila uapande mita kama 15 Tazama picha.Pia hapa daraja hili jembamba sehemu ya wapita njia hakuna lingepanuliwa kuepusha ajali mana magari mengi sana yanapota hapa.
  2. A

    KERO Treni ya Dar-Tanga-Arusha imekwama, wanaohusika watoe mwongozo wa nini kinaendelea

    Ni muda wa miezi kadhaa sasa usafiri wa Treni za mizigo na abiria kati ya Mkoa wa Dar es Salaam, Tanga na Arusha umekwama kutokana na sababu kuu mbili. Sababu ya kwanza ambayo nimeisikia na imekuwa ikitajwa ni kuwa reli ilikuwa inafanyiwa marekebisho ya hapa na pale. Pili baada ya kukamilika...
  3. M

    SoC04 Tanzania tuitakayo inaletwa na uboreshaji wa elimu katika Sekta ya Miundombinu

    UTANGULIZI Miundombinu ni moja ya nyenzo kubwa inayo tumika kuleta maendeleo nchini kwasababu inachangia kwa kiwango kikubwa maendeleo ya sekta nyingine kama vile sekta ya elimu, afya, biashara na mawasiliano.Hivyo, ni muhimu kuboresha elimu katika sekta hii ili kupata Tanzania tuitakayo.Ziko...
  4. B

    TOA Tanzania yapata uwekezaji wa $30 Milioni kutoka BII za kupanua miundombinu ya mawasiliano na kuboresha huduma ya mawasiliano Tanzania

    ● Pesa zitatumika kujenga minara mipya 200 na kuongeza upatikanaji wa huduma ya mawasiliano vijijini ● Upanuzi wa miundombinu utaboresha upatikanaji wa mtandao, na kuongeza nguvu kwenye jitihada za serikali za kufikia malengo ya kidijitali, huduma jumuishi za fedha pamoja na kutoa nafasi za...
  5. MR VICTOR KAPESA

    MAGARI YAENDAYO KWA KASI PIA YAZINGATIWE

    Kuhusu usafiri wa haraka nchini Tanzania, kuna jitihada za kuboresha miundombinu na huduma za usafiri, hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam. Mradi wa mabasi yaendayo kasi ni moja ya mikakati inayolenga kupunguza msongamano wa trafiki na kuboresha usafiri mijini. Hata hivyo, bado kuna...
  6. J

    Wananchi waipongeza TANROADS-Morogoro kwa kurejesha miundombinu ya barabara wilayani Malinyi

    WANANCHI WAIPONGEZA TANROADS-MOROGORO KWA KUREJESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA WILAYANI MALINYI Baadhi ya wananchi katika Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro wameipongeza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kuendelea na kazi ya urejeshaji wa miundombinu ya barabara na...
  7. Rumanyika Donatus

    KERO Upotevu wa maji kata za Kichanga na Tungi Manispaaa ya Morogoro imekuwa ni kero na uharibufu wa miundombinu

    Kumewekuwepo na upotevu mkubwa wa maji hasa katika sehemu tajwa hapo juu. Hii ni kutokana na miundombinu mibovu hasa ya maji. Ukitembea hatua chache uanakuta barabara zimejaa maji na maji hayo yanatokana na ubovu wa miundombinu ya maji. Kila baada ya hatua kumi unakuta maji yanabubujika na hii...
  8. S

    Serikali inahitaji kuingalia Mwanza kwenye miundombinu, ni jiji zuri sana kutembelea

    Wakuu heshima yenu! Heading inajieleza, mimi ni kati ya wale watanzania waliobahatika kuishi mikoa mingi hapa nchini, kiukweli Nchi yetu kwa kiasi chake imebarikiwa kwa uzuri nimeishi Maeneo kama Lushoto, Moshi, Dodoma, Kahama na Morogoro na nimebahatika kutembelea kwa sana mikoa ya Dar, Arusha...
  9. Mtemi mpambalioto

    AJALI za Barabarani: Tatizo sio Polisi, Serikali oneni AIBU rekebisheni miundombinu! barabara ni mbovu sana

    Kuna Barabara ni tokea alivyojenga MWALIMU NYERERE, je mnategemea zitakuwa ni bora kwa maisha ya sasa? Mfano barabara ya kutoka Morogoro mpaka dodoma yaan kila mita 100 kuna shimo! njia nzima ni mashimo tuuu je hizi ajali mnalaumu Askari wa usalama.barabarani? nimeona barabara ya bagamoyo hasa...
  10. Stephano Mgendanyi

    Kazi ya Urejeshaji wa Miundombinu Somanga Inakamilishwa, Nguvu Yaelekezwa SONGAS

    KAZI YA UREJESHAJI WA MIUNDOMBINU SOMANGA INAKAMILISHWA, NGUVU YAELEKEZWA SONGAS. Wizara ya Ujenzi, Timu ya Wataalam kutoka Wakala ya Barabara (TANROADS) ikishirikiana na Makandarasi, wanaendelea na zoezi la urejeshaji wa Miundombinu ya Barabara katika eneo la Songas ambalo nalo lilikatika...
  11. Msanii

    Miundombinu iliyoharibiwa na mafuriko. Jeshi linaweza kusaidia? Lina wataalam

    Lengo la uzi wangu siyo kumfundisha kazi Mhe. Rais. Bali kumshauri kwa uzingativu wa mamlaka aliyonayo kikatiba. Tunamuona Waziri wa Ujenzi Mhe. Bashungwa akipiga kambi kusini kusimamia urejeshwaji wa mawasiliano ya barabara na madaraja yaliyobomolewa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha...
  12. Hakuna anayejali

    Hii inaonesha uzembe wa kukagua miundombinu

    Shirika la umeme Tanzania wakati mwingine mnalipa fidia kwa uzembe, au kusababisha hasara na majeruhi kwa kutofanya ukaguzi kwenye nguzo za umeme. Mfano tazama nguzo hiyo ilivyooza.
  13. Cute Wife

    Zoezi la urejeshaji wa Miundombinu Barabara Kuu Lindi-Dar eneo la Somanga laendelea

    Timu ya Wataalamu kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) wanasimamia zoezi hilo ili mawasiliano katika Barabara Kuu ya Lindi - Dar es Salaama kurejea kwa haraka. Waziri wa Ujenzi, Bashungwa alieleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3)...
  14. S

    SoC04 Kuandaa mpango kazi mzuri wa kuzuia uchafuzi wa mazingira nchini

    Awali ya yote napenda kuwashukuru jamii forum kwa nafasi hii walio tupatia. Katika miaka mitano mpka ishirini na tano Tanzania mm naona tuandae mpango kazi imara wa kuzuia uchafuzi wa mazingira katika maeneo ya nchi. Nini nikafanyike Serikali iwatumia maafisa maendeleo na askari hasa (trafic)...
  15. Save NUNDU

    SoC04 Tatizo la Traffic Police barabarani

    Tatizo la Traffic Police barabarani: wananchi tunacheleweshwa sana kwenye shughuli zetu tukiwa kwenye daladala kwa daladala hiyo moja kusimamishwa mara kadhaa na Traffic kwa trip hiyo hiyo moja. Kwanini zisitumike mbinu mbadala? Viongozi wetu wanasafiri nchi za nje sana na wanaona nchi za...
  16. W

    SoC04 Uboreshaji wa miundombinu ili kuweka mazingira wezeshi

    Miundombinu ni miongoni mwa sekta ya msingi ambayo serikali inahitaji kutazamia kwa ukaribu zaidi kutokana na mchango wake katika maendeleo ya nchi. Kwa muktadha huo ipo haja ya kufanyika maboresho na ujenzi wa miundombinu bora ili kusaidia ufanikishaji katika kuendea shughuli za uzalishaji...
  17. H

    SoC04 Nchi haiwezi kuwa na maendeleo pasipokuwa na miundombinu rafiki kwa wananchi wake

    Kama ilivyo ada neno miundombinu haliwezi kuwa geni sana kwenye maskio ya watu. Miundombinu ni zile rasilimali ambazo zinapatikana nchini kwa lengo la kuwasaidia wananchi katika kaisha yao. Mfano wa miundombinu ni kama barabara, shule, vituo vya afya nk. Ningependa kueleza ni kwa namna gani...
  18. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kuendelea Kuboresha Miundombinu ya Elimu

    SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA ELIMU. Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amsema serikali inatambua umhimu na itaendelea kuboresha miundombinu ya Elimu ikiwemo Mabweni ya Wanafunzi, Uzio, Majengo ya Utawala na Mabwalo kupitia...
  19. MINING GEOLOGY IT

    SoC04 Uchimbaji wa Mawe Kanda ya Ziwa Kuwa Mchango Mkubwa Katika Ujenzi wa Miundombinu

    Kanda ya Ziwa katika eneo la Afrika Mashariki, ambayo inajumuisha maziwa makubwa kama Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa, na maziwa mengine madogo, ina utajiri wa rasilimali za jiolojia, ikiwa ni pamoja na aina mbalimbali za mawe. Kanda ya Ziwa ni eneo lenye umri wa kijiolojia wa...
  20. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Azitaka TANROADS na TARURA Kushirikiana Kufanya Tathimini ya Miundombinu Iliyoathiriwa na Mvua

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kushirikiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI kuunda timu za wataalam zitakazoshirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kufanya tathimini ya mtandao wa barabara pamoja na madaraja yaliyopata...
Back
Top Bottom